KERO Wafanyakazi wa Elements Club (Masaki) kuweni na adabu. Mna madharau na kiburi

KERO Wafanyakazi wa Elements Club (Masaki) kuweni na adabu. Mna madharau na kiburi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hayo mambo hatuyataki, hii Tanzania ni yetu sio wazungu. Basi waweke wazi kuwa waafrika hatutakiwi hata hivyo wateja asilimia tisini na tisa wa element ni watanzania. Wale wahudumu hawatakiw kujaji kwa kiwango cha pesa za mteja, wao watoe huduma hata mteja akiagiza Fanta orange mpaka asubuhi apewe huduma yake kwani kosa lipo wapi?
The Capitalist world has its own standards Ticha!
 
Ndo mana hapo nmekwambia sisi pia hatukukuta hio Reserved ..
SAmaki Samaki sijuagi ubaya wao mana nakaaga na watu wanaojiweza kwahiyo sionagi tofauti...
SEhemu pekee nnazoona hudumua ziko poa ni Restaurants
Kalito Hana ujinga, ukipeleka malalamiko tu meneja anafukuza muhudumu kazi na ww unaona pale pale hataki kuleta ujinga 🤣🤣🤣🤣
 
Capitalist world has its own standards Ticha!
Wewe ndio umeongea point maana watu wanataka huduma lakini hawataki kutumia fedha. Kuna siku nilikuwa triple B pale Goba. Nilikuwa na kikao cha kazi na maboss wangu. Kuna watu walikuwa wanapiga kelele meza ya pembeni. Mzee Mushi akamwita muhudumu akamwambia'' kawape wale vijana bia kumi kumi waambie tuna kikao watpunguze kelele''. Aisee sikuamini palikuwa kimya ghafla vijana wakawa wapo kimya wanaongea kistaarabu šŸ˜‚ šŸ˜‚ šŸ˜‚ šŸ˜‚ . Pesa achana nayo aisee.
 
Mkuu bado inaweza isiwe kigezo kizuri. Kuna watumishi wa umma wana mihuri mizito mizito na safari zote wanalipiwa tu. Kuna mtu yeye anasafiri sana safari za kwenye makongamano, short courses n.k. na uchumi wake ni kawaida sana.
Kwanza mwalimu ataenda element kufanya nini
 
Mkuu bado inaweza isiwe kigezo kizuri. Kuna watumishi wa umma wana mihuri mizito mizito na safari zote wanalipiwa tu. Kuna mtu yeye anasafiri sana safari za kwenye makongamano, short courses n.k. na uchumi wake ni kawaida sana.
Kikubwa unaachana nao maana hapa Dar hasa masaki kuna mabar/Restaurants/ beach bars/cafe/Club za kutosha unachagua tu uende wapi
Unaweza enda zako Slow leopard ukamsikiliza Grace Matata huku unakunywa zako hizo bia sijui safii kabisa
 
Mkuu bado inaweza isiwe kigezo kizuri. Kuna watumishi wa umma wana mihuri mizito mizito na safari zote wanalipiwa tu. Kuna mtu yeye anasafiri sana safari za kwenye makongamano, short courses n.k. na uchumi wake ni kawaida sana.
Kama unasafiri kwenda Uswisi, Ufaransa na Uingereza kwa kulipiwa ukizibana hizo per diem ukirudi nazo huku zinakuwa kibunda.
 
Wewe ndio umeongea point maana watu wanaaka huduma lakini hawataki kutumia fedha. Kuna siku nilikuwa triple B pale Goba. Nilikuwa na kikao cha kazi na maboss wangu ,kuna watu walikuwa wanapiga kelele meze ya pembeni. Mzee Mushi akamwita muhudumu akamwambia'' kawape wale vijana bia kumi kumi waambie tuna kikao watpunguze kelele''. Aisee sikuamini palikuwa kimya ghafla vijana wakawa wapo kimya wanaongea kistaarabu šŸ˜‚ šŸ˜‚ šŸ˜‚ šŸ˜‚ . Pesa achana nayo aisee.
That's the capitalist world brother! Jamaa analeta Ujamaa eti kila mtu sawa? Aende Korea Kaskazini! Ahahahahaha!!!
 
Mkuu, mimi sehemu yote ya biashara Iliyopo Bongo nikienda nikiona kuna dalili hata ndogo namna gani ya kunyanyapaliwa basi naondoka na sirudi tena pale kamwe.
Tutaivana mi na wewe Mkuu Ati naingia dukani unahangaika na simu.....wewe..nitafute Kwa shida na kutumia pia shida weeeee hakuna hiyo...pesa naitoa Kwa wanaoheshimu kazi zao.
 
Biashara huwa Kuna kupanda na kushuka, club element wasipofanya mapema reform ya wafanyakazi basi Ile club haishuki inaenda kudondoka na kufa kabisa

Nimeamua niandikie leo japo ni tukio lililonitokea mwezi Jana. Sio mara yao ya kwanza kunitreat unfairly imekuwa ni tabia yao.. Tulienda pale na rafiki angu saa tano usiku tukalipa buku ten ya kiingirio tukaenda moja kwa moja kukaa meza moja ilikuwa empty

Muhudumu akaja akasema hii meza reserved, tukamwambia tuonyeshe pa kukaa, akaja baunsa kututoa kwa nguvu mpaka nje, kuulizia nn shida wakasema sisi wasumbufu. Tukasema watusamehe hatukujua but walikataa

Ivi kuulizia tu tukae wapi tayari ni kosa? Yani wana viburi, huduma mbovu wanathamini mastaa na matajiri tu mana hata ukienda na Gari ya IST au Vitz hupew parking, walahi yule mmasai hakupi pa kupaki. Ila wakiona LC 300 hapo wanakupokea na magoti

Mbaya zaidi ukionekana umeenda na bodaboda au bajaji umekwisha, hatihati wasikuruhusu. Lile baunsa lenye upara why lisitoleweee mbona jeuri saana afu Lina miaka mingi kweli pale sijui wanalibembeleza la nini
View attachment 3067133
Tatizo inaonekana huna nyash.., kama unavyoonekana kwa video!
 
Back
Top Bottom