Elimu ya biashara bongo changamoto.
Wafanyakazi wakileta fantancies zao kwenye biashara lazima ianze kusumbua.
Mteja ni mfalme as long as hasumbui mtu na atalipa kwa bei kamili sio mkopo.
Watu waache ushamba mtu kwenda na bolt, voda, Vits sio tatizo, issue ni kumentain order na kuingiza pesa.
Namna pekee ya kudiscourage watu ni kuongeza kiingilio tu, lkn heshima zibaki palepale kwa wateja wote.
Mteja hadharauliki na usimdharau usiyemjua....huyo anayekuja na vits kesho atamrefer hapo mtu mwingine mzito zaidi...WATU WANAPENDA KUHESHIMIWA NA KUSIKILIZWA.
Wakina AZAM - BAKHRESA wanachukua sana pesa zetu kupitia icecream zao za 500/= na vijoti...wateja wao ni watoto wadogo, vijana, wamama..hawajali kuhusu umri, hali..wanaangalua capacity ya kuchukua product yao..