harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,968
- 6,920
Hawa viumbe ni atari mkuu,kuna kipindi niligundua wife na Dada hawaelewani,kuja kugundua kumbe Dada anapigishwa kazi mpaka anamind nikampa Dada likizo ya mda mbona wife alirudi kwenye mstari na heshima kwa Dada ikarudi!Sio unyama tu. Dada wa kazi anaijua familia yako vizuri kukushinda ata ww mwenyewe akihamua kiharibu ama kuilekebisha ashindwi kitu,
ogopa sana mtu anaeshinda na nyumba yako na kukupikia chakula
Ulifanya la maana sana hapoHawa viumbe ni atari mkuu,kuna kipindi niligundua wife na Dada hawaelewani,kuja kugundua kumbe Dada anapigishwa kazi mpaka anamind nikampa Dada likizo ya mda mbona wife alirudi kwenye mstari na heshima kwa Dada ikarudi!
Dada wa kazi kukuteketeza wewe na kizazi chako ni kitendo cha dakika tu
Dah aisee nyie wanaume nyie. Yaan hapo mwenyewe anajua ana mume ambae hawez muacha kumbe we moyon ushamuacha. Vibya hvyo Mungu anakuonaWanawake ndo adui wa kuu wa wafanya kazi wa ndani.....mke wangu anatimua wafanya kazi kila baada ya miazi miwili mitatu eti hataki mazoea nao.
Nashindwa kuwakalili majina kila mda kidogo naona mpya, huyu mama (mke wangu) Ana roho mbaya sijapata kuona ningekua sijazaa nae ningemkimbia.
Mzee baba mimi mzee mwenzako nimeshagundua maumivu yako.Mkuu sitaki kufukua makaburi ya zamani ntashindwa kuyafukia....Mimi nilisha kili nilikosea kuoa mke, hapa nilipo niko kwenye damage control tu Yule mke ni hasara kubwa kwangu
Mh!Hamna kitu, sio watam wala nn. Sema wanajua kuplay kama mama kitu ambacho wanaume wengi tunakoswa kwa wenza wetu.
Beki 3 ukitoka nae anajua jinsi ya kuplaya kama mama ako, atajua nn unapenda nn upendi, atajua wakat gan una furaha na upi unahuzuni na situation unayokuwa nayo ata uki-fake, atakuwa humble kwako uwezi sikia akikupandishia sauti, wanajua kucheza Hisia na mazingara wakati wa kutoa ama kuomba ushauri, si wabanizi kwenye tendo, wanajua kudekeza.
Kama mke wako akifanya hvyo utamuona ni mtam tu
Vip tena 😂😂
Unapenda kubembelezwa eehVip tena [emoji23][emoji23]
Hiyo ndio first priority ya kila mwanaume ukiondoa sex. Ndio maana men akifokewa na mwenza wake akitoka hapo kama aendi kwa mchepuko bas jua anaenda kwa mother ake au bar. Ulishajiuliza kwann?Unapenda kubembelezwa eeh
Ahaa sawa mimeelewa. Mi jilijua mwanamke ndio wa kubembelezwaHiyo ndio first priority ya kila mwanaume ukiondoa sex. Ndio maana men akifokewa na mwenza wake akitoka hapo kama aendi kwa mchepuko bas jua anaenda kwa mother ake au bar. Ulishajiuliza kwann?
Kumbe!!? Ila mm kwangu najua mapenzi ni kama kioo ukibembelezwa na ww bembeleza piaAhaa sawa mimeelewa. Mi jilijua mwanamke ndio wa kubembelezwa
Inawezekana ni kweli nasikia alilelewa na mjomba ake sana hakua na time na baba ake mzaziBas inaonekana alilelewa na ndugu ama mzazi wa kambo si ndio? Ama uongo?
... ma-father haouse wengi wako karibu sana na watumishi wa ndani wa kike na wanapendwa na watumishi hao kuliko ma-mother house. Ni very common kumkuta msichana wa kazi akitabasamu mbele ya baba mwenye nyumba kuliko akifanya hivyo kwa mama; mara nyingi wanakuwa wamenuna au wako frustrated kweli kweli kwa mama.Kwani si wanaume huwa tunashida nao! Ni nyinyi tu akina mama ndio huwamnashida nao sisi wala hatuna shida nao ila tu tunaelewa kuwa hakuna beki tatu tasa..!
Sasa nenda kichwakichwa uone maana nzima ya huo usemi..😅
Wanaume hapo twateta kiroho hakuna kupiga kelele..😎
Bas hapo kwa mjomba ake walikuwa wanamtesa (kumnyanyasa) hii ikapelekea kujenga chuki ndan yake kwa watu wengine, hii ndio inamfanya awe hvyo anatamani kulipiza mateso aliyopitia ila na wao waonje maumivu kama yakeInawezekana ni kweli nasikia alilelewa na mjomba ake sana hakua na time na baba ake mzazi
Usiajiri tena.Wanawake ndo adui wa kuu wa wafanya kazi wa ndani.....mke wangu anatimua wafanya kazi kila baada ya miazi miwili mitatu eti hataki mazoea nao.
Nashindwa kuwakalili majina kila mda kidogo naona mpya, huyu mama (mke wangu) Ana roho mbaya sijapata kuona ningekua sijazaa nae ningemkimbia.
Mmh Yule anawatafuta mwenyewe huwezi kumkataza ni mtata sana.....anamsemo wake eti msichana wa kazi hana cha ugeni anaanza kazi mda huo huo anapo fika nyumbaniUsiajiri tena.
Mwambie hizo kazi afanye yeye.
Mwambie amlipe kwa hela zake, mwambie wewe huna hela.Mmh Yule anawatafuta mwenyewe huwezi kumkataza ni mtata sana.....anamsemo wake eti msichana wa kazi hana cha ugeni anaanza kazi mda huo huo anapo fika nyumbani
Mkuu kweli au wewe nae una matatizo maana shemeji yetu anajua we nae macho juu juu hutaki kupitwa na sketi anajua huchelewi kuaribu wewe,Wanawake ndo adui wa kuu wa wafanya kazi wa ndani.....mke wangu anatimua wafanya kazi kila baada ya miazi miwili mitatu eti hataki mazoea nao.
Nashindwa kuwakalili majina kila mda kidogo naona mpya, huyu mama (mke wangu) Ana roho mbaya sijapata kuona ningekua sijazaa nae ningemkimbia.
Hapana mkuu mimi sina wasiwasi wala sinaga hamu na cheap sex nilisha rizika tena najiheshimu siwezi kurisk personality yangu na maid hapana mkuu .Mkuu kweli au wewe nae una matatizo maana shemeji yetu anajua we nae macho juu juu hutaki kupitwa na sketi anajua huchelewi kuaribu wewe,