Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Habarini wadau.

Nahitaji kununua accessories za wanawake kama vile hereni, bangili, mikufu, saa na kadhalika ila kwa bei ya jumla. Nimeambiwa Kariakoo kuna Wachina wanauza hizo.

Naomba mwenye kujua anielekeze tafadhali. Natanguliza shukrani.

Sweetdada
 
Katikat ya mtaa wa Sikukuu na Mchikichi ulizia maduka ya ndani kabsa huko ndo kuna bidhaa zote kuanzia chen za India hadi za China wallets za kike na kiume, maduka ya miwani ya kusomea na urembo na makeup kit zote kuna wanaoleta za Dubai na China zote ni zilezile sema package zinatofautiana.
Mkuu, msaada wa maduka ya jumla ya hereni, cheni, bangili vya wadada tafadhali.

natanguliza shukrani
 
Umuofia kwenu!

Natafuta suruali kadeti nzito aina kama ya NIANJEEP JEANS au DOCKERS SLIM FIT mpya. Au nzuri kama hizo

Zisizovutika na pana chini, wapi naweza kuzipata? Mtaa wa Nyamwezi nimezunguka ila sijazipata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi napajua...wanauza bei tam balaa...sema sasa cjui mtaa...hua naend lkn cjui lipo mtaa gan
Wakubwa kwa anaefahamu mahali wanapouza vijiredio vidogo vidogo na earphone dar-es-salaam kwa bei nzuri ya jumla tafadhari nijulishe nategemea kuanza hii biashara mwezi ujao.

kweli naweza kupata earphone za jumla bei chini ya 1000 na vijiradio vidogo chini ya elfu 5000.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za wakati huu wana jf
Natafuta sehem wanapouza mitumba kwa Bei ya jumla (wholesale) kwa hapa dar

Kwa muuzaji ama anaefaham anicheq
0624113642
 
Msaada kwa anaejua chimbo la vifaa vya pikipiki aina zote kwa bei za jumla hapa dar es salaam
 
Screenshot_20200224-114627.png
Jaman mwenye kujua hii bidhaa zinapatikana wapi kwa hapo Dar kama Una mawasiliano yao naomba please
 
Tena huo msikiti kwa nje huwa wanapangaga viatu vya kike na mapochi.
Ukifika pale kata kushoto au unaweza usikate ila angalia mbele yako utaona lango la kuingilia.
Ingia humo sasa.
Au ukifika hapo msikitini uliza nataka jeanz wanaponunuaga wazambia...utaoneshwa
Mtaa ??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wale wote wanao hitaji bidhaa za aina yoyote jumla za bei chee kariakoo
kama vifaa vya cherehani, spea za pikipiki redio kubwa na vidogo vidogo,
bangili cheni , vipodoz jeans mabegi,ear phone, yaani bidhaa yoyote we
nicheki mimi no hii hapa
0788 41 76 74
nitakupeleka chimbo lake

Na kwa wale wa mikoani wanaweza kuniagizia nikamnunulia nikamtumia mzigo wake
mtu yoyote anaetaka kufanya kazi na mimi
ili kumuondoa wasiwasi Anaweza kuja ofisini kwangu tandika nauza duka la kanzu na naishi y/dovya
kona na vichochoro vyote vya kariakoo
nimeangaika sana humo

Yaani kwa ufupi biashara za jumla kariakoo zipo kila eneo
lkn kupata sehemu za bei chee inahitaji uzoefu
karibuni anaehitaji kunituma nipo teari
na anaehitaji nimpeleke nipo teari.

Ubarikiwe
 
Bora yako mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habar wakuu....?
Nnatafuta chimbo la chupi za wakina Dada kwa jumla
 
mtafte jamaa huyu hapa chini kaachia na contact zake akupe mwongozo

Back
Top Bottom