Wafanyakazi wameandaa mabango na T-shirts zao lakini wanapita mbele ya Rais Samia kwa kukimbizwa kama mbwa mwizi

Kwa nini wafanyakazi wamejichokea sana?tatizo nini?au mishahara yenu haiwatoshi?Ninawaangalia hapa kwenye tv,nawaona wamechoka sana na kibaya zaidi mabango yao ni ya kumsifia rais tu.
Rais ndio mwajiri mkuu, lazima wampongeze.
 
Hii nalo la kusema,? Bungeni mambo muhimu wanaweka hati ya dharura na mambo yanaendelea. Viongozi wa MACCM yanatuona wajinga toka muda
 
Mei mosi imedoda aisee.

Huko unakutana na viewers 77 daaah.
 
Rais alishasema hataki mabango kipindi anaingia! Kero zote ziende chini huko! Kuna mdada mmoja alipanda mpaka juu mnara kule moshi akitaka kujirusha kisa tu asikilizwe na Rais! Alisikilizwa ata? Walipelekwa askari wakaenda kumshusha na kipigo! Alafu utasikia Rais msikivu sijui nini! Sasa komaeni
 
hayo ni yako mawazo we usiye na jinsia maalum. umejaa chuki na serikali ya mama ila utakufa na chuki zako bila kufanikiwa maombi ya kishetani. utaishia kuwa na sonona we ngedere
 
we si ni mbuzi wa hao mafala wako,
 
ali
Alisema siku nyingi hataki mabango, Hadi akamtumnua mkuu wa mkoa, bado mnayabeba, mna akili kweli, ye anataka watu wakae apige hotuba, asepe!
sema mabango yenye jumbe zenye malalamiko, aliwaambia wasaidizi wake wasolve matatizo ya watu kabla ya ujio wake. Km huna akili ya kuelewa yanahutubiwa bora ukae mkimya we poyoyo
 
Aahhaaaaaa

Nipo hapa na jezi la kijivu hapa stejini napunga mkono

Mkuu hujaniona!?
Eti hiyo Mei Mosi kitaifa inafanyikia wapi? Maana naona watu wanatokwa tu na mapovu kulaumu baadhi ya makundi ya wafanyakazi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…