Illakwahhi
JF-Expert Member
- Oct 13, 2017
- 465
- 743
Madela jmn bei ya jumla wanakouza chee msaada plz nimepita mbagala reja reja 6000 hadi 10,000 bei ya jumla sijauliza, wap naweza pata msaada?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nikupe machimbo best. Kizuri kula na mwenzio. Vitenge mara nyingi machimbo yake yapo NIDA kule Mnazi Mmoja wengi wanaouza Kariakoo wanaenda kufuata huko. Viatu navyo vinapatikana huu Mtaa wa Narung'ombe na Congo pale nenda straight kwenye maduka ya Wachina yaani sio wale machinga wanaomwaga chini, nop. Unazama dukani utakuta zile simple wanauza 4000/pc na vile vi-sandles wanauza 2500/pc. Cheni zama Mchikichi katikati kuna Mchina anauza mpaka 2000-3000/dz na hazipauki. Magauni nayo ingia ndanindani kule Congo na Aggrey, wanauza nayo bei chee 6000-8000-1000-16000/pc. Vingine siku ingine nitakwambia nimechoka ku-type ah!
China shida ni mtaji mkuuTafta hela uende china. Kuna masoko yao kule vitu bei cheap kweli. Kuna vijana walianza kdgo kdgo tu this day wanafanya vizuri kweli. Just know ur niche.
Vitu vingine in china the prices are lower kuliko hata hapo Kariakoo.
Siku zote lazima utumie pesa na akili ili kupata pesa nyingiMi kuna machinga nilikuwa nachukua mzigo kwake,hivyo nampa pesa ye anazunguka kwenda kuchukua mzigo.Ukimuuliza asemi,siku nilienda na vijana wangu watatu ambapo yeye hakuwaona.Hivyo nilivyomkabidhi pesa akaondoka,vijana wangu wakamfuatilia mpaka wakajua maduka yote aliyoingia.Tangia siku hiyo hajaniona na majamaa wa madukani washanizoea hats bila pesa wananipa mzigo au wanatuma mkoani.
Baada ya shipping huchukua mda gani mzigo kufika bongo
Kuna shipping agents wanaokutumia vitu vyako huku bongo na kukutolea bandarini (door to door)....Kama Silent Ocean na wengine.
Mzigo Unaulipia charges kwa cbm (cubic meters) inategemea na aina ha bidhaa hyo ina include shipping, agency na taxes. Ila kikubwa ukifika kule inakua na nguvu zaidi unaweza chagua bidhaa unayotaka hata ku negotiate price na wachina masokoni kwao face to face. The more unanunua mzigo kwingi the more discount u get hence the more profit u get ukija uza huku.
Ili umake good money kweli uone unapiga hela kweli uwe na kitu kama 10 M hivi hyo mzgo tu. (Unaweza ukaanza less than that ila mimi naona kuanzia 10 M kuendelea ndio kweli naweza nikasema huyu mtu ana make hela)
Ubarikiwe kwa roho yako nzuri. Vitambaa vya kushona je?Ngoja nikupe machimbo best. Kizuri kula na mwenzio. Vitenge mara nyingi machimbo yake yapo NIDA kule Mnazi Mmoja wengi wanaouza Kariakoo wanaenda kufuata huko. Viatu navyo vinapatikana huu Mtaa wa Narung'ombe na Congo pale nenda straight kwenye maduka ya Wachina yaani sio wale machinga wanaomwaga chini, nop. Unazama dukani utakuta zile simple wanauza 4000/pc na vile vi-sandles wanauza 2500/pc. Cheni zama Mchikichi katikati kuna Mchina anauza mpaka 2000-3000/dz na hazipauki. Magauni nayo ingia ndanindani kule Congo na Aggrey, wanauza nayo bei chee 6000-8000-1000-16000/pc. Vingine siku ingine nitakwambia nimechoka ku-type ah!
Vitambaa vya kushona kwa k.koo vipo kwa Osama.Ila naweza kukushaur ukanunulie manzese kwani wana bei rahisi sana kuliko K.koo.Ubarikiwe kwa roho yako nzuri. Vitambaa vya kushona je?
