Asante kwa taarifa mkuu, njia ya Kawetele nishapita na basi za Sabena kwenda Mwanza kupitia Tabora, hadi kambi Katoto huko.Ogho! Ukipita njia ya mbalizi hiyo ni chunya ya songwe, hii ya kawetere ni Mbeya
Mgahawani kwa buku au buku jero unapata wali,maharage,dagaa,mboga majani,kabeji,mchuzi wa nyama sometimes na roast,kipindi cha matunda unapata na kipande cha parachichi au ndizi 😂. Uyole ni paradiso ya vyakulaUyole mboga za majani fungu 1 sh 100 ushindwe wewe Tu😀😀😀
Bila shaka upo ng'ambo ya stand ya usangu hapo 😄Nipo zangu uyole nakula kongoro
Haujaelewa response yangu, mbeya nimeishi most of my life (primary chool-mbozi, sec school-Tukuyu, kazi nilianza MBEYA mjini). Pia DAR nimekaa kipindi kirefu, I know the diffencesNenda Mbeya kisha ufananishe na thiore yako. Usishangae ukienda bucha kununua nyama unapewa na fungu la nyanya bure! Hiyo ndiyo Mbeya.
2,500Dar lita bei gani?
Hapo uyole bei ya frame ni elfu 50 kwa 70.sukari kuna inayotoka zambia na Malawi bei ni elfu 2,300 kwa kiloMfuko wa Cement, Sukari, na Chupa za Maji, Uhai, Kilimanjaro au Juice ya Pakti ya Azam ni bei gani ? Bila kusahau average Kodi ya Pango wanalouzia bidhaa zao.
Mzee niko bush saiviii, mademu wa Bar za Uyole Abnormal mkuu 😂 😂Njoo universal hapa tutoe lock mkuu, ila mademu wa bar za huku achana nao kabisa mkuu
Ndio nimeshangaa kuna mtu alitaka kupotosha kwamba kwasasa Mbeya maisha ni ghali wakati kwa buku Uyole napata menu ya mboga saba
Nimenunua leo mashineni pale kwa Raphael wa kurudi nao dar waneniuzia 38k.Mahindi yamepanda debe 14000, Michele nao unaanza kupaa wa 35000 ni Yale matakataka ulitaka super ni 40000, mafuta lita Tano 30000, sema juice biscuit na pipi zinazotoka Zambia Bei ipo chini huku, pia Kuna simu hadi za 10000 huku mpya
Kuna lile soko la Soweto. Ukienda na buku unarudi na fuko limejaa magaza.Mimi nimeishi Mbeya maisha yangu yote, Airport ndo mtaa niliozaliwa. Nimesoma Mbeya kuanzia elimu ya msingi hadi chuo kikuu, nimetoka Mbeya mara chache sana na kipindi nikichotoka muda mrefu zaidi ni mwezi mmoja (napo nilikuwa locked up Morogoro).
Miaka kama mitatu iliyopita nilihamia Uyole, maisha ya huku nilishangaa kama ambavyo mtu anaetoka Dar anavoshangaa Mbeya. Huku vitu ni zaidi ya bei rahisi, sio vyakula, sio sehemu za kuishi, sio pisi!
Ipo MbeyaChunya si ipo mkoa wa Songwe mkuu au !!!
Labda ungesema madini.Chunya si eneo la kilimo, maeneo ya madini huwa makavu.
Wakati umefika tuachane na Kiswahili huenda tutaelewana.Labda ungesema madini.
Sawa mkuuIpo Mbeya