Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Jamani mtuu anaejua chimbo la vifaa vya umeme pamoja na urembo wa ndani
 
Nenda karume,usiingie ndani,banda lake lipo mwanzo karibu na kituo ni mdada anaitwa Zai ni maarufu sana,huwa kuna mnada,nilipita ilikuwa alhamisi nikakuta watu wengi wanangoja mnada uanze ilikuwa saa 8 na nusu mchana,nahisi mnada ulikuwa uanze saa 9 au 10 jioni
Shukhran sana
 
kuhusu bidhaa za kariakoo
wala usiniulize kuhusu kujua
chimbo lake
mtu akiwa teari anicheki tu
aniambie bidhaa anayo hitaji
nitampekeka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Assalamoualaikom. Msaada kujuzwa chimbo la kupata bidhaa za stationery kwa bei ya jumla.
2. Chimbo la vifungashio mbalimbali kwa bei ya jumla. Niko Dodoma.
Barakallahu Fih
 
Wakuu mwenye connection ya night dress kali za mtumba tafadhali naomba unielekeze.
 
whattapp campaign.PNG
 
Assalamoualaikom. Msaada kujuzwa chimbo la kupata bidhaa za stationery kwa bei ya jumla.
2. Chimbo la vifungashio mbalimbali kwa bei ya jumla. Niko Dodoma.
Barakallahu Fih
Sawa. Shukrani mkuu. Allah akijaalia nitakucheki.
 
Unasumbuka Kutafuta na kujua ni wapi nitapata Bidhaa yangu Kariakoo.

Kariakoo sokoni ni website itakayokuwezesha kutafuta.

Na kununua Bidhaa Unayoitafuta Kariakoo.



whattapp campaign.PNG






How It Works

1. Tuambie Unatafuta Bidhaa Gani Kariakoo

2.Ndani ya saa 24 tutakutarifu a.b.c

A.Mahali inapopatikana Bidhaa yako

B.Picha za Bidhaa Unayoitafuta

C.Bei ya bidhaa

3.Nunua Bidhaa kupitia sisi

4.Tutakusafirishia Bidhaa yako


Features.PNG

 
Nenda karume, usiingie ndani, banda lake lipo mwanzo karibu na kituo ni mdada anaitwa Zai ni maarufu sana, huwa kuna mnada, nilipita ilikuwa alhamisi nikakuta watu wengi wanangoja mnada uanze ilikuwa saa 8 na nusu mchana, nahisi mnada ulikuwa uanze saa 9 au 10 jioni
Mnada jioni tena vipi viatu saa ngapi
 
Assalamoualaikom. Msaada kujuzwa chimbo la kupata bidhaa za stationery kwa bei ya jumla.
2. Chimbo la vifungashio mbalimbali kwa bei ya jumla. Niko Dodoma.
Barakallahu Fih
Vifungashio vinapatikana Kariakoo sokoni

Vifaa vya stationary vipo mtaa Fulani hata jina siujui huwa napita tu
 
Wadau anaejua chimbo la kupata betri hii ya hp laptop kwa Kariakoo, tujuzane tafadhali.
20201210_203537.jpeg
 
Mimi ni mtu wa stationery nahitaji sana velo binding machine ila used maana mpya bei ipo juu sana, msaada please,[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Nimefanikiwa kuagiza bidhaa mbili mwenyewe kutoka China na sasa naziuza. Veeeryyyyy simple
 

Attachments

  • 20201216_074535.jpg
    20201216_074535.jpg
    91.8 KB · Views: 34
  • 20201216_074514.jpg
    20201216_074514.jpg
    82.8 KB · Views: 36
Jamani...Natafuta soko Dar la maharage ya njano kutoka Bukoba...CONNECTION PLZ

0744277050
 
Mimi natafuta chimbo la Jean's original Kariakoo, kwenye kujua mtaa au maduka anijuze tafadhali.
 
Back
Top Bottom