Wafanyabiashara walioporwa mabilioni na Mwendazake kurejeshewa fedha hizo na Rais Samia

Ana miezi 20 hayupo, mbona hakuna mtu ameenda kushtaki?
Kwanini tunakubali kuchezeshwa huu mziki?
Bado system ni ile ile(CCM),usitegemee haki kupatikana mpaka hili genge lote lisepe pamoja na hiko chama kumbuka linapokuja ishu ya maslahi CCM huwa kitu kimoja, hata hiyo kuambiwa watarudishiwa ni geresha tu Samia anang'ata na kupuliza ndo maana hadi leo wapinzani hawajawahi fanya siasa kwa amani japo Jiwe hayupo.Angalia mfano walioshtaki si unaona Sabaya mashataka yanavyofutwa kinyemela.
 
Nashauri twende mbali kidog. Katika fedha zilizoporwa kuna asililia kubwa iliingia kwenye vikosi kazi kama 3 vya kupora mali za waliokuwa targeted . Kulikuwa kile cha TRA na kulikuwa kile kilichokuwa chini ya DPP Biswalo na cha tatu ndiyo hicho cha Makonda na Sabaya. Isiishie kuwarudishia fedha walioporwa bali wale waliohusika wafikishwe kwenye vyombo vya sheria ili tuweze ku-recover baadhi ya fedha walizojigawia.
Hilo jambo sahau kwa CCM ukiwa muhalifu unatunukiwa cheo angalia Kingai.
 
Na mimi hapo ndo nitaendelea kumkubali JPM mpaka kesho, the courage to do what’s necessary, mfano mtu kama Chen.ge kila mtu anajua ameiba ila huwezi kumpeleka kokote ukamfunga kwa namna alivokua anasuka dili zake, why mtu kama huyu upoteze nae muda kwenye kesi wakati ukimtaiti kwenye mifumo mbadala anaweza kutema kila alichoiba?
Mbona sasa hakumtaiti huyo chenge?

Jiwe alikua mbaguzi na mwizi alikua nakwapua pesa za watu wasiokua na mizizi CCM.Naweza mpongeza kwa mambo mengi ila kuhusu wizi aliufanya hasa bila akili
 
Hongera Rais Samia, Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu ya baraka
Magu hakuwa mjinga Ni kwamba alikuwa abcd zote za mtu mkwepa Kodi hajakurupuka lzm alikuwa na data na ukando kando wa mfanyabiasharaaa
 
Sa100 alishiriki dhuluma hiyo kwa vp? Au inaposemwa jiwe alikuwa dikteta huelewi maana yake? Kama ni collective responsibility, sawa, maana wote- jiwe na S100 ni ukoo mmoja uliolaaniwa wa ccm.
Samia hana excuse katika hili kama angekua hafurahishwi na yaliyokua yanatendeka angejiuzulu.
 
Mbona sasa hakumtaiti huyo chenge?

Jiwe alikua mbaguzi na mwizi alikua nakwapua pesa za watu wasiokua na mizizi CCM.Naweza mpongeza kwa mambo mengi ila kuhusu wizi aliufanya hasa bila akili
Huyu jiwe alivamia mikoa ya kaskazini na baadhi ya dar na ali target wachaga, hata ukisoma uchunguzi wa gazeti la mwananchi utaona walioathirika ni wachaga na majirani zao.ukienda mbali zaidi hata bomoa bomoa ya kimara walengwa ni wachaga na hilo hakupepesa macho ndo maana mwanaza airport (wasukuma wenzake) aliwaambia wazi kuwa wasivunjiwe. Huyu alifanana kabisa na shetani mkuu(Lucipher)
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Leo katika kipindi cha uchambuzi wa magazeti kupitia redio ya Wasafi FM, imeelezwa kwamba wale wafanyabiashara walioporwa mabilioni ya fedha na kikosi kazi kilichoundwa na Mwendazake, sasa watarudishiwa fedha zao rasmi. Hii ni moja ya hatua za kuponya maumivu na uharibifu uliofanywa na serikali ya awamu ya 5 chini ya Mwendazake.

Katika taarifa hiyo, imeelezwa yupo mfanyabiashara mmoja aliyeporwa jumla ya Tsh 3.5 bilion na kumpelekea kufilisika kibiashara. Mh mama Samia hataki kuongoza nchi yenye watu waliopondeka mioyo kutokana na kunyanyaswa na serikali iliyopita. Ndio maana anafanya jitihada zote kuhakikisha anatibu majeraha na makovu yote yaliyosababishwa na serikali iliyopita ili nchi isonge mbele bila kinyongo.

MAONI YANGU
Namkubali sana Mh mama Samia kwa ujasiri wake huu ijapokuwa kuna baadhi ya wanaCCM hawapendi kuona watanzania wenzao wakiishi maisha bora katika nchi hii. Sote ni mashahidi jinsi wafanyabishara walivyokuwa wakiporwa fedha na akina Sabaya na Makonda (wateule wa Mwendazake) bila kuchukuliwa hatua zozote, hadi baadhi ya wafanyabiashara wakaamua kuikimbia nchi. Ukweli wa jambo hili umeanza kudhihirika wazi baada ya baadhi ya wafanyabiashara kuwafungulia mashataka wahalifu hawa wawili waliokuwa vipenzi wa Mwnedazake.

