Akabi kemanya
JF-Expert Member
- Oct 26, 2021
- 226
- 346
Maandiko matakatifu yanasema kama ukiona uovu unatendeka zuia nakama ukishindwa kuzuia basi kemea
na kama ukishindwa kukemea basi walau onyesha kuwa umechukizwa na huo uovu
Hoja yangu ikohvi
Kama kuna uovu au uonevu uliyotendeka kipindi kile yeye akiwa makamo je niatuagani alizo chukuwa kuonyesha kuwa yeye hakuwa sehem ya uovu huo
Jambo la pili ikiwa yeye hakuwa sehemu ya uovu na hakubariki jambo hilo je ujasili wakuendelea kula keki na mtu muovu kwenye meza moja alitowa wapi
Mwisho kwakuwa kaonyesha niathabiti na dhamira ya kuihishi kweli na haki basi kabra hajaanza kurudisha hizo fedha nivema na haki akawakamata wale wote walio husika na huo uovu ikiwa namaana kuwa kuanzia kire kikosi kazi mpaka na wale walio buni huo mkakati
Naamini kwakufanya hivyo pengine dhamira yake ya kuitenda haki itatimia pasipo kuacha mashaka yoyote
Mungu ampe nguvu na ujasili naamini mama anaweza maana tayari kaonyesha uthubutu