Wafanyakazi wa ndani si watumwa wawe wanaheshimiwa kama binadamu aliye huru

Wafanyakazi wa ndani si watumwa wawe wanaheshimiwa kama binadamu aliye huru

Sio unyama tu. Dada wa kazi anaijua familia yako vizuri kukushinda ata ww mwenyewe akihamua kiharibu ama kuilekebisha ashindwi kitu,
ogopa sana mtu anaeshinda na nyumba yako na kukupikia chakula
Hawa viumbe ni atari mkuu,kuna kipindi niligundua wife na Dada hawaelewani,kuja kugundua kumbe Dada anapigishwa kazi mpaka anamind nikampa Dada likizo ya mda mbona wife alirudi kwenye mstari na heshima kwa Dada ikarudi!

Dada wa kazi kukuteketeza wewe na kizazi chako ni kitendo cha dakika tu
 
Ukiwa Kama mama wa jamiiforums
Nnaona ushaandika point zako

Bigg up
 
Hawa viumbe ni atari mkuu,kuna kipindi niligundua wife na Dada hawaelewani,kuja kugundua kumbe Dada anapigishwa kazi mpaka anamind nikampa Dada likizo ya mda mbona wife alirudi kwenye mstari na heshima kwa Dada ikarudi!

Dada wa kazi kukuteketeza wewe na kizazi chako ni kitendo cha dakika tu
Ulifanya la maana sana hapo
 
Wanawake ndo adui wa kuu wa wafanya kazi wa ndani.....mke wangu anatimua wafanya kazi kila baada ya miazi miwili mitatu eti hataki mazoea nao.

Nashindwa kuwakalili majina kila mda kidogo naona mpya, huyu mama (mke wangu) Ana roho mbaya sijapata kuona ningekua sijazaa nae ningemkimbia.
Dah aisee nyie wanaume nyie. Yaan hapo mwenyewe anajua ana mume ambae hawez muacha kumbe we moyon ushamuacha. Vibya hvyo Mungu anakuona
 
Mkuu sitaki kufukua makaburi ya zamani ntashindwa kuyafukia....Mimi nilisha kili nilikosea kuoa mke, hapa nilipo niko kwenye damage control tu Yule mke ni hasara kubwa kwangu
Mzee baba mimi mzee mwenzako nimeshagundua maumivu yako.
Wanyaturu
Warangi
Wahaya
Wanyankole
Sio makabila ya kuoa kirahisi rahisi kama unamoyo mwepesi aisee. Labda ukutane na yule ambae hana hizo hulka. Hizo species sijui zilifungwa nn kwenye K.
 
Hamna kitu, sio watam wala nn. Sema wanajua kuplay kama mama kitu ambacho wanaume wengi tunakoswa kwa wenza wetu.
Beki 3 ukitoka nae anajua jinsi ya kuplaya kama mama ako, atajua nn unapenda nn upendi, atajua wakat gan una furaha na upi unahuzuni na situation unayokuwa nayo ata uki-fake, atakuwa humble kwako uwezi sikia akikupandishia sauti, wanajua kucheza Hisia na mazingara wakati wa kutoa ama kuomba ushauri, si wabanizi kwenye tendo, wanajua kudekeza.

Kama mke wako akifanya hvyo utamuona ni mtam tu
Mh!
 
Unapenda kubembelezwa eeh
Hiyo ndio first priority ya kila mwanaume ukiondoa sex. Ndio maana men akifokewa na mwenza wake akitoka hapo kama aendi kwa mchepuko bas jua anaenda kwa mother ake au bar. Ulishajiuliza kwann?
 
Hiyo ndio first priority ya kila mwanaume ukiondoa sex. Ndio maana men akifokewa na mwenza wake akitoka hapo kama aendi kwa mchepuko bas jua anaenda kwa mother ake au bar. Ulishajiuliza kwann?
Ahaa sawa mimeelewa. Mi jilijua mwanamke ndio wa kubembelezwa
 
Kwani si wanaume huwa tunashida nao! Ni nyinyi tu akina mama ndio huwamnashida nao sisi wala hatuna shida nao ila tu tunaelewa kuwa hakuna beki tatu tasa..!

Sasa nenda kichwakichwa uone maana nzima ya huo usemi..😅

Wanaume hapo twateta kiroho hakuna kupiga kelele..😎
... ma-father haouse wengi wako karibu sana na watumishi wa ndani wa kike na wanapendwa na watumishi hao kuliko ma-mother house. Ni very common kumkuta msichana wa kazi akitabasamu mbele ya baba mwenye nyumba kuliko akifanya hivyo kwa mama; mara nyingi wanakuwa wamenuna au wako frustrated kweli kweli kwa mama.
 
Inawezekana ni kweli nasikia alilelewa na mjomba ake sana hakua na time na baba ake mzazi
Bas hapo kwa mjomba ake walikuwa wanamtesa (kumnyanyasa) hii ikapelekea kujenga chuki ndan yake kwa watu wengine, hii ndio inamfanya awe hvyo anatamani kulipiza mateso aliyopitia ila na wao waonje maumivu kama yake
 
Nimesoma kwenye taasis za roma catholic level ya chuo kikuu. Katika hicho chuo masista wa shirika fulani walikuwa wanafanya kazi makataba na kazi zingine za stationaries. Aisee ukikuta wanafarakana unaweza sema hawa watu si watumishi tena wanawake watu wazima. Nimeenda kufanya kazi shule moja ipo chini ya shirika la masista aisee yaaan pale kulikuwa na convent ya masista. Wanawake wale walikuwa wanafarakana kinomaa kuliko mabraza au mapadri. Wanawake kukaa pamoja tena kwa amani. Ni shidaaa wanagombana tena kwa kitu kidogo kisicho na maana.
The same na mama wa nyumba na mfanyakazi.
 
Wanawake ndo adui wa kuu wa wafanya kazi wa ndani.....mke wangu anatimua wafanya kazi kila baada ya miazi miwili mitatu eti hataki mazoea nao.

Nashindwa kuwakalili majina kila mda kidogo naona mpya, huyu mama (mke wangu) Ana roho mbaya sijapata kuona ningekua sijazaa nae ningemkimbia.
Usiajiri tena.
Mwambie hizo kazi afanye yeye.
 
Wanawake ndo adui wa kuu wa wafanya kazi wa ndani.....mke wangu anatimua wafanya kazi kila baada ya miazi miwili mitatu eti hataki mazoea nao.

Nashindwa kuwakalili majina kila mda kidogo naona mpya, huyu mama (mke wangu) Ana roho mbaya sijapata kuona ningekua sijazaa nae ningemkimbia.
Mkuu kweli au wewe nae una matatizo maana shemeji yetu anajua we nae macho juu juu hutaki kupitwa na sketi anajua huchelewi kuaribu wewe,
 
Mkuu kweli au wewe nae una matatizo maana shemeji yetu anajua we nae macho juu juu hutaki kupitwa na sketi anajua huchelewi kuaribu wewe,
Hapana mkuu mimi sina wasiwasi wala sinaga hamu na cheap sex nilisha rizika tena najiheshimu siwezi kurisk personality yangu na maid hapana mkuu .
 
Back
Top Bottom