Wafanyabiashara wa vyakula wa mkoa wa mbeya faida wanazipataje?

Wafanyabiashara wa vyakula wa mkoa wa mbeya faida wanazipataje?

Ogho! Ukipita njia ya mbalizi hiyo ni chunya ya songwe, hii ya kawetere ni Mbeya
Asante kwa taarifa mkuu, njia ya Kawetele nishapita na basi za Sabena kwenda Mwanza kupitia Tabora, hadi kambi Katoto huko.
 
Uyole mboga za majani fungu 1 sh 100 ushindwe wewe Tu😀😀😀
Mgahawani kwa buku au buku jero unapata wali,maharage,dagaa,mboga majani,kabeji,mchuzi wa nyama sometimes na roast,kipindi cha matunda unapata na kipande cha parachichi au ndizi 😂. Uyole ni paradiso ya vyakula

Juzi nilikuwa na mshkaji tulikuwa tunatoa kitu maskani ile tumeenda nunua nyanya nikamuambia tuchukuwe za 300 ye akakaza hazitotosha ile anatupa nyanya kama robo tatu ya sado mshkaji akadata sijasema za 2000 😂
 
Dar lazima vitu viwe ghali kwa sababu ya mzunguko wa hela ni mkubwa
Pia bidhaa zote zinaingia kutoka umbali flani
 
Nenda Mbeya kisha ufananishe na thiore yako. Usishangae ukienda bucha kununua nyama unapewa na fungu la nyanya bure! Hiyo ndiyo Mbeya.
Haujaelewa response yangu, mbeya nimeishi most of my life (primary chool-mbozi, sec school-Tukuyu, kazi nilianza MBEYA mjini). Pia DAR nimekaa kipindi kirefu, I know the diffences
 
Jibu n kwamba supply n kubwa afu demand n ndogo...hakuna mzunguko hapoo wa pesa
 
Mfuko wa Cement, Sukari, na Chupa za Maji, Uhai, Kilimanjaro au Juice ya Pakti ya Azam ni bei gani ? Bila kusahau average Kodi ya Pango wanalouzia bidhaa zao.
Hapo uyole bei ya frame ni elfu 50 kwa 70.sukari kuna inayotoka zambia na Malawi bei ni elfu 2,300 kwa kilo
 
Njoo universal hapa tutoe lock mkuu, ila mademu wa bar za huku achana nao kabisa mkuu

Ndio nimeshangaa kuna mtu alitaka kupotosha kwamba kwasasa Mbeya maisha ni ghali wakati kwa buku Uyole napata menu ya mboga saba
Mzee niko bush saiviii, mademu wa Bar za Uyole Abnormal mkuu 😂 😂
 
Mahindi yamepanda debe 14000, Michele nao unaanza kupaa wa 35000 ni Yale matakataka ulitaka super ni 40000, mafuta lita Tano 30000, sema juice biscuit na pipi zinazotoka Zambia Bei ipo chini huku, pia Kuna simu hadi za 10000 huku mpya
Nimenunua leo mashineni pale kwa Raphael wa kurudi nao dar waneniuzia 38k.
 
Mimi nimeishi Mbeya maisha yangu yote, Airport ndo mtaa niliozaliwa. Nimesoma Mbeya kuanzia elimu ya msingi hadi chuo kikuu, nimetoka Mbeya mara chache sana na kipindi nikichotoka muda mrefu zaidi ni mwezi mmoja (napo nilikuwa locked up Morogoro).

Miaka kama mitatu iliyopita nilihamia Uyole, maisha ya huku nilishangaa kama ambavyo mtu anaetoka Dar anavoshangaa Mbeya. Huku vitu ni zaidi ya bei rahisi, sio vyakula, sio sehemu za kuishi, sio pisi!
Kuna lile soko la Soweto. Ukienda na buku unarudi na fuko limejaa magaza.
 
Back
Top Bottom