Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
Vituo vya mafuta vinajengwa kila hatua kumi sijui kama ni utaratibu unaopaswa kuwa hiviKila mtu anajiuliza. Hata vituo vya mafuta vingi havina mashine za risiti siku hizi..na wenye nazo hazifanyi kazi.
Labda wana mfumo mpya wa kukusanya kodi..si unajua mambo ya Dr. Mwigulu.
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Maduka mengi yamefunguliwa hayana mashine fuatilia maduka ya nguo mkoa naoishi yapo town center mfanyabiashara mwenye mashine ni vunjabei tu nae alikuwa akitoa risiti mara ya kwanza ila sasa nae hatoi watu wananunua nakuondokaKwa jinsi ulivyoandika huwa hudai risiti ila unasubiri wapende wao kukupa risiti. Dai risiti kwa maendeleo ya taifa na mafisadi.
Kodi ya kujenga barabara za lamiRisiti Ina faida gani kwangu,? ⁷
Sheria za kodi zinasemaje ?tusiangalie leo kesho akija rais mwingine utaratibu huu wawafanyabiashara kukwepa kodi atakubali uendelee?Lengo siyo swali ulilouliza
Una haki ya kudai risiti yako. Je umewahi kudai? Na je walikuambiaje?Shida ni nini kila napoingia maduka makubwa makubwa nanunua bidhaa mbalimbali lakini naona sipewi risiti pia wanunuzi wengine nao waona naona hawapewi risiti
Nikiagiza bidhaa hapo kariakoo bidhaa zinakuja mikoani bila risiti
Haya makusanyo wanayoyatangaza TRA kua wanakusanya Tillion 2 kila mwezi yananipa sana mashaka
Mimi huwa naomba risiti nikinunua bidhaa napewa ila nashuhudia wananchi wengi hawana kawaida ya kudai risiti wananunua na kuondoka je hapo kosa ni la naniUna haki ya kudai risiti yako. Je umewahi kudai? Na je walikuambiaje?
Risiti Ina faida gani kwangu,? ⁷
Kwani kutoa risiti ndio kupata pesa.Hii ni miradi ya mabeberu tu wanaokuja kutunyonya.Kuna nchi zina uchumi mkubwa sana kuliko yetu na hawana mashine za risiti.Kila sehemu hizi mashine zinapoingizwa inakuwa ni msiba kwa wanannchi.Shida ni nini kila napoingia maduka makubwa makubwa nanunua bidhaa mbalimbali lakini naona sipewi risiti pia wanunuzi wengine nao waona naona hawapewi risiti
Nikiagiza bidhaa hapo kariakoo bidhaa zinakuja mikoani bila risiti
Haya makusanyo wanayoyatangaza TRA kua wanakusanya Tillion 2 kila mwezi yananipa sana mashaka