Nawasilisha.
Jambazi Magufuli hata shetani hawezi kumkumbuka!
 
1446634139814.jpg
 
Bado mnaendelea kuaminisha watu kua mlikua sawa na mlionewa, nyie mlikwepa Kodi majizi makubwa nyie, na kusababisha wanyonge kuendelea kukosa dawa, madawati, zahanati, maji na mengineyo, mlipotemeshwa fedha bado mmeendelea kutetea wizi wenu ili muonekane mlikua sawa, mtahukimiwa mbaya kabisa washenzi nyie
Kwani sasa hivi wananchi wanakaa chini? hospitalini hakuna dawa? maji yanapatikana?
Acha upoyoyo wewe ndezi!
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Leo katika kipindi cha uchambuzi wa magazeti kupitia redio ya Wasafi FM, imeelezwa kwamba wale wafanyabiashara walioporwa mabilioni ya fedha na kikosi kazi kilichoundwa na Mwendazake, sasa watarudishiwa fedha zao rasmi. Hii ni moja ya hatua za kuponya maumivu na uharibifu uliofanywa na serikali ya awamu ya 5 chini ya Mwendazake.

Katika taarifa hiyo, imeelezwa yupo mfanyabiashara mmoja aliyeporwa jumla ya Tsh 3.5 bilion na kumpelekea kufilisika kibiashara. Mh mama Samia hataki kuongoza nchi yenye watu waliopondeka mioyo kutokana na kunyanyaswa na serikali iliyopita. Ndio maana anafanya jitihada zote kuhakikisha anatibu majeraha na makovu yote yaliyosababishwa na serikali iliyopita ili nchi isonge mbele bila kinyongo.

MAONI YANGU
Namkubali sana Mh mama Samia kwa ujasiri wake huu ijapokuwa kuna baadhi ya wanaCCM hawapendi kuona watanzania wenzao wakiishi maisha bora katika nchi hii. Sote ni mashahidi jinsi wafanyabishara walivyokuwa wakiporwa fedha na akina Sabaya na Makonda (wateule wa Mwendazake) bila kuchukuliwa hatua zozote, hadi baadhi ya wafanyabiashara wakaamua kuikimbia nchi. Ukweli wa jambo hili umeanza kudhihirika wazi baada ya baadhi ya wafanyabiashara kuwafungulia mashataka wahalifu hawa wawili waliokuwa vipenzi wa Mwnedazake.

Nawasilisha.
Hupati uteuzi kamwe!,

Achana na maeneno ya wachambuzi tafuta hiyo habari isome mwenyewe kwa kina ndo uweke maoni yako hapa!,

Hili suala la nimesikia sijui kutoka kwa wachambuzi we kila kitu uchambuliwe tu,! Na unaona raha kuchambuliwa!?? Tafadhali kama hakuna ulazima wakuchambuliwa tafuta Hilo gazeti uchambue mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe uliyeandika hilo gazeti si utuambie umeandika nini? Laana ya hela za watu mlizopora kijambazi haitawaacha salama. Mama Samia ameamua kuwaumbua mchana kweupe!
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Leo katika kipindi cha uchambuzi wa magazeti kupitia redio ya Wasafi FM, imeelezwa kwamba wale wafanyabiashara walioporwa mabilioni ya fedha na kikosi kazi kilichoundwa na Mwendazake, sasa watarudishiwa fedha zao rasmi. Hii ni moja ya hatua za kuponya maumivu na uharibifu uliofanywa na serikali ya awamu ya 5 chini ya Mwendazake.

Katika taarifa hiyo, imeelezwa yupo mfanyabiashara mmoja aliyeporwa jumla ya Tsh 3.5 bilion na kumpelekea kufilisika kibiashara. Mh mama Samia hataki kuongoza nchi yenye watu waliopondeka mioyo kutokana na kunyanyaswa na serikali iliyopita. Ndio maana anafanya jitihada zote kuhakikisha anatibu majeraha na makovu yote yaliyosababishwa na serikali iliyopita ili nchi isonge mbele bila kinyongo.

MAONI YANGU
Namkubali sana Mh mama Samia kwa ujasiri wake huu ijapokuwa kuna baadhi ya wanaCCM hawapendi kuona watanzania wenzao wakiishi maisha bora katika nchi hii. Sote ni mashahidi jinsi wafanyabishara walivyokuwa wakiporwa fedha na akina Sabaya na Makonda (wateule wa Mwendazake) bila kuchukuliwa hatua zozote, hadi baadhi ya wafanyabiashara wakaamua kuikimbia nchi. Ukweli wa jambo hili umeanza kudhihirika wazi baada ya baadhi ya wafanyabiashara kuwafungulia mashataka wahalifu hawa wawili waliokuwa vipenzi wa Mwnedazake.

