Wafanyabiashara walioporwa mabilioni na Mwendazake kurejeshewa fedha hizo na Rais Samia

Kwa kuwa watarejeshewa mabilioni yao kwa kutumia tozo zetu haina shida. Tena kuna haja waliobomolewa nyumba zao pale ubungo nao walipwe kwa tozo hizo hizo.
 
Mi nakumbuka Rost Tamu alitoa mabilioni ili kumkomboa ndugu yake aliyeshikwa na vidude vya serikali, isijekuwa ndo wanataka kumrudishia huyo, wengine wataishia kunawa tu, kula no.
 
Mi nakumbuka Rost Tamu alitoa mabilioni ili kumkomboa ndugu yake aliyeshikwa na vidude vya serikali, isijekuwa ndo wanataka kumrudishia huyo, wengine wataishia kunawa tu, kula no.
Huyu jamaa naona ameanza kumsifu Rais Samia ili amrudishe serikalini. Hatutakiiiiii
 
Kama walioporwa hawakushitaki popote,?

Je Kuna ushahidi gani wa kiwango halisi kilichoporwa?
Au Kuna ushahidi upi kwamba fulani aliporwa?

Hii inchi Sasa ndy inatumbukia kwenye korongo rasmi na kuizika.,

Haiingii akilini ,,mtu aporwe pesa bila ushahidi wowote halafu serikali ibebe jukumu la kuirudisha pesa.
 
Team maskini na team rohombaya.......a.k.a team jiwe watanuna
 
Mi nakumbuka Rost Tamu alitoa mabilioni ili kumkomboa ndugu yake aliyeshikwa na vidude vya serikali, isijekuwa ndo wanataka kumrudishia huyo, wengine wataishia kunawa tu, kula no.
Jiwe alikua shetani mkubwa
 
Tunaamini kuwa hizi hela zilipochukuliwa kuna mahali zilipelekwa na mpaka sasa bado zipo. Ni vema zikahukuliwa hizo wakarudishiwa kuliko kwenda kuchukua kodi zetu. Msitufanye sisi wajinga. Hapo zitachuliwa hela kwa mabilioni kwa kisingizio cha kulipa wafanyabiashara kumbelengo ni kulipana wenyewe. System yote ya serikali ya CCM imeoza haijalishi ni nani anaongoza.

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Hapa tunaenda kupigwa
 
Haya mambo mengine ni kufikirika na kujaza hadithi za hadaa..... Hawa watu hiyo fedha walikuwa wanaipata wapi? ambayo inachukuliwa cash?? Mfanyabiashara halisi wa kiwango cha juu, huu hana cash, iwe benki au ndani ya ofisi yake..Alichonacho yeye ni thamani, ndiyo inamfanya apate mikopo benki au kutoka kwa watu wengine.. Hawa wanaosema waliporwa hela cash, sidhani ni hela halali hiyo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…