Wafanyabiashara walioporwa mabilioni na Mwendazake kurejeshewa fedha hizo na Rais Samia

Maandiko matakatifu yanasema kama ukiona uovu unatendeka zuia nakama ukishindwa kuzuia basi kemea
na kama ukishindwa kukemea basi walau onyesha kuwa umechukizwa na huo uovu

Hoja yangu ikohvi
Kama kuna uovu au uonevu uliyotendeka kipindi kile yeye akiwa makamo je niatuagani alizo chukuwa kuonyesha kuwa yeye hakuwa sehem ya uovu huo

Jambo la pili ikiwa yeye hakuwa sehemu ya uovu na hakubariki jambo hilo je ujasili wakuendelea kula keki na mtu muovu kwenye meza moja alitowa wapi

Mwisho kwakuwa kaonyesha niathabiti na dhamira ya kuihishi kweli na haki basi kabra hajaanza kurudisha hizo fedha nivema na haki akawakamata wale wote walio husika na huo uovu ikiwa namaana kuwa kuanzia kire kikosi kazi mpaka na wale walio buni huo mkakati

Naamini kwakufanya hivyo pengine dhamira yake ya kuitenda haki itatimia pasipo kuacha mashaka yoyote

Mungu ampe nguvu na ujasili naamini mama anaweza maana tayari kaonyesha uthubutu
 
Hivi inamaana waliteuliwa tu baadhi ya wafanyabiashara alafu wakaporwa fedha zao na wengine kama Bakhresa na Mo Dewji wakaachwa ili hali ndiyo mabilionea wakubwa!!

Hii inaingia akilini kweli?mimi naamini wengi wapiobananishwa ni wakwepa Kodi wazuri na vilevile kama kweli walinyang'anywa Mali yao halali mbona hawakuishitaki serikali mahakamani ili warudishiwe Mali zao walizochuma kihalali?

Bado nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa walionewa!!
Washitaki mahakama za wapi chini ya utawala wa Jiwe,mwenzio hata uchaguzi alijichagulia viongozi aliowapenda bila ridhaa ya wananchi ili wakidhi matakwa yake na si matakwa ya wananchi wa Tanzania.
 
Ila mahakama chini ya samia ziliweza kumshitaki mbowe.
Na wakashindwa mpango uliokuwa umeandaliwa na Magufuri kwamba mara atakapowaengua kwenye madaraka aanze kumshitaki mmoja baada ya mwingine na kuhakikisha kuwa wanafungwa kabisa ili wasijerudi kwenye mlengo wa siasa,Samiah alikurupuka sana kufuata nyayo za mwendazake.
 
Katika hili mwendazake hahusiki. Mpango ungekuwa umesukwa toka mwanzo mashahidi upande wa JMT wasingekuwa wanajichanganya kiasi kile. Hapo mama yenu alivuruga hadi akakimbilia kutoa msamaha kitu ambacho kwa kesi hatari kama hiyo hakipaswi kufanywa.
 
Washitaki mahakama za wapi chini ya utawala wa Jiwe,mwenzio hata uchaguzi alijichagulia viongozi aliowapenda bila ridhaa ya wananchi ili wakidhi matakwa yake na si matakwa ya wananchi wa Tanzania.
Ukiongeza hili na lile la jaribio la mauaji ya TL, utaona kwanini Mungu aliamua kuingilia kati.
 
Katika hili mwendazake hahusiki. Mpango ungekuwa umesukwa toka mwanzo mashahidi upande wa JMT wasingekuwa wanajichanganya kiasi kile. Hapo mama yenu alivuruga hadi akakimbilia kutoa msamaha kitu ambacho kwa kesi hatari kama hiyo hakipaswi kufanywa.
Amin usiamini mpango ulishasukwa kitambo kwamba iwe mvua au jua lazima tuhakikishe kuwa Mbowe si mwenyekiti wa CHADEMA kwa namna yoyote ile,Rejea uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019,Uchaguzi Mkuu 2022 na sakata la Wabunge 19.
 
Hapana. Huu ni uongo. Rejea kuitwaitwa ikulu kwa mbowe kulambishwa asali ili akae kimya. Ni wazi kuwa mbowe angetia doa utawala wa mzenji.
 
Sipingani na wewe baada ya kuona mambo yataharibika akaitwa ikulu na kuahidiwa kurudishiwa yote yale ambayo aliharibiwa na mwendazake kwa sharti moja apunguze spidi ili Mama aendelee kupiga kimya kimya.
 
Mwendazake alimnyima ubunge tu. Mengineyo awamu ya 6 ilitekeleza
 
Unaandika haya ukiwa sio mhanga wa dhuluma, ni hadithi umezisikia vijiweni ukazileta humu kama zilivyo.
Wewe muhanga ambae hujasikia habari za vijiweni, tuambie Jiwe alikupora sh ngapi.

Pia sasa hivi jiwe hayupo umeshaenda mahakamani kuishtaki serikali kwa kukupora mali zako?? Kama bado unasubiri nini?

Kama sio muhanga labda unawafahamu wahanga wambie jiwe Hayupo tena wanaogopa nn kuishtaki serikali kwa uporaji?
 
Hao matajiri ni kina nani, watatajwa hadaharani kiasi walichonyanganywa Kama kweli ndivyo, tutajuaje kiasi wanachorudishiwa nii hicho na ni wale wale.
Vinginevyo isije kuwa ni mwendelezo wa kupigwa na vitu vizito maana 2025 siyo mbali.
 
Mh, ni jambo jema lakini hayo asiyafanye kama yeye hakuwemo kwenye ile serikali na yeye alikuwemo na alishiriki
Permanent Plan ni kuwaondolea TRA umungu mtu na kuweka mifumo ya kodi inayo tabirika. Kodi zote za 2015 to 2020 zisamehewe fully maana TRA walikuwa under pressure ku meet very high target waliyopewa.

Badili sheria, futa makodi ya ajabi ajabi yote, then tuanze na mioyo safiiiiii.
 
Hivi inamaana waliteuliwa tu baadhi ya wafanyabiashara alafu wakaporwa fedha zao na wengine kama Bakhresa na Mo Dewji wakaachwa ili hali ndiyo mabilionea wakubwa!!

Hii inaingia akilini kweli?mimi naamini wengi wapiobananishwa ni wakwepa Kodi wazuri na vilevile kama kweli walinyang'anywa Mali yao halali mbona hawakuishitaki serikali mahakamani ili warudishiwe Mali zao walizochuma kihalali?

Bado nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa walionewa!!
Mahakama zote zilishikwa mikono niambie ni mahakama ipi ungeenda kushtakia!?
 
Back
Top Bottom