Kama ni Used vifaa vinapatikana karibu na stand ya mwendokasi gerezani..but kwa original ni mtaa wa msimbaz ukitokea fire ila kwa hapa sijui chimbo lake exactly maana vifaa vya magari viko very complicated but kama ulikua ujui kabsa wanapouzia unaweza kucheki hayo maeneo niliyokutajia.Well done bro! Vipi kwa wanunuzi wa spare za magari
Tupia mfano wa cm kadhaa na bei zako tulinganishe tufanye maamuz sahihiKWA WANAOHITAJI SIMU KWA BEI NAFUU YA JUMLA MIE NDO NINAMILIKI HILO CHIMBO KARIAKOO.
0625923853
ShukraniVitambaa vya kushona kwa k.koo vipo kwa Osama.Ila naweza kukushaur ukanunulie manzese kwani wana bei rahisi sana kuliko k.koo.
gooooooooooooooooooood hapa nimejifunza jambo leo ninna oda kibao kuna nilichojifunzaNimepata maswali mengi pm nijibu tu hapa kwa faida ya wengi sababu wengi wao ni wanataka kuanza biashara
Aina ya biashara
Fanya utafiti juu ya biashara unayotaka kufanya like km uko dar tembelea maeneo hata hapo kkoo jifunze vitu vidogo mf unataka kuuza nguo za watoto ziko design nyingi kuna ronya quality kidogo, quality ya Kati na ile quality kabisa pita madukani jifanye kuuliza hata bei soma lebo baada ya muda utajua kutofautisha. hii itakusaidia unaponunua ununue bidhaa inayoenda na pesa na isikupe tabu katika soko lako.
Aina ya wateja
Chagua aina ya wateja wako like maskini, hali ya Kati au matajiri!! Hii itakusaidia kujua watu unaodeal nao na hapo juu umeshapita kuangalia quality na bei sababu kila bei na quality ya nguo ina kundi lake katika Jamii
Location
Location ni muhimu sababu kila kundi katika
Jamii linapatikana sehemu husika so chagua kundi linaloendana na mazingira husika.
Aina za nguo
Kuna aina nyingi za nguo unaweza chagua aina unayotaka Kama vile nguo za watoto kipato cha Kati, nguo za heshima kipato cha Kati, nguo za kimalaya kipato cha Kati... Hii itakusaidia kupata kundi moja kwa wakati mmoja na kwa bei zinazolingana ina maana mteja akija kwako hatoki kirahisi..
Anza biashara
Ukifanya hizo key point kiufasaha anza biashara yako hutapata shida yoyote..
Mtaji.
Wengi wameniuliza kuhusu mtaji sh ngapi
Kwa mie mtaji ni pesa yoyote uliyo nayo as long as unahitaji kuingia kwenye kufanya biashara na si kujaribu biashara.
Mf
Mi nilikosa mtaji kabisa ilikua mwaka 2013 Oct na nilianza na laki na nusu na mzigo wangu wa Kwanza kufunga hapo kkoo ilikua urembo cheni, hereni, bangili na lipsick na huo mzigo niliuza kwa kutembeza na ulizaa 375000 na kupitia huo mzigo nikipata oda nyingi sana za nguo... Kwa pesa hio hio ilinilazimu nitumie usafiri wa kutoka moja kati ya wilaya za mpkani mwa tz mpk dar
Hapo nimetoa mfano tu wa mliouliza kuhusu mtaji.. Anza na ulichonacho kwa mfanyabiashara hakuna hela ndogo.
Muhimu fanya utafiti hata kama umeelekezwa kabla ya kununua fanya utafiti wewe mwenyewe iwe kkoo,, Uganda au nairobi.
Kwa Wale mlioniuliza pm naona nimewajibu
wote kwani kujibu mmoja mmoja siwezi..
.....nenda na mchele !Inabidi nikutafute
Hapo 'mtatuma pesa' ndo pana ukakasi !Hivi Karibuni kampuni yetu itaanzisha Huduma za kuwatafutia wafanyabiashara wa mikoani bidhaa wanazohitaji hapa DSM, au nje ya nchi. Tutachukua oda zenu, tutawapa bei, mtatuma pesa, tutanunua na kuwasafirishia mlipo. Tutawatoza ada kidogo tofauti na gharama ungezitumia kuna DSM na kurudi. Stay tuned!