Wafanyabiashara wengi siku hizi hawatoi risiti

Wafanyabiashara wengi siku hizi hawatoi risiti

Mapensho star

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,052
Reaction score
4,104
Shida ni nini kila napoingia maduka makubwa makubwa nanunua bidhaa mbalimbali lakini naona sipewi risiti pia wanunuzi wengine nao waona naona hawapewi risiti

Nikiagiza bidhaa hapo kariakoo bidhaa zinakuja mikoani bila risiti
Haya makusanyo wanayoyatangaza TRA kua wanakusanya Tillion 2 kila mwezi yananipa sana mashaka
 
Kila mtu anajiuliza. Hata vituo vya mafuta vingi havina mashine za risiti siku hizi..na wenye nazo hazifanyi kazi.

Labda wana mfumo mpya wa kukusanya kodi..si unajua mambo ya Dr. Mwigulu.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Vituo vya mafuta vinajengwa kila hatua kumi sijui kama ni utaratibu unaopaswa kuwa hivi
 
Kwa jinsi ulivyoandika huwa hudai risiti ila unasubiri wapende wao kukupa risiti. Dai risiti kwa maendeleo ya taifa na mafisadi.
Maduka mengi yamefunguliwa hayana mashine fuatilia maduka ya nguo mkoa naoishi yapo town center mfanyabiashara mwenye mashine ni vunjabei tu nae alikuwa akitoa risiti mara ya kwanza ila sasa nae hatoi watu wananunua nakuondoka
 
Mbona wanatoa? Ukiitaka unapewa
Wengine hata usipoulizia wanakupa.
Wengine sio waungwana, unanunua kitu cha laki 3, anataka kukupa risiti ya laki 1.

Me nasemaga nalipia amount nayoiona kwa risiti. Basi anatoa nyingine.
 
Shida ni nini kila napoingia maduka makubwa makubwa nanunua bidhaa mbalimbali lakini naona sipewi risiti pia wanunuzi wengine nao waona naona hawapewi risiti

Nikiagiza bidhaa hapo kariakoo bidhaa zinakuja mikoani bila risiti
Haya makusanyo wanayoyatangaza TRA kua wanakusanya Tillion 2 kila mwezi yananipa sana mashaka
Una haki ya kudai risiti yako. Je umewahi kudai? Na je walikuambiaje?
 
Una haki ya kudai risiti yako. Je umewahi kudai? Na je walikuambiaje?
Mimi huwa naomba risiti nikinunua bidhaa napewa ila nashuhudia wananchi wengi hawana kawaida ya kudai risiti wananunua na kuondoka je hapo kosa ni la nani
 
Kodi za nini madukani wakati hizo bidhaa tayari zishatozwa Kodi bandarini.
Hii ni against tax principal.
Bidhaa moja haitakiwi iwe dabo tax.
Kodi bandarini,Kodi duka la jumla Kodi muuzaji mdogo mdogo bidhaa moja itozwe Kodi mara tatu hii si sawa
 
Ni utamaduni tu ukiomba unapewa risiti,wengine hata wakipewa hawachui au wanatupa wakitoka nje ishu ni elimu
 
Shida ni nini kila napoingia maduka makubwa makubwa nanunua bidhaa mbalimbali lakini naona sipewi risiti pia wanunuzi wengine nao waona naona hawapewi risiti

Nikiagiza bidhaa hapo kariakoo bidhaa zinakuja mikoani bila risiti
Haya makusanyo wanayoyatangaza TRA kua wanakusanya Tillion 2 kila mwezi yananipa sana mashaka
Kwani kutoa risiti ndio kupata pesa.Hii ni miradi ya mabeberu tu wanaokuja kutunyonya.Kuna nchi zina uchumi mkubwa sana kuliko yetu na hawana mashine za risiti.Kila sehemu hizi mashine zinapoingizwa inakuwa ni msiba kwa wanannchi.
Huwezi kutoa risiti kila uchachouza kwa sababu ile mashine unayoinunua kwa malaki ya pesa ni yako mwenyewe japo inatumiwa na TRA.Ukifikia risiti 1999 inasema memory full.Huwezi kufuta memory ili uendelee na kazi.Lazima utoe tena laki kadhaa ununue nyengine.Ile ya mwanzo unatupa,
 
Back
Top Bottom