Kuna mambo ya ajabu sana!Ni mara nyingi kuna nyaraka zinazunguka mtandaoni za kiserikali, zingine barua zingine amri n.k unahisi kabisa wafanyakazi waliopewa nyadhifa kubwa huwa wanafanya kazi bila umakini wa kutosha na kwa sababu hiyo wanaaibisha serikali na Rais aonekane hayuko makini vya kutosha. kuna barua nyingi huwa zinakosewa au zina grammatical erroor kibao. Rais Samia ameteua mtu akijua yupo makini, lakini utendaji wake unakuja kumwaibisha Rais.
mfano; aliyefuta kanisa la gwajima, ana nyaraka zote za usajili na kwenye kitabu cha usajili jina lipo. ila kwa kukurupuka, amesema amefuta kanisa linaloitwa GLORY OF CHRIST CHURCH ambalo kwenye nyaraka za usajili halipo, lililopo ni "REGISTERED TRUSTEES OF THE GLORY OF CHRIST TANZANIA CHURCH"
kwa sasa, aibu kubwa kwa serikali kwamba waumini wa gwajima hawajasali jumapili nchi nzima kwa barua ya kufuta kanisa iliyokosewa hawakufuta kanisa lake kabisa, lipo hai. aibu gani hii kwa serikali? mtu mmoja tu ambaye ni msajili ameaibisha serikali nzima kwa mba hawakufanya vitu kwa makini.
NO REFORMS, NO ELECTION!Ni mara nyingi kuna nyaraka zinazunguka mtandaoni za kiserikali, zingine barua zingine amri n.k unahisi kabisa wafanyakazi waliopewa nyadhifa kubwa huwa wanafanya kazi bila umakini wa kutosha na kwa sababu hiyo wanaaibisha serikali na Rais aonekane hayuko makini vya kutosha. kuna barua nyingi huwa zinakosewa au zina grammatical erroor kibao. Rais Samia ameteua mtu akijua yupo makini, lakini utendaji wake unakuja kumwaibisha Rais.
mfano; aliyefuta kanisa la gwajima, ana nyaraka zote za usajili na kwenye kitabu cha usajili jina lipo. ila kwa kukurupuka, amesema amefuta kanisa linaloitwa GLORY OF CHRIST CHURCH ambalo kwenye nyaraka za usajili halipo, lililopo ni "REGISTERED TRUSTEES OF THE GLORY OF CHRIST TANZANIA CHURCH"
kwa sasa, aibu kubwa kwa serikali kwamba waumini wa gwajima hawajasali jumapili nchi nzima kwa barua ya kufuta kanisa iliyokosewa hawakufuta kanisa lake kabisa, lipo hai. aibu gani hii kwa serikali? mtu mmoja tu ambaye ni msajili ameaibisha serikali nzima kwa mba hawakufanya vitu kwa makini.
Kwa kosa hilo- ingefaa afutwe kazi haraka sanaNi mara nyingi kuna nyaraka zinazunguka mtandaoni za kiserikali, zingine barua zingine amri n.k unahisi kabisa wafanyakazi waliopewa nyadhifa kubwa huwa wanafanya kazi bila umakini wa kutosha na kwa sababu hiyo wanaaibisha serikali na Rais aonekane hayuko makini vya kutosha. kuna barua nyingi huwa zinakosewa au zina grammatical erroor kibao. Rais Samia ameteua mtu akijua yupo makini, lakini utendaji wake unakuja kumwaibisha Rais.
mfano; aliyefuta kanisa la gwajima, ana nyaraka zote za usajili na kwenye kitabu cha usajili jina lipo. ila kwa kukurupuka, amesema amefuta kanisa linaloitwa GLORY OF CHRIST CHURCH ambalo kwenye nyaraka za usajili halipo, lililopo ni "REGISTERED TRUSTEES OF THE GLORY OF CHRIST TANZANIA CHURCH"
kwa sasa, aibu kubwa kwa serikali kwamba waumini wa gwajima hawajasali jumapili nchi nzima kwa barua ya kufuta kanisa iliyokosewa hawakufuta kanisa lake kabisa, lipo hai. aibu gani hii kwa serikali? mtu mmoja tu ambaye ni msajili ameaibisha serikali nzima kwa mba hawakufanya vitu kwa makini.
Hii inaanzia mashuleni huko. Mwanafunzi wa chuo kikuu anaandika neno moja mara nne tofauti na haoni tatizo, hata ukimuonyesha anakwambia "lakini si umeelewa?" Imagine mwanafunzi wa chuo mwaka wa tatu anaandika neno profession mara 4 tofauti kwenye andiko moja!! Eti PROFESION, PROFFESION, PROFFESSION na PROFESSION!! Unategemea huyu akiajiriwa atakuwa makini? Si ajabu aliona kabisa kakosea lakini akawaza watelewa tu!Ni mara nyingi kuna nyaraka zinazunguka mtandaoni za kiserikali, zingine barua zingine amri n.k unahisi kabisa wafanyakazi waliopewa nyadhifa kubwa huwa wanafanya kazi bila umakini wa kutosha na kwa sababu hiyo wanaaibisha serikali na Rais aonekane hayuko makini vya kutosha. kuna barua nyingi huwa zinakosewa au zina grammatical erroor kibao. Rais Samia ameteua mtu akijua yupo makini, lakini utendaji wake unakuja kumwaibisha Rais.
