KERO Wafanyakazi wa Elements Club (Masaki) kuweni na adabu. Mna madharau na kiburi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Tatizo ni kuwa ukiwa huna hela unajulikana tu huna kitu pengine nyie hata hiyo buku 10 ya kiingilio mlianza kuomba mpunguziwe.

Sasa wahuni wakaamua wawafukuze muende nyumbani mkalale hivyo hivyo hata kama hamna usingizi
Mkuu unanijua?
 
Daah umenikumbusha Mbali Bambalaga eti ukienda wanaangalia Muonekano wako...Umenyoa kiduku huingii... Juzi kati nmeenda hamna kitu ni kama imekufa
Kuwa na standars ni wazo Zuri ila kumaintain standards ni jambo jingine na sio rahisi sana.

Kuleta tabia mpya katika jamii inahitaji muda na sio jambo rahisi sana.
 
Basi tungerudishiwa pesa zetu za kiingirio. Umewahi kwenda pale? Siku moja alienda pale Harmonize akitaka kwenda chooni wote tunasubiri mpaka wasafishe aende yeye akimaliza ndotunaruhusiwa. Huenda boss hajui haya Ila wafanyakazi wake watamuangushia biashara
Kwahiyo walichukua pesa yako ya kiingilio na wakakutoa nduki bila kukurudishia hela yako?😂😂
 
Kuwa na standars ni wazo Zuri ila kumaintain standards ni jambo jingine na sio rahisi sana.

Kuleta tabia mpya katika jamii inahitaji muda na sio jambo rahisi sana.
Hawajui kuwa watanzania wengi wanakipato cha kawaida, wakiwa masaki wanajiona sana.. Akina MO dewji na bakhresa kutengeneza bidhaa za Mia na jero sio wapumbavu wameangalia population demand
 
Biashara huwa Kuna kupanda na kushuka, club element wasipofanya mapema reform ya wafanyakazi basi Ile club haishuki inaenda kudondoka na kufa kabisa

Nimeamua niandikie leo japo ni tukio lililonitokea mwezi Jana. Sio mara yao ya kwanza kunitreat unfairly imekuwa ni tabia yao.. Tulienda pale na rafiki angu saa tano usiku tukalipa buku ten ya kiingirio tukaenda moja kwa moja kukaa meza moja ilikuwa empty

Muhudumu akaja akasema hii meza reserved, tukamwambia tuonyeshe pa kukaa, akaja baunsa kututoa kwa nguvu mpaka nje, kuulizia nn shida wakasema sisi wasumbufu. Tukasema watusamehe hatukujua but walikataa

Ivi kuulizia tu tukae wapi tayari ni kosa? Yani wana viburi, huduma mbovu wanathamini mastaa na matajiri tu mana hata ukienda na Gari ya IST au Vitz hupew parking, walahi yule mmasai hakupi pa kupaki. Ila wakiona LC 300 hapo wanakupokea na magoti

Mbaya zaidi ukionekana umeenda na bodaboda au bajaji umekwisha, hatihati wasikuruhusu. Lile baunsa lenye upara why lisitoleweee mbona jeuri saana afu Lina miaka mingi kweli pale sijui wanalibembeleza la nini
View attachment 3067133
Hawana makosa yeyote kosa ni la kwako umeenda Sehemu siyo level yako. Kuna kipindi nilikuwa naona nanyanyasoka kwenda baa. Nilivyoanza kunywa kwenye liquor store nikajua level yangu. Nashukuru Mungu leo hii nina uwezo wa kunywa club kubwa. Nenda kwenye level zako.
 
Una maanisha nini? Kwamba wanakukagua salio lako ili kujua una kiasi gn? Au wana financial data ya Kila mteja?
 
Hamna ndugu yangu mimi nimeenda Sehemu nyingi. Nakupa mfano mdogo Nairobi kuna Strip Clubs za level tofauti tofauti. Kuna ambazo unaingia kama elements na kuna ambazo kuingia inabidi uwe na 29 years na inabidi uonyeshe passport hata kama mkenya. Niliuliza nikaambiwa ni mbinu ya kujua level ya uchumi ya mteja. Wakikagua passport wanajua huyu mteja wa level yetu. Nilikutana na watu walionifundisha mengi. Ndugu yangu yaliyotokea element chukulia kama fundisho, kwamba inabidi upunguze starehe na uongeze utafutaji.
 
Biashara huwa Kuna kupanda na kushuka, club element wasipofanya mapema reform ya wafanyakazi basi Ile club haishuki inaenda kudondoka na kufa kabisa

Nimeamua niandikie leo japo ni tukio lililonitokea mwezi Jana. Sio mara yao ya kwanza kunitreat unfairly imekuwa ni tabia yao.. Tulienda pale na rafiki angu saa tano usiku tukalipa buku ten ya kiingirio tukaenda moja kwa moja kukaa meza moja ilikuwa empty

Muhudumu akaja akasema hii meza reserved, tukamwambia tuonyeshe pa kukaa, akaja baunsa kututoa kwa nguvu mpaka nje, kuulizia nn shida wakasema sisi wasumbufu. Tukasema watusamehe hatukujua but walikataa

Ivi kuulizia tu tukae wapi tayari ni kosa? Yani wana viburi, huduma mbovu wanathamini mastaa na matajiri tu mana hata ukienda na Gari ya IST au Vitz hupew parking, walahi yule mmasai hakupi pa kupaki. Ila wakiona LC 300 hapo wanakupokea na magoti

Mbaya zaidi ukionekana umeenda na bodaboda au bajaji umekwisha, hatihati wasikuruhusu. Lile baunsa lenye upara why lisitoleweee mbona jeuri saana afu Lina miaka mingi kweli pale sijui wanalibembeleza la nini
View attachment 3067133
Kwahiyo huyu ndo mpwayungu hawezi jua hata reserved
 
Back
Top Bottom