Wafanyabiashara walioporwa mabilioni na Mwendazake kurejeshewa fedha hizo na Rais Samia

Mtoa mada kaja mbio baada ya kutumwa na walaji asali[emoji23][emoji23][emoji23]
Watu kama hawa wanatakiwa wapigwe Risasi hadharani.
Kusema habari kama hii ni kujipendekeza.
Habari kama hii haina tija yoyote.
Mpuuzi kama wewe unatoa post kwa tashtiti kama binti alie toka kubakwa ghafla akutane na waandishi wa habari na kuwasimulia kilicho mpata.
Acha shobo kujipendekeza kwa matajiri ili ule kilaini mjijini.
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Leo katika kipindi cha uchambuzi wa magazeti kupitia redio ya Wasafi FM, imeelezwa kwamba wale wafanyabiashara walioporwa mabilioni ya fedha na kikosi kazi kilichoundwa na Mwendazake, sasa watarudishiwa fedha zao rasmi. Hii ni moja ya hatua za kuponya maumivu na uharibifu uliofanywa na serikali ya awamu ya 5 chini ya Mwendazake.

Katika taarifa hiyo, imeelezwa yupo mfanyabiashara mmoja aliyeporwa jumla ya Tsh 3.5 bilion na kumpelekea kufilisika kibiashara. Mh mama Samia hataki kuongoza nchi yenye watu waliopondeka mioyo kutokana na kunyanyaswa na serikali iliyopita. Ndio maana anafanya jitihada zote kuhakikisha anatibu majeraha na makovu yote yaliyosababishwa na serikali iliyopita ili nchi isonge mbele bila kinyongo.

MAONI YANGU
Namkubali sana Mh mama Samia kwa ujasiri wake huu ijapokuwa kuna baadhi ya wanaCCM hawapendi kuona watanzania wenzao wakiishi maisha bora katika nchi hii. Sote ni mashahidi jinsi wafanyabishara walivyokuwa wakiporwa fedha na akina Sabaya na Makonda (wateule wa Mwendazake) bila kuchukuliwa hatua zozote, hadi baadhi ya wafanyabiashara wakaamua kuikimbia nchi. Ukweli wa jambo hili umeanza kudhihirika wazi baada ya baadhi ya wafanyabiashara kuwafungulia mashataka wahalifu hawa wawili waliokuwa vipenzi wa Mwnedazake.

Nawasilisha.
Labda walioporwa wana mahusiano na wakubwa !! Yaani wenzetu !! Au ??!
 
Hakuna mtu aliporwa, hao ni wapiga dili haramu na wakwepa kodi kwa mgongo wa vigogo waliokuwa nyuma yao na walipata kile walichostahili kupata, ndomana hutawasikia wakitoka hadharani kuyasema Haya.

Mambo mengine ni mazito yangewekwa hadharani kuna watu husingewaheshimu tena,

Pia kila nchi unayoijua wewe sio kila jambo linapatiwa ufumbuzi mahakamani, zipo njia mbadala ambazo zimetumika kwa watu wengi tu ulimwenguni yakiwemo mauaji, kunyang'anya mali n.k
Hata marekani alifunguaga Guantanamo bay!!
 
Hawo wahuni ni Mwendazke na genge lake. Unadhani yale mabulungutu aliyokuwa anagawa ovyo kwenye ziara zake yalikuwa yanatoka wapi?
Na yale maburungutu yaliyokuwa yanabebwa kwenye masandarusi kutoka benki enzi za JK yalikuwa ya nani ??!
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Leo katika kipindi cha uchambuzi wa magazeti kupitia redio ya Wasafi FM, imeelezwa kwamba wale wafanyabiashara walioporwa mabilioni ya fedha na kikosi kazi kilichoundwa na Mwendazake, sasa watarudishiwa fedha zao rasmi. Hii ni moja ya hatua za kuponya maumivu na uharibifu uliofanywa na serikali ya awamu ya 5 chini ya Mwendazake.

