Wafanyakazi wa ndani si watumwa wawe wanaheshimiwa kama binadamu aliye huru

Wafanyakazi wa ndani si watumwa wawe wanaheshimiwa kama binadamu aliye huru

Mmh huyu mama Ana raho mbaya hata kwa ndg zake kabisa mimi ndg zangu hawaji kwangu sijui kwanini au alisha waonyeha roho mbaya sijui kwa kweli
mmh basi hiyo ni tabia yake, unajua kunakitu kinaitwa tabia ya asili alafu huwa inakuwa kama ngozi ya mwili kuacha au kubadilika ni kwa Neema ya Mungu tu, muombee sana
 
mmh basi hiyo ni tabia yake, unajua kunakitu kinaitwa tabia ya asili alafu huwa inakuwa kama ngozi ya mwili kuacha au kubadilika ni kwa Neema ya Mungu tu, muombee sana
Sawa ila nnaumia sana ila sina jinsi kwasababu ndo mke,
 
Ukiheshimu sheria za ajira, mfanyakazi anakuwa na siku za mapumziko kila wiki. Hizi siku anakuwa huru kufanya mambo yake yasiyohusiana na kazi.
Umetoa hoja nzuri. Lakini wakati mwingine waajiri wanafanya hivyo kuwalinda wafanyakazi wenyewe. Ukienda kijijini ukamchukuwa msichana mwenye eg miaka 18 ukamleta kukaa naye ukimwachia huru sana nakuhakikishia baada ya miezi miwili atakuwa ameshapata ujauzito na sijue aliyempa ni nani. Tatizo kubwa ninaloliona ni kuwa miji mingi hasa Dar imejaa wanaume wengi ambao kazi yao ni kuzungukia wasichana wa kazi na kuwadanganya. Mtu ukijifanya kuleta uhuru wa Ulaya kwa watoto wa kike huku kwetu utalizwa haraka sana. Hata kama una mtoto wa kike ukijifanya kumwacha huru kama walivyo wasichana wa Ulaya utalizwa!
 
Ni kweli mkuu ila watoto wengine hawajafikisha 12 ambao ni umuri wa kisharia kukaa mbali na mama yao mzazi pia mimi sitaki kesi za mahakama zinapoteza mda akili nazinaongeza uandui na mke angu akili zake zitamuelekaza kifungua kesi, tena mama angu mzazi hataki kukaa town najua vijijini hamna shule za Engilish mediam nzuri kwa hiyo nichangamoto kubwa kwa kimuaha huyu mke angu wa raho mbaya
Pole sana umeisha haribiwa watoto sasa
 
hiyo sio solution sema ndo utakuwa umetoa go ahead ndo atakitembeza balaa
Sasa unahis unaweza kumzuia? Uwezi zuia maji kwa kujenga ukuta, bora ujenge daraja uyaruhusu yapite tu yasije kukutia hasara na madhara zaid
 
Ila ukweli usemwe jaman mabeki Tatu ni watamu hawa viumbe Ata kama sura ni mbaya sijui kwa nn
 
Unamkatazia mtu asiende kupunguza genye as if yeye hana hormones,huwa nashangaa!
 
Sasa mkuu nifanye aje na umuri hu 39 ntaanza je mchakato wa kupata mke mgine na kufanya zinaa siwezi.....inabidi nimvumilie tu.....ila Yule mama ana roho mbaya kweli kweli kuna siku almnyima cha kula kisa hakushiriki kwenye kazi alienda kwa ndg zake hapo jilani kuwajulia hali, wakati almuomba ruhsa, sijui kama Wanyaturu wote wako hivo au ni wakwangu tu?
Kaka mke wako mnyaturu. Emu mchukue maelezo dada wa kazi kisiri siri. Nakuapia kaka utagundua kitu gani kinamfanya anawafukuza kila mwezi hao wadada wa kazi. Dada wa kazi anasiri kubwa juu ya mke wako. Mpeleleze utagundua kitu kaka. Wanyaturu ninao wafahamu mimi kama walivyo wanawake wa kirangi au kihaya.
 
Mmh! huyu mama Ana raho mbaya hata kwa ndg zake kabisa, mimi ndg zangu hawaji kwangu sijui kwanini au alisha waonyeha roho mbaya sijui kwa kweli

Bas inaonekana alilelewa na ndugu ama mzazi wa kambo si ndio? Ama uongo?
 
Sasa unahis unaweza kumzuia? Uwezi zuia maji kwa kujenga ukuta, bora ujenge daraja uyaruhusu yapite tu yasije kukutia hasara na madhara zaid
alokwambia nani kwamba mimba ya hg ni hasara kwa muajiri? hiyo ni hasara kwake na familia yake, mana kwangu mimi hawezi kuendelea kuishi akishaikwaa mimba. Na wengi huishia kwenda kupata shida huko vijijini kwao mana hawa vijana wanaowajazaga mimba huwa hawawakubali kabisa tena wanawakimbia mbio za subaru
 
Kaka mke wako mnyaturu. Emu mchukue maelezo dada wa kazi kisiri siri. Nakuapia kaka utagundua kitu gani kinamfanya anawafukuza kila mwezi hao wadada wa kazi. Dada wa kazi anasiri kubwa juu ya mke wako. Mpeleleze utagundua kitu kaka. Wanyaturu ninao wafahamu mimi kama walivyo wanawake wa kirangi au kihaya.
Yule akae na wasichana wa kazi miazi mitatu zaidi sana miwili nikisafiri kidogo nikirudi nakuta msichana mpya kwa mwaka hu tayari kasha badilisha watatu, mda wakuwauliza haupo
 
Wanawake ndo adui wa kuu wa wafanya kazi wa ndani.....mke wangu anatimua wafanya kazi kila baada ya miazi miwili mitatu eti hataki mazoea nao.

Nashindwa kuwakalili majina kila mda kidogo naona mpya, huyu mama (mke wangu) Ana roho mbaya sijapata kuona ningekua sijazaa nae ningemkimbia.
unamtomba kweli huyo?
 
Ila ukweli usemwe jaman mabeki Tatu ni watamu hawa viumbe Ata kama sura ni mbaya sijui kwa nn

Hamna kitu, sio watam wala nn. Sema wanajua kuplay kama mama kitu ambacho wanaume wengi tunakoswa kwa wenza wetu.
Beki 3 ukitoka nae anajua jinsi ya kuplaya kama mama ako, atajua nn unapenda nn upendi, atajua wakat gan una furaha na upi unahuzuni na situation unayokuwa nayo ata uki-fake, atakuwa humble kwako uwezi sikia akikupandishia sauti, wanajua kucheza Hisia na mazingara wakati wa kutoa ama kuomba ushauri, si wabanizi kwenye tendo, wanajua kudekeza.

Kama mke wako akifanya hvyo utamuona ni mtam tu
 
alokwambia nani kwamba mimba ya hg ni hasara kwa muajiri? hiyo ni hasara kwake na familia yake, mana kwangu mimi hawezi kuendelea kuishi akishaikwaa mimba. Na wengi huishia kwenda kupata shida huko vijijini kwao mana hawa vijana wanaowajazaga mimba huwa hawawakubali kabisa tena wanawakimbia mbio za subaru
Rudia comment no #10 ndio utajua kwann nimesema hvyo?
 
Yule akae na wasichana wa kazi miazi mitatu zaidi sana miwili nikisafiri kidogo nikirudi nakuta msichana mpya kwa mwaka hu tayari kasha badilisha watatu, mda wakuwauliza haupo
Kila beki 3 akija chukua mawasiliano. Afu tulia tuu. Akifukuzwa anza kuwasiliana. Atakupa machimbo na mingle zoote za mke wako. Fatilia nyatu nyatu kimya kimya. Kabila halina uhusiano na hulka za kimwili za mtu. Lakini napiga salute kwa mwanamke wa kirangi, kihaya na kinyaturu na majirani wanyarwanda. Sijasimuliwa nimeishi sehemu walipo hao viumbe nika prove TRUTH my HYPOTHESIS
 
Unalosema ni kweli aisee, wafanyakazi wengi hulipwa 45000 na wanapigishwa kazi balaa. Hapo pia kuna matusi ya mama mwenye nyumba na viburi vya watoto.

Kwanza kila itu inabidi apangiwe, ikitokea akajulikana ana mpenzi wengine huwatandika viboko yani hawana haki
Mkuu kama unadada wa kazi na unampeleka mbio mbio huo ni unyama.

Mm kwangu ata kama Dada wa kazi yupo lazima afanye kazi sawa na wife tena kuna kazi anatakiwa kufanya wife tu na Dada lazima awe na mda wa kupumzika mchana maybe kazi ziwe nyingi hyo siku.

Akuna watu hatari kama Dada wakazi akiamua kukufanyia unyama tuwaheshimu!
 
Kila beki 3 akija chukua mawasiliano. Afu tulia tuu. Akifukuzwa anza kuwasiliana. Atakupa machimbo na mingle zoote za mke wako. Fatilia nyatu nyatu kimya kimya. Kabila halina uhusiano na hulka za kimwili za mtu. Lakini napiga salute kwa mwanamke wa kirangi, kihaya na kinyaturu na majirani wanyarwanda. Sijasimuliwa nimeishi sehemu walipo hao viumbe nika prove TRUTH my HYPOTHESIS
Mkuu sitaki kufukua makaburi ya zamani ntashindwa kuyafukia....Mimi nilisha kili nilikosea kuoa mke, hapa nilipo niko kwenye damage control tu Yule mke ni hasara kubwa kwangu
 
Mkuu kama unadada wa kazi na unampeleka mbio mbio huo ni unyama.

Mm kwangu ata kama Dada wa kazi yupo lazima afanye kazi sawa na wife tena kuna kazi anatakiwa kufanya wife tu na Dada lazima awe na mda wa kupumzika mchana maybe kazi ziwe nyingi hyo siku.

Akuna watu hatari kama Dada wakazi akiamua kukufanyia unyama tuwaheshimu!
Sio unyama tu. Dada wa kazi anaijua familia yako vizuri kukushinda ata ww mwenyewe akihamua kiharibu ama kuilekebisha ashindwi kitu,
ogopa sana mtu anaeshinda na nyumba yako na kukupikia chakula
 
Back
Top Bottom