Wafanyabiashara wengi siku hizi hawatoi risiti

Shida ni nini kila napoingia maduka makubwa makubwa nanunua bidhaa mbalimbali lakini naona sipewi risiti pia wanunuzi wengine nao waona naona hawapewi risiti

Nikiagiza bidhaa hapo kariakoo bidhaa zinakuja mikoani bila risiti
Haya makusanyo wanayoyatangaza TRA kua wanakusanya Tillion 2 kila mwezi yananipa sana mashaka
Hiyo risiti personally inakusaidua nn?
 
Safi sana!

Kuliko watoe risiti akale Maharage na Makmba bora wale wao wafanyabishara tu
 
Shida ni nini kila napoingia maduka makubwa makubwa nanunua bidhaa mbalimbali lakini naona sipewi risiti pia wanunuzi wengine nao waona naona hawapewi risiti

Nikiagiza bidhaa hapo kariakoo bidhaa zinakuja mikoani bila risiti
Haya makusanyo wanayoyatangaza TRA kua wanakusanya Tillion 2 kila mwezi yananipa sana mashaka
Tozo ndio zinaongeza mapato
 
Hata wakitoa wanatoa risiti isiyo endana na bei ya bidhaa walizouza. Sijui Nchi hii ipo salama kwa kiwango gani.
 
Back
Top Bottom