Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Habar wakuu....?
Nnatafuta chimbo la chupi za wakina Dada kwa jumla
machimbo ya chupi yapo mengi
lipo moja kubwa maduka mengi kwa pamoja kama 50 au zaidi
linalofuatia yapo kama maduka 20 hv pamoja
halafu yapo yaliyo kaa moja moja tafauti tofauti
ki ukweli bidhaa za kariakoo nitafuteni tu mimi mutafurahi wenyewe
nitakupeka chimbo moja baada ya moja
ukizoea utaenda mwenyewe
0788 41 76 74

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Wadau nilikuwa na shida na hizi big g sijui nitazipata wapi kwa bei ya jumla
 
Kama unaweza uweke Google map location ya ofisi yako hapa
 
Mkuu kuna gharama unalipwa au

 
mkuu tupo tayar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuna gharama unalipwa au
kama upo sirias jambo lako
uwezi kuona shida kulipia gharama kidogo tu
tena mara moja tu baada ya hapo unaenda mwenyewe
tena ni kwa ajili ya kupata mwongozo mzuri wa biashara yako
na machimbo nitakayo kupitisha mm utafurai mwenyewe



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikija nitakucheki je urembo wa wadada Kama hereni na cheni Unajua machimbo yake?
 
Ndugu yangu si utuelekeze tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…