Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba kufahamu machimbo yaa simu viswaswadu kwa bei nzur
Mkuu unaweza kunicheki tufanye biasharaView attachment 2940784
0672883431
Naomba kujua size ya hizo foilNauza foil jumla na rejareja
jumla 90k zipo 10
Rejareja 10k pc moja.
0696101524
Naomba kufahamu machimbo yaa simu viswaswadu kwa bei nzur
campuscitymall.com
Nina shida na wanapouza Rasta,bei nafuu kwa bei ya jumla,anayejua naomba anifahamishe
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
campuscitymall.com
Hii cabs instagram mbona hajapost bidhaa muda mrefu na haionyeshi kama anauza vijora vya pazia
campuscitymall.com
Napata wapi maduka ya vipodozi perfume spray na mafuta
campuscitymall.com
Nataka chimbo za zile tshirt na bukta feki, zinakua na picha picha za watu maarufu
campuscitymall.com
Wakuu chimbo la pombe kali kariakoo naombeni Masaada wenu.
campuscitymall.com
Msaada wa dharura tafadhali natafuta chimbo au mtu anayejua mahali naweza pata spea za pikipiki aina zote kwa bei ya wholesale tafadhali
campuscitymall.com
Sina uhakika Exactly ila mitumba mingi nguo nguo inakua baina ya Lumumba na Livingstone, mfano Narung'ombe na Livingstone mpaka Narung'ombe na Lumumba Kuna maduka mengi yanauza mabelo, na mtaa unafuata mahiwa,
Pia Mafia na Livingstone kama unaenda Mafia na sikukuu ipo mitumba ya mabelo.
Ukifika maeneno hayo hata kama utakosa watakuelekeza wenzao.
campuscitymall.com
campuscitymall.com
Kkoo ndani ya miezi kadhaa tu watu wana hama kila sehemu, physical book ni kupigwa tu![]()
Kitabu cha Machimbo ya Biashara Kariakoo bidhaa za jumla na rejareja bei nafuu
Ni kitabu kizuri sana kwa wafanya biashara. Kina namba za suppliers 600 wa jumla na rejareja. Kina maduka ya wachina yanayo patikana Kariakoo. Whatsapp: 0612607426 Email: bandg.editors@gmail.comcampuscitymall.com
Umeambiwa hicho kitabu kina namba za simu 600. Namba za simu zinahama?Kkoo ndani ya miezi kadhaa tu watu wana hama kila sehemu, physical book ni kupigwa tu