Nawasilisha.
Hakina nani hao tuwajue,tujue na biashara gani walikuwa wakifanya, maana naona kuna mpango wa kufisadi ela za walalaoi, Maana sijawahi kumsikia Backeresa au Mo au Mengi kabla ya kifo wakilalamika kuhusu kupolwa fedha zao kwenye account zao,na ndio wafanyabiara wakubwa nchi hii,ila kelele hizi unazisikia kwa Wachaga na Chadema.
 
Jiwe alitarget wachaga na watu wasio na ushawishi kwa CCM.
 
Yes ni wakwepa Kodi lakini hupaswi kuchukua Hela kwenye akaunti ya mtu inapaswa umpe ratiba ya kulipa au mpige fine Ili afanye biashara huku anakulipa hata kama itachukua miaka 5. Ila hii ya kuzoa Kila kitu hapana maana biashara inakufa kabisa.

Ni kama yule mzungu alivyodaka ndege zetu ulidhani ni ustaarabu? Sasa ndege isiporuka Mapato ya kulipa yatatoka wapi? Au imagine China waje kuchomoa pesa zetu zote BOT kisa wanatudai mikopo kadhaa unadhani itakuaje?

Hakuna mtu asiyekwepa Kodi au kudaiwa mkopo Cha msingi mbane akulipe ila sio kukomba pesa kwa akaunti bila utaratibu.
Tena washukuru tu huku tanganyika tunabebeleza wakwepa kodi,huko ulaya ambako mnakimbilia kuomba mkopo na misaada,ukigundulika umekwepa kodi tu,unafilisiwa na kifungo ju,hapo hakuna cha haki za binadamu,ni Africa tu kunakowapigia magoti majizi na wakwepa kodi kisa ni matajiri.
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Leo katika kipindi cha uchambuzi wa magazeti kupitia redio ya Wasafi FM, imeelezwa kwamba wale wafanyabiashara walioporwa mabilioni ya fedha na kikosi kazi kilichoundwa na Mwendazake, sasa watarudishiwa fedha zao rasmi. Hii ni moja ya hatua za kuponya maumivu na uharibifu uliofanywa na serikali ya awamu ya 5 chini ya Mwendazake.

Katika taarifa hiyo, imeelezwa yupo mfanyabiashara mmoja aliyeporwa jumla ya Tsh 3.5 bilion na kumpelekea kufilisika kibiashara. Mh mama Samia hataki kuongoza nchi yenye watu waliopondeka mioyo kutokana na kunyanyaswa na serikali iliyopita. Ndio maana anafanya jitihada zote kuhakikisha anatibu majeraha na makovu yote yaliyosababishwa na serikali iliyopita ili nchi isonge mbele bila kinyongo.

MAONI YANGU
Namkubali sana Mh mama Samia kwa ujasiri wake huu ijapokuwa kuna baadhi ya wanaCCM hawapendi kuona watanzania wenzao wakiishi maisha bora katika nchi hii. Sote ni mashahidi jinsi wafanyabishara walivyokuwa wakiporwa fedha na akina Sabaya na Makonda (wateule wa Mwendazake) bila kuchukuliwa hatua zozote, hadi baadhi ya wafanyabiashara wakaamua kuikimbia nchi. Ukweli wa jambo hili umeanza kudhihirika wazi baada ya baadhi ya wafanyabiashara kuwafungulia mashataka wahalifu hawa wawili waliokuwa vipenzi wa Mwnedazake.

Nawasilisha.
It could be more than darkest day...
 
Huyu jiwe alivamia mikoa ya kaskazini na baadhi ya dar na ali target wachaga, hata ukisoma uchunguzi wa gazeti la mwananchi utaona walioathirika ni wachaga na majirani zao.ukienda mbali zaidi hata bomoa bomoa ya kimara walengwa ni wachaga na hilo hakupepesa macho ndo maana mwanaza airport (wasukuma wenzake) aliwaambia wazi kuwa wasivunjiwe. Huyu alifanana kabisa na shetani mkuu(Lucipher)
Mengi alikuwa Masai? mbona kabla ya kifo hatukuwahi kuona popote akilalamika,kuchukuliwa ela kwenye account zake,ni majizi ya kichaga yakiongozwa na Mbowe ndio wanaongoza kumshambulia Magufuli ili haonekane alikuwa hakionea Wachaga, kumbe ni majizi na wakwepa kodi.
 
Zilienda wapi hizo hela? Isije ikawa walikula wengine halafu Kodi za wa wananchi wavuja jasho ndio ziwalipe
Probably itakuwa hivyo mkuu, makosa ya wachache tena walioshikilia taasisi nyeti, ila wanaokamuliwa ni wananchi kupitia kodi. Hii nchi ukiangalia kwa jicho la tatu ni kama tumelaaniwa, viongozi hawana transparency and accountability na wananchi nao ni kama mazombi wasiotambua position yao katika nchi.
 
Back
Top Bottom