MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Mama anawahi sherere Jangwani. Nusu fainali siyo mchezo, May day can wait.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais ndio mwajiri mkuu, lazima wampongeze.Kwa nini wafanyakazi wamejichokea sana?tatizo nini?au mishahara yenu haiwatoshi?Ninawaangalia hapa kwenye tv,nawaona wamechoka sana na kibaya zaidi mabango yao ni ya kumsifia rais tu.
Hii nalo la kusema,? Bungeni mambo muhimu wanaweka hati ya dharura na mambo yanaendelea. Viongozi wa MACCM yanatuona wajinga toka mudaKama Rais hana muda wa kupokea waandamanaji wote basi waratibu wa sherehe hizi za Mei Mosi walipaswa kupunguza makundi ya waandamanaji.
Watu wamepoteza muda wao kujiandaa, wakatafuta na t-shirts halafu wanapita mbele ya mhe rais wakikimbizwa kama kuku wa mgeni ama mbwa mwizi.
Watu wazima wanakimbizwa kama watoto wa shule za msingi. Inachefua hata kuangalia kupitia runinga.
Aibu naona mimi.
Daah! Hili taifa sijui liliumbwa vipi!!!?Hii nalo la kusema,? Bungeni mambo muhimu wanaweka hati ya dharura na mambo yanaendelea. Viongozi wa MACCM yanatuona wajinga toka muda
Rais alishasema hataki mabango kipindi anaingia! Kero zote ziende chini huko! Kuna mdada mmoja alipanda mpaka juu mnara kule moshi akitaka kujirusha kisa tu asikilizwe na Rais! Alisikilizwa ata? Walipelekwa askari wakaenda kumshusha na kipigo! Alafu utasikia Rais msikivu sijui nini! Sasa komaeniKama Rais hana muda wa kupokea waandamanaji wote basi waratibu wa sherehe hizi za Mei Mosi walipaswa kupunguza makundi ya waandamanaji.
Watu wamepoteza muda wao kujiandaa, wakatafuta na t-shirts halafu wanapita mbele ya mhe rais wakikimbizwa kama kuku wa mgeni ama mbwa mwizi.
Watu wazima wanakimbizwa kama watoto wa shule za msingi. Inachefua hata kuangalia kupitia runinga.
Aibu naona mimi.
hayo ni yako mawazo we usiye na jinsia maalum. umejaa chuki na serikali ya mama ila utakufa na chuki zako bila kufanikiwa maombi ya kishetani. utaishia kuwa na sonona we ngedereKama Rais hana muda wa kupokea waandamanaji wote basi waratibu wa sherehe hizi za Mei Mosi walipaswa kupunguza makundi ya waandamanaji.
Watu wamepoteza muda wao kujiandaa, wakatafuta na t-shirts halafu wanapita mbele ya mhe rais wakikimbizwa kama kuku wa mgeni ama mbwa mwizi.
Watu wazima wanakimbizwa kama watoto wa shule za msingi. Inachefua hata kuangalia kupitia runinga.
Aibu naona mimi.
we si ni mbuzi wa hao mafala wako,Wanawahi muda ili wasicheleweshe ratiba nyingine, ajabu hata kama tukio linawahusu wao!.
Watu walioshikwa akili namna hiyo ndio waweze kuitisha migomo ya kudai haki zao?!
Never.
Hao ni kondoo wa serikali, ndio maana wako hapo kwa bosi wao kumlilia awaongezee mshahara.
sema mabango yenye jumbe zenye malalamiko, aliwaambia wasaidizi wake wasolve matatizo ya watu kabla ya ujio wake. Km huna akili ya kuelewa yanahutubiwa bora ukae mkimya we poyoyoAlisema siku nyingi hataki mabango, Hadi akamtumnua mkuu wa mkoa, bado mnayabeba, mna akili kweli, ye anataka watu wakae apige hotuba, asepe!
Eti hiyo Mei Mosi kitaifa inafanyikia wapi? Maