Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukhran sanaNenda karume,usiingie ndani,banda lake lipo mwanzo karibu na kituo ni mdada anaitwa Zai ni maarufu sana,huwa kuna mnada,nilipita ilikuwa alhamisi nikakuta watu wengi wanangoja mnada uanze ilikuwa saa 8 na nusu mchana,nahisi mnada ulikuwa uanze saa 9 au 10 jioni
Assalamoualaikom. Msaada kujuzwa chimbo la kupata bidhaa za stationery kwa bei ya jumla.kuhusu bidhaa za kariakoo
wala usiniulize kuhusu kujua
chimbo lake
mtu akiwa teari anicheki tu
aniambie bidhaa anayo hitaji
nitampekeka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana kaka jamaa wako vizuriIsije ikawa ni mtandao wa wahuni na matapeli?🤷
Sawa. Shukrani mkuu. Allah akijaalia nitakucheki.Assalamoualaikom. Msaada kujuzwa chimbo la kupata bidhaa za stationery kwa bei ya jumla.
2. Chimbo la vifungashio mbalimbali kwa bei ya jumla. Niko Dodoma.
Barakallahu Fih
Mnada jioni tena vipi viatu saa ngapiNenda karume, usiingie ndani, banda lake lipo mwanzo karibu na kituo ni mdada anaitwa Zai ni maarufu sana, huwa kuna mnada, nilipita ilikuwa alhamisi nikakuta watu wengi wanangoja mnada uanze ilikuwa saa 8 na nusu mchana, nahisi mnada ulikuwa uanze saa 9 au 10 jioni
Wapi naweza kupata portable speaker brand ya Anker, JBL nk kwa bei za kishikaji sio hizi za mitandaoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vifungashio vinapatikana Kariakoo sokoniAssalamoualaikom. Msaada kujuzwa chimbo la kupata bidhaa za stationery kwa bei ya jumla.
2. Chimbo la vifungashio mbalimbali kwa bei ya jumla. Niko Dodoma.
Barakallahu Fih
Saa 11 alfajiriMnada jioni tena vp viatu saa ngapi
Duh, yaani nimekuja kugundua mosimo za kufunika bei moja na mikoani kuanzia 25 mpaka 30!Anayehitaji mosimo kuna mtu anauza 18k vya wazi..20 vya kufunika.
😅😅😅 mbona umemjibu kama umuamini mkuu eti kutoka india sio.Kutoka india sio