mfano; aliyefuta kanisa la gwajima, ana nyaraka zote za usajili na kwenye kitabu cha usajili jina lipo. ila kwa kukurupuka, amesema amefuta kanisa linaloitwa GLORY OF CHRIST CHURCH ambalo kwenye nyaraka za usajili halipo, lililopo ni "REGISTERED TRUSTEES OF THE GLORY OF CHRIST TANZANIA CHURCH"
kwa sasa, aibu kubwa kwa serikali kwamba waumini wa gwajima hawajasali jumapili nchi nzima kwa barua ya kufuta kanisa iliyokosewa hawakufuta kanisa lake kabisa, lipo hai. aibu gani hii kwa serikali? mtu mmoja tu ambaye ni msajili ameaibisha serikali nzima kwa mba hawakufanya vitu kwa makini.
Wanasahau kuwa hao wachina na wakorea lugha ya kufundishia mashuleni na mawasiliano maofisini ni lugha zao. English wanasoma kama somo tu. Sisi Lugha ya kufundishia ni kiingereza kuanzia Form Four. Na English medium schools ni toka kindergaten wanasoma kwa kiingereza. Kwa kifupi mtanzania ambaye amesoma mpaka chuo kikuu anatakiwa kujua kiingereza vizuri kuliko mataifa mengi sana duniani. Nyaraka zetu nyingi zimeandikwa kiingereza, hata sheria zetu zinaandikwa kwa kiingereza halafu ndio zinatafsiriwa kuja kiswahili. Vingine vyote ni visingizio na uvivu wa kujifunza na kuongea kiingereza. Otherwise tubadilishe lugha za kufundishia na kuwasiliana iwe kiswahili.Ndio tukashinde kwenye mahakama za mabeberu tuokoe mabilioni ya fweza kwa wataalam wa namna hii?! Ukiuliza hapo wanachonga midomo kwamba hatuhitaji kujua English kwa kuwa wachina hawajui na wakorea! My ass
Sawa. Nitumie jina lako na namba ya simu ili tukuteue wewe uwe msajili mpya wa mashirika yasiyo ya kiserikali.Ni mara nyingi kuna nyaraka zinazunguka mtandaoni za kiserikali, zingine barua zingine amri n.k unahisi kabisa wafanyakazi waliopewa nyadhifa kubwa huwa wanafanya kazi bila umakini wa kutosha na kwa sababu hiyo wanaaibisha serikali na Rais aonekane hayuko makini vya kutosha. kuna barua nyingi huwa zinakosewa au zina grammatical erroor kibao. Rais Samia ameteua mtu akijua yupo makini, lakini utendaji wake unakuja kumwaibisha Rais.
mfano; aliyefuta kanisa la gwajima, ana nyaraka zote za usajili na kwenye kitabu cha usajili jina lipo. ila kwa kukurupuka, amesema amefuta kanisa linaloitwa GLORY OF CHRIST CHURCH ambalo kwenye nyaraka za usajili halipo, lililopo ni "REGISTERED TRUSTEES OF THE GLORY OF CHRIST TANZANIA CHURCH"
kwa sasa, aibu kubwa kwa serikali kwamba waumini wa gwajima hawajasali jumapili nchi nzima kwa barua ya kufuta kanisa iliyokosewa hawakufuta kanisa lake kabisa, lipo hai. aibu gani hii kwa serikali? mtu mmoja tu ambaye ni msajili ameaibisha serikali nzima kwa mba hawakufanya vitu kwa makini.
hii haiondoi ukweli kwamba, jamaa hakuwa makini kwenye mambo ya msingi, imagine amefungia kanisa, nchi nzima inaongelea icho kitu, kumbe kafunga kimakosa na kafungia kanisa lisiliexist. ni mteuliwa wa rais huyo, umakini wake kumshauri au kufanya kazi za aliyemtuma unauonaje? na hapo alidhani anafanya mbwembwe kumfurahisha mkuu wake Mungu kampiga kiboko. hapo ana haha kwa sababu hajui hatima yake, na kwenda kurekebisha hawezi tena.Sawa. Nitumie jina lako na namba ya simu ili tukuteue wewe uwe msajili mpya wa mashirika yasiyo ya kiserikali.
Na kama huna suti, shona mpya fasta.
Usinunue ya mtumba.
Bwana EMMANUEL KIHAMPA, msajili wa jumuiya, umenijibu moja kwa moja kwa sababu hapa naona nilipiga kwenye mshono. unachotakiwa kujua ni kwamba, umeaibisha utumishi wa umma, serikali na nchi nzima ilitulia kimya kusikilizia tukio la wewe kufuta usajili wa kanisa, wakafurahi, kumbe wewe umefuta kitu kingine kabisa. kwa jambo kubwa kama hili ulipaswa kwanza, uwe makini sana na jina unalofuta kama ni lenyewe au la pili ulitakiwa uwasiliane na viongozi wako vya kutosha sio hao wachache waliokupa pressure, ili impact yake isidhuru taifa. kwa hili ulilofanya na imnpact hii, KWANINI TUSIDOUBT UWEZO NA UMAKINI KATIKA UTENDAJI WAKO?Sawa. Nitumie jina lako na namba ya simu ili tukuteue wewe uwe msajili mpya wa mashirika yasiyo ya kiserikali.
Na kama huna suti, shona mpya fasta.
Usinunue ya mtumba.