Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Naomba kufahamishwa wapi ninaweza pata hizi sandal kwa bei nzuri...kama kuna mtu unamfaham unaweza,nisaidia ata namba zake
Instagram(26).jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakubwa kwa anaefahamu mahali wanapouza vijiredio vidogo vidogo na earphone dar-es-salaam kwa bei nzuri ya jumla tafadhari nijulishe nategemea kuanza hii biashara mwezi ujao.

kweli naweza kupata earphone za jumla bei chini ya 1000 na vijiradio vidogo chini ya elfu 5000.
 
Earphone nyingi jumla zina anzia 1000 na redio nyingi huanzia 7000
 
Wakubwa kwa anaefahamu mahali wanapouza vijiredio vidogo vidogo na earphone dar-es-salaam kwa bei nzuri ya jumla tafadhari nijulishe nategemea kuanza hii biashara mwezi ujao.

kweli naweza kupata earphone za jumla bei chini ya 1000 na vijiradio vidogo chini ya elfu 5000.

akikujibu nistue
 
Ndugu hizo earphone. za buku zinafananaje ndo zile za hovyohovyo zinauzwa kwa mafungu zenye mipira ya plastic?
 
Mimi natafuta chimbo la hereni aina zotee kwa bei ya jumla kariakoo nataka nikafungashe huo mzigo mwenye kujua tafadhali naomba msaada cc charty
Wewe ndo msaada wetu
 
Back
Top Bottom