Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Wakuu mwenyekujua hizi cup zinapaikana wapi hapo K/Koo
1f96d72ae3d9794e0cf1f690e1ee9e0c.jpg


8ae22eb58f42c9bc56795a9950a7a91e.jpg
 
Wakuu anayejua sehemu ya kupata accessories za pikipiki Boxer na Mchina products kama Hajoue, chuma, kwa jumlaa
 
Kati ya gesi ya mihani na orxy IPI nzuri zaidi kwa matumizi msaada jamani
Mimi natumia zote ikiisha naweka ya tofauti hizo mihan na oryx by the way zote hazishuki 3 miez ni matumizi yako mae ukichemshia maharagwe na mengineyo inakukost.
 
Imetulia kwa kufungia mwaka na kufungulia mwaka
 
hahahah nitakupa mtu akusindikize maana kwa nature ya job yangu sitoki nje weekdays na weekdays shop nyingi ndo zinakua wazi jmos nusu siku possibilty ya kufanikiwa inakua kidogo na jumapili ndo kabsaa.
Naomba nisaidie chimbo zuri ya vitu vya ndani kama maua,vesels,mapazia,na urembo urembo mwingine wa ndani.
 
Inawezekana wenyeji wako hawapajui hiyo machimbo.We sema unataka upelekwe? Ukihitaji nichek 0714306015 upelekwe
UMEJIINGIZA MWENYEWE KWA HAWA WAZEE WA MJINI WATAKULIZA MCHANA KWEUPE.ACHA UBAHIRI WEWE MUHA KILA MTU ANAKULA KWA UREFU WA KAMBA YAKE
 
Back
Top Bottom