Kitchener
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 13,833
- 27,753
Ni mara nyingi kuna nyaraka zinazunguka mtandaoni za kiserikali, zingine barua zingine amri n.k unahisi kabisa wafanyakazi waliopewa nyadhifa kubwa huwa wanafanya kazi bila umakini wa kutosha na kwa sababu hiyo wanaaibisha serikali na Rais aonekane hayuko makini vya kutosha. kuna barua nyingi huwa zinakosewa au zina grammatical erroor kibao. Rais Samia ameteua mtu akijua yupo makini, lakini utendaji wake unakuja kumwaibisha Rais.
mfano; aliyefuta kanisa la gwajima, ana nyaraka zote za usajili na kwenye kitabu cha usajili jina lipo. ila kwa kukurupuka, amesema amefuta kanisa linaloitwa GLORY OF CHRIST CHURCH ambalo kwenye nyaraka za usajili halipo, lililopo ni "REGISTERED TRUSTEES OF THE GLORY OF CHRIST TANZANIA CHURCH"
kwa sasa, aibu kubwa kwa serikali kwamba waumini wa gwajima hawajasali jumapili nchi nzima kwa barua ya kufuta kanisa iliyokosewa hawakufuta kanisa lake kabisa, lipo hai. aibu gani hii kwa serikali? mtu mmoja tu ambaye ni msajili ameaibisha serikali nzima kwa mba hawakufanya vitu kwa makini.