Katika taarifa hiyo, imeelezwa yupo mfanyabiashara mmoja aliyeporwa jumla ya Tsh 3.5 bilion na kumpelekea kufilisika kibiashara. Mh mama Samia hataki kuongoza nchi yenye watu waliopondeka mioyo kutokana na kunyanyaswa na serikali iliyopita. Ndio maana anafanya jitihada zote kuhakikisha anatibu majeraha na makovu yote yaliyosababishwa na serikali iliyopita ili nchi isonge mbele bila kinyongo.

MAONI YANGU
Namkubali sana Mh mama Samia kwa ujasiri wake huu ijapokuwa kuna baadhi ya wanaCCM hawapendi kuona watanzania wenzao wakiishi maisha bora katika nchi hii. Sote ni mashahidi jinsi wafanyabishara walivyokuwa wakiporwa fedha na akina Sabaya na Makonda (wateule wa Mwendazake) bila kuchukuliwa hatua zozote, hadi baadhi ya wafanyabiashara wakaamua kuikimbia nchi. Ukweli wa jambo hili umeanza kudhihirika wazi baada ya baadhi ya wafanyabiashara kuwafungulia mashataka wahalifu hawa wawili waliokuwa vipenzi wa Mwnedazake.

Nawasilisha.
Kumpora mtu jasho lake ukiwa huna ushahidi ni laana mbaya sana kwa taifa zima, ni dhuluma na Mungu anaangalia moyoni haangali ule unyenyekevu wa kinafiki wa kupiga magoti kanisani kila Jumapili.

SSH anatafuta baraka za Mungu zisizoonekana lakini zinafanya kazi maishani mwetu kila tukiamka na kila tunapokwenda kulala.
 
Hakuna mtu aliporwa, hao ni wapiga dili haramu na wakwepa kodi kwa mgongo wa vigogo waliokuwa nyuma yao na walipata kile walichostahili kupata, ndomana hutawasikia wakitoka hadharani kuyasema Haya.

Mambo mengine ni mazito yangewekwa hadharani kuna watu husingewaheshimu tena,

Pia kila nchi unayoijua wewe sio kila jambo linapatiwa ufumbuzi mahakamani, zipo njia mbadala ambazo zimetumika kwa watu wengi tu ulimwenguni yakiwemo mauaji, kunyang'anya mali n.k
Unaandika haya ukiwa sio mhanga wa dhuluma, ni hadithi umezisikia vijiweni ukazileta humu kama zilivyo.
 
Bado mnaendelea kuaminisha watu kua mlikua sawa na mlionewa, nyie mlikwepa Kodi majizi makubwa nyie, na kusababisha wanyonge kuendelea kukosa dawa, madawati, zahanati, maji na mengineyo, mlipotemeshwa fedha bado mmeendelea kutetea wizi wenu ili muonekane mlikua sawa, mtahukimiwa mbaya kabisa washenzi nyie
Hizi ni akili mbaya sana za kivivu na kijamaa. Akili za kumwona kila mwenye fedha amezipata kwa njia haramu.

Mara nyingi wenye akili kama hizi ni wale waliokuzwa katika maisha ya taabu utotoni na elimu zao ndio zimekuja kuwapa nafasi serikalini. Poor evil mindset.
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Leo katika kipindi cha uchambuzi wa magazeti kupitia redio ya Wasafi FM, imeelezwa kwamba wale wafanyabiashara walioporwa mabilioni ya fedha na kikosi kazi kilichoundwa na Mwendazake, sasa watarudishiwa fedha zao rasmi. Hii ni moja ya hatua za kuponya maumivu na uharibifu uliofanywa na serikali ya awamu ya 5 chini ya Mwendazake.

Katika taarifa hiyo, imeelezwa yupo mfanyabiashara mmoja aliyeporwa jumla ya Tsh 3.5 bilion na kumpelekea kufilisika kibiashara. Mh mama Samia hataki kuongoza nchi yenye watu waliopondeka mioyo kutokana na kunyanyaswa na serikali iliyopita. Ndio maana anafanya jitihada zote kuhakikisha anatibu majeraha na makovu yote yaliyosababishwa na serikali iliyopita ili nchi isonge mbele bila kinyongo.

MAONI YANGU
Namkubali sana Mh mama Samia kwa ujasiri wake huu ijapokuwa kuna baadhi ya wanaCCM hawapendi kuona watanzania wenzao wakiishi maisha bora katika nchi hii. Sote ni mashahidi jinsi wafanyabishara walivyokuwa wakiporwa fedha na akina Sabaya na Makonda (wateule wa Mwendazake) bila kuchukuliwa hatua zozote, hadi baadhi ya wafanyabiashara wakaamua kuikimbia nchi. Ukweli wa jambo hili umeanza kudhihirika wazi baada ya baadhi ya wafanyabiashara kuwafungulia mashataka wahalifu hawa wawili waliokuwa vipenzi wa Mwnedazake.

Nawasilisha.
tunamtakia kila la keri na kazi iendelee.
 
yule hakuwa rais bali alikuwa jambazi
Pia alikuwa Mkabila na Mkanda pia alikuwa na chuki na ndugu zetu Wachaga huku Chawa wake wakimuaminisha kuwa Matajiri wa Kichaga ndio wanaoichangia CHADEMA.

TRA ikaambiwa iwaharass Wafanyabiasha hao kwa lengo la kuwafilisi.
 
Kwani sasa hivi wananchi wanakaa chini? hospitalini hakuna dawa? maji yanapatikana?
Acha upoyoyo wewe ndezi!
Kauli yako ya mwisho tu umeonyesha wazi unatokea wapi hapa Tanzania, nyie ni majambazi makubwa pumbavu sana, rejesheni pesa za wananchi majizi nyie, kalieni Siasa zenu za ugomvi zisizo na tija
 
Hizo hela anazorudisha anazitoa wapi?.

Na hizo hela zilizoporwa zilikwenda wapi?.
Lakini wakati mwingine adhabu zisione huruma wala aibu.
Mke wa marehemu anakula kwa ulaini pension naarupurupu mengine wakati wapo watu wamefilisika na kufa na family zao ziko kwenye shida.
Kama Rais au kiongozi mwingine anagundulikana kapora au kutumia madaraka vibaya na kafa basi hata familia yake iipate taabu na fedheha kiasi ili watu waache dhuluma maana watajua mke na watoto watalipia dhambi afanyazo akifa.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Hakina nani hao tuwajue,tujue na biashara gani walikuwa wakifanya, maana naona kuna mpango wa kufisadi ela za walalaoi, Maana sijawahi kumsikia Backeresa au Mo au Mengi kabla ya kifo wakilalamika kuhusu kupolwa fedha zao kwenye account zao,na ndio wafanyabiara wakubwa nchi hii,ila kelele hizi unazisikia kwa Wachaga na Chadema.
Hizi nazo akili? Ama kweli Lumumba wamekunyanganya akili zote kichwa kimebaki cha kufugia nywele tu! Endeleeni na ujinga wenu lakini awamu hii lazima mle ma.vi maana mlizoea vya kunyonga enzi za mwendazake sasa lazima akili ziwarudie mbwa nyie! 😳 🙄 😎
 
Kauli yako ya mwisho tu umeonyesha wazi unatokea wapi hapa Tanzania, nyie ni majambazi makubwa pumbavu sana, rejesheni pesa za wananchi majizi nyie, kalieni Siasa zenu za ugomvi zisizo na tija
Kwani mimi hapa natetea nini? Si natetea majambazi waliopora hela za wafanyabiashara warudishe au umeni-quote vibaya kiongozi?
 
Hata mbowe nae alipwe fidia kwa kusoteshwa mahabusu na huyo mzurulaji.

Hata iweje, kiutendaji mwendazake was the best. Sema tu ni vile watanzania ni wasahaulifu na ni wajinga pia.
 
Back
Top Bottom