Sawa ila hizo package zinaendana na kaz anayoifanya, ila uamini jaribu siku moja kubaki home angalau wiki tu alaf yeye umruhusu aende likizo kwao ndio utaona hadha anayopitia tena usiombe uwe na watoto wadogo utataman ukimbie nyumbaKulingana na maisha yetu baadhi ya watanzania. Hakuna mtu anaefaidi kama dada wa kazi au kaka wa kazi. Ni baadhi sio woote.
Unakuta dada wa kazi mshahara ni kati ya elfu 30 mpaka elfu 50.
Anakula milo mitatu, anaoga maji, umeme bure wakat mwingine mavazi ama taulo za kihihufadhi(pedi) anapewa bure akitibiwa matibabu bure kama vile anabima...
Sasa mkuu nifanye aje na umuri hu 39 ntaanza je mchakato wa kupata mke mgine na kufanya zinaa siwezi.....inabidi nimvumilie tu.....ila Yule mama ana roho mbaya kweli kweli kuna siku almnyima cha kula kisa hakushiriki kwenye kazi alienda kwa ndg zake hapo jilani kuwajulia hali, wakati almuomba ruhsa, sijui kama Wanyaturu wote wako hivo au ni wakwangu tu?Pole sana ndugu.
Usile sumu kisa tu umeishaiweka kwenye chakura.
Usipo shituka mapema atakuharibia na hao watoto ulio zaa nae maana nao wataiga tabia zake.
Haya uliyoandika ulishawahi kumwambia?Wanawake ndo adui wa kuu wa wafanya kazi wa ndani.....mke wangu anatimua wafanya kazi kila baada ya miazi miwili mitatu eti hataki mazoea nao.
Nashindwa kuwakalili majina kila mda kidogo naona mpya, huyu mama (mke wangu) Ana roho mbaya sijapata kuona ningekua sijazaa nae ningemkimbia.
Chukua watoto mpe ruhusu aindoke ulee watoto mwenyewe ongea ata na mama ako umwambie ukweli kama akikubari wapeleke kwa mama yako umuwekee msaidizi tu huko wenda wakawa salama zaid. Mbali na hapo tarajia kuwa na watoto wakatiri kama mama yao, ipo siku watafanya uovu alaf wasema mbona mama uwa anafanya umfanyi kituSasa mkuu nifanye aje na umuri hu 39 ntaanza je mchakato wa kupata mke mgine na kufanya zinaa siwezi.....inabidi nimvumilie tu.....ila Yule mama ana roho mbaya kweli kweli kuna siku almnyima cha kula kisa hakushiriki kwenye kazi alienda kwa ndg zake hapo jilani kuwajulia hali, wakati almuomba ruhsa, sijui kama Wanyaturu wote wako hivo au ni wakwangu tu?
My friend usiwie mzungu sana this is Africa tunategemeana na kusaidiana mtu kujitowa maisha yake yote asaidie familia yako sio jambo la kumpimia kwa chakula anacho kula kwako au hizo nguo za mitumba unazo mnunulia au ile mikati miwili unao mpa apelekee wazazi wake kama zawadi ......huyu bint unaweza kumdharau ila anaweza kua determinant kubwa katika maisha yako au uhai wako kuliko boss ako ofisini au mkeo muwape thamani inao stahiliDada anapata say, 50,000/- lakini wewe hujapiga mahesabu mengi mengine;
1. Chumba anakaa roughly 50,000 kwa mwezi.
2. Chakula anakula sawa na mwanangu(sibagui kwa lolote), say 150,000 kwa mwezi.
3. Nikinunua nguo za wanangu naweka bajeti yake ndogo hapo
Sasa ulitaka hapo niwe na roho nzuri kiasi gani, kama binti anaishi vizuri tu na kupata basic needs zilizo ndani ya uwezo wangu. Wewe ungeshauri kipi kibadilike hapo?My friend usiwie mzungu sana this is Africa tunategemeana na kusaidiana mtu kujitowa maisha yake yote akusaidie familia yako sio jamba la kupima kwa chakula anacho kula au hizo nguo za mtumba unazo mnunulia au ile mikati miwili unao mpa wapeleke kwa wazazi wake.......huyu bint anaweza unadharau ila anaweza kua determinant kubwa katika maisha yako au uhai wako kuliko boss ako ofisini au mkeo muwape thamani inao stahili
Nimwambie kila siku paka ikawa kero kwamba ni smiingilie kwenye suala la wafanya kazi wa ndani.....eti atakimuua nayeye atakae fungwa sio mimi, kwa ufupi ule mama sio mzuri hana huruma lichayakua nayeye kalelewa kwenye familia duniHaya uliyoandika ulishawahi kumwambia?
wanaume pia wapo kwenye kundi la kunyanysa wafanyakazi wa ndani, sema tofauti na sisi wanawake, wao huwanyanyasa kingono, unakuta baba mtu mzima anatembea na katoto ambako ni sawa na mjukuuu wake, na hili nilishashuhudia jamani niliishi nyumba moja sinza huyo baba ni mtu mzima sana mkewe alishafariki alikuwa anaishi na watoto wake tu, basi akaleta housegirl, kale kabinti kalikuwa kadogo kwa kweli kwenye 15years hivi, ila alianza kutembea na kale katoto na mbaya zaidi watoto wooote wanaenda shule wanabaki wawili tu aisee nilikuaga nasikia uchungu sana kwa kale ka binti ingawa kenyewe kalikuwa kanaonekana kama kana furahia yale maishaWanyanyasaji wa wafanyakazi wa ndani ni wanawake, na watoto wanaodekezwa.Kama kuna Mwanaume naye anaingia katika kundi hili la wanyanyasaji wa mabinti wa kazi, huyo ana matatizo,na ni aibu kumjumuisha kwenye kundi la wanaume.
huu pia ni unyanyasaji, sizani kama utafurahi kuona mwanao au ndugu yako wakike anafanyiwa hivyoMimi huwa nawapenda sana maana wana nifaraiji sana kwakweli nime watafuna mpka basi nani watam balaaa wanajua kupenda hao alafu kwanza hawajui hata kuchuna
Ni kweli mkuu ila watoto wengine hawajafikisha 12 ambao ni umuri wa kisharia kukaa mbali na mama yao mzazi pia mimi sitaki kesi za mahakama zinapoteza mda akili nazinaongeza uandui na mke angu akili zake zitamuelekaza kifungua kesi, tena mama angu mzazi hataki kukaa town najua vijijini hamna shule za Engilish mediam nzuri kwa hiyo nichangamoto kubwa kwa kimuaha huyu mke angu wa raho mbayaChukua watoto mpe ruhusu aindoke ulee watoto mwenyewe ongea ata na mama ako umwambie ukweli kama akikubari wapeleke kwa mama yako umuwekee msaidizi tu huko wenda wakawa salama zaid. Mbali na hapo tarajia kuwa na watoto wakatiri kama mama yao, ipo siku watafanya uovu alaf wasema mbona mama uwa anafanya umfanyi kitu
hiyo sio solution sema ndo utakuwa umetoa go ahead ndo atakitembeza balaaMbona ilo ni jambo dogo. Kama unajua hivyo ukimfikisga hom tu unampereka kwenye vituo vya trust ama hospital wanamuwekea njiti ili asiweze kubeba ujauzito. Kwan uwez mchunga kila siku ila unaweza kuzuia asibebe mimba
Sasa ulitaka hapo niwe na roho nzuri kiasi gani, kama binti anaishi vizuri tu na kupata basic needs zilizo ndani ya uwezo wangu. Wewe ungeshauri kipi kibadilike hapo?
kwani ulikurupuka tu kumuoa hukumjua kabla? na ndugu wengine ana wa treat vp? i mean ndugu zako na wakeNimwambie kila siku paka ikawa kero kwamba ni smiingilie kwenye suala la wafanya kazi wa ndani.....eti atakimuua nayeye atakae fungwa sio mimi, kwa ufupi ule mama sio mzuri hana huruma lichayakua nayeye kalelewa kwenye familia duni
Labda walikubaliana akaoe, ila hizo ni isolation cases sisi wanaumme wengine wana matatizo ya kimental hata unaweza baba mzima akamlala bint yake kabisa wa kuzaa kwahiyo wanaumme tuko tafoutiwanaume pia wapo kwenye kundi la kunyanysa wafanyakazi wa ndani, sema tofauti na sisi wanawake, wao huwanyanyasa kingono, unakuta baba mtu mzima anatembea na katoto ambako ni sawa na mjukuuu wake, na hili nilishashuhudia jamani niliishi nyumba moja sinza huyo baba ni mtu mzima sana mkewe alishafariki alikuwa anaishi na watoto wake tu, basi akaleta housegirl, kale kabinti kalikuwa kadogo kwa kweli kwenye 15years hivi, ila alianza kutembea na kale katoto na mbaya zaidi watoto wooote wanaenda shule wanabaki wawili tu aisee nilikuaga nasikia uchungu sana kwa kale ka binti ingawa kenyewe kalikuwa kanaonekana kama kana furahia yale maisha
amuoe wap yule baba ni mshenzi tuLabda walikubaliana akaoe, ila hizo ni isolation cases sisi wanaumme wengine wana matatizo ya kimental hata unaweza baba mzima akamlala bint yake kabisa wa kuzaa kwahiyo wanaumme tuko tafouti
Mkuu hiyo sio issue wanawake wanabadilika na pia huwezi kuchunguza kila tabia yake, mimi nilisoma nae chuo kwa miaka minne nikaona anafaa , nikaenda kwao nikaona pako safi nikafanya kazi fulani kaka ake akuniambia chochote cha kunizuia kuendelea nae kwenye mchakato wa kumuoa alianza kuonyesha her true colour baada ya mtoto wetu wa kwanzakwani ulikurupuka tu kumuoa hukumjua kabla? na ndugu wengine ana wa treat vp? i mean ndugu zako na wake
ndo mana nikauliza hiyo roho mbaya ni mpaka kwa ndugu zako au ni kwa ma hg tu?Mkuu hiyo sio issue wanawake wanabadilika na pia huwezi kuchunguza kila tabia yake, mimi nilisoma nae chuo kwa miaka minne nikaona anafaa , nikaenda kwao nikaona pako safi nikafanya kazi fulani kaka ake akuniambia chochote cha kunizuia kuendelea nae kwenye mchakato wa kumuoa alianza kuonyesha her true colour baada ya mtoto wetu wa kwanza
Mmh! huyu mama Ana raho mbaya hata kwa ndg zake kabisa, mimi ndg zangu hawaji kwangu sijui kwanini au alisha waonyeha roho mbaya sijui kwa kwelindo mana nikauliza hiyo roho mbaya ni mpaka kwa ndugu zako au ni kwa ma hg tu?