KERO Wafanyakazi wa Elements Club (Masaki) kuweni na adabu. Mna madharau na kiburi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hii ya chooni ni kali. Basi siyo lazima kwenda huko. Mbona majuu tunapishana chooni na watu maarufu kabisa kuliko huyo limbukeni?
 
Baunsa huyo ni mwalimu
 
Hii ya chooni ni kali. Basi siyo lazima kwenda huko. Mbona majuu tunapishana chooni na watu maarufu kabisa kuliko huyo limbukeni?
Mabaunsa wa pale wanajiona sana kama ndowamiliki wana tabia ya kuomba pesa ukiwakataa wanakutega ukiingia mazima unatolewa nje.. Kuna mabinti Niliwahi shuhudia kabisa wanatolewa nje kisa tu mmoja alimwambia baunsa unatumia nguvu badala ya akili basi wakatolewa. Wafanyakazi wa pale wajue kua wanauza vilevi kuliko soda hivyo wawavumilie wateja
 
Kama unataka kupanga levels za watu basi ni rahisi sana. Tumia chujio la bei. Kuanzia kiingilio mpaka bei ya vinywaji.
Kama local tu inauzwa 5000 unataka bei gn tena, basi wauze 9000 kama wavuvi camp waone kama wataokota mtu kwa upumbavu waliona nao kwenye huduma
 
Endelea kutukana maana ni tabia Yako, meza IPO reserved means someone with high profile than you has booked.
Huna akili! Hatukukataa Hilo na kibao cha reserved hatukukiona tungeona tusingekaa. Hata hivyo halikuwa kosa kuwaomba watuonyeshe kwa kukaa.. Wahindi na waarabu watazidi kutupiga gap kwenye biashara
 
sijui kwanini ukiwa huna hela unakua unaonekana kama unapenda vurugu halafu unakua unaonekana pia kama una nguvu au unawezo mkubwa sana wakupigana
ndio maana hata ukisalimia tu wanaanza kuchukua tahadhari tutafuteni hela wahuni
 
Bongo mtoa huduma ndio mfalme, mteja ni options. Na biashara nyingi zinafia hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…