Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Naomba kufahamu machimbo yaa simu viswaswadu kwa bei nzur

Mkuu unaweza kunicheki tufanye biashara
7c702393-fe08-4c9a-a2f4-2ac1c04b54f6.jpg

0672883431
 
Kwa ambaye anahitaji chimbo la spare za pikipiki kariakoo ni cheki tufanye biashara...duka liko karibu na cate hotel kariakoo.
 

Attachments

  • Screenshot_20240722-092039_Gallery.jpg
    Screenshot_20240722-092039_Gallery.jpg
    915.5 KB · Views: 18
  • Screenshot_20240722-092013_Gallery.jpg
    Screenshot_20240722-092013_Gallery.jpg
    876.3 KB · Views: 19
  • Screenshot_20240722-091918_Gallery.jpg
    Screenshot_20240722-091918_Gallery.jpg
    1.2 MB · Views: 21
Sina uhakika Exactly ila mitumba mingi nguo nguo inakua baina ya Lumumba na Livingstone, mfano Narung'ombe na Livingstone mpaka Narung'ombe na Lumumba Kuna maduka mengi yanauza mabelo, na mtaa unafuata mahiwa,

Pia Mafia na Livingstone kama unaenda Mafia na sikukuu ipo mitumba ya mabelo.

Ukifika maeneno hayo hata kama utakosa watakuelekeza wenzao.
 
Back
Top Bottom