Ukiheshimu sheria za ajira, mfanyakazi anakuwa na siku za mapumziko kila wiki. Hizi siku anakuwa huru kufanya mambo yake yasiyohusiana na kazi.Unalosema ni kweli aisee, wafanyakazi wengi hulipwa 45000 na wanapigishwa kazi balaa. Hapo pia kuna matusi ya mama mwenye nyumba na viburi vya watoto. Kwanza kila itu inabidi apangiwe, ikitokea akajulikana ana mpenzi wengine huwatandika viboko yani hawana haki
Hapana mie sio kchitombi kama unavyo liweka mimi ni gentleman najeheshimu sana ila Yule mama mke angu Ana gubu anaishi kwa kutojamini anavisilani vyake tu ......ila sina jinsi tulisha zaa ila anatesa sana watumishi wandani na siwezi kuingilia ntapewa tuhuma nzitoMulwanaka umeuaa,, hapo namhala ng'wichane huna mke au wewe ni chitombi ndio maana mama hataki wakae muda mrefu kwa kuhofia kwamba utawapembua! Ila chunguza afya za watoto wako huo mchanyato wa watumishi wa ndani siyo mzuri kabisa!
Pole sana, hawa wenzetu hawapendani.Wanawake ndo adui wa kuu wa wafanya kazi wa ndani.....mke wangu anatimua wafanya kazi kila baada ya miazi miwili mitatu eti hataki mazoea nao, nashindwa ku wakalili majina kila mda kidogo naona mpya, huyu mama (mke angu) Ana roho mbaya sijapata kuona ningekua zija zaa nae ningemkimbia
Mkuu acha kukejeli hao watoto wewe ungependelea bint yako au Dada ako afanye hiyo kazi. kuna kazi ambazo sio mtu kwamba anapenda ni hali ya maisha wewe kama uko vizri husisahao wenzako hayo maisha wanayatafutaKulingana na maisha yetu baadhi ya watanzania. Hakuna mtu anaefaidi kama dada wa kazi au kaka wa kazi. Ni baadhi sio woote.
Unakuta dada wa kazi mshahara ni kati ya elfu 30 mpaka elfu 50.
Anakula milo mitatu, anaoga maji, umeme bure wakat mwingine mavazi ama taulo za kihihufadhi(pedi) anapewa bure akitibiwa matibabu bure kama vile anabima.
Japo sio wafanyakazi woote wanafanyiwa hivi ila ukitathimini mfanyakazi wa ndani anaepata stahiki kama hizo anaweza mpita hata askari, mwalimu au boda boda kwa kipato.
Naomba kutanguliza kumladhi kwa kada nilizo zitaja hapo juu. Nimefanya reference tuu kitokana na vipato vyao vya mwezi.
Ukiheshimu sheria za ajira, mfanyakazi anakuwa na siku za mapumziko kila wiki. Hizi siku anakuwa huru kufanya mambo yake yasiyohusiana na kazi.
Kulingana na maisha yetu baadhi ya watanzania. Hakuna mtu anaefaidi kama dada wa kazi au kaka wa kazi. Ni baadhi sio woote.
Unakuta dada wa kazi mshahara ni kati ya elfu 30 mpaka elfu 50.
Anakula milo mitatu, anaoga maji, umeme bure wakat mwingine mavazi ama taulo za kihihufadhi(pedi) anapewa bure akitibiwa matibabu bure kama vile anabima...
Kwani haya hayawezi kufanyika kwa maongezi? Unamueleza athari za mapenzi bila mipango. Mtu anaekupenda hatafanya mapenzi yenu yawe siri na mkuwaeleza watu wazima wanaweza kuwaongoza.Kuna dada nimemuuliza hapa ofisini kasema tatizo wengi wanakuwa kwenye foolish age! Ukimuachia huru na mwanaume kazi hazifanyiki tena kutwa kucha kukimbizana na mapenzi!
Hoja ingine kasema, mara nyingi wanawachukua hawa mabinti kwa wazazi wao kwa ahadi kuwa watawatunza kama watoto wao ikiwemo kuwaepusha na ngono! So, show inasimamiwa hapo coz akipata mimba wazazi wanaanza na wewe waliyekukabidhi mtoto.
Hii inaitwa unyanyasaji wa ki ngono. Umempata kimapenzi huyu binti kwakua ni mfanya kazi wako.Mimi huwa nawapenda sana maana wana nifaraiji sana kwakweli nime watafuna mpka basi nani watam balaaa wanajua kupenda hao alafu kwanza hawajui hata kuchuna
Pole sana ndugu.Wanawake ndo adui wa kuu wa wafanya kazi wa ndani.....mke wangu anatimua wafanya kazi kila baada ya miazi miwili mitatu eti hataki mazoea nao.
Nashindwa kuwakalili majina kila mda kidogo naona mpya, huyu mama (mke wangu) Ana roho mbaya sijapata kuona ningekua sijazaa nae ningemkimbia.
Mbona ilo ni jambo dogo. Kama unajua hivyo ukimfikisga hom tu unampereka kwenye vituo vya trust ama hospital wanamuwekea njiti ili asiweze kubeba ujauzito. Kwan uwez mchunga kila siku ila unaweza kuzuia asibebe mimbaKuna dada nimemuuliza hapa ofisini kasema tatizo wengi wanakuwa kwenye foolish age! Ukimuachia huru na mwanaume kazi hazifanyiki tena kutwa kucha kukimbizana na mapenzi!
Hoja ingine kasema, mara nyingi wanawachukua hawa mabinti kwa wazazi wao kwa ahadi kuwa watawatunza kama watoto wao ikiwemo kuwaepusha na ngono! So, show inasimamiwa hapo coz akipata mimba wazazi wanaanza na wewe waliyekukabidhi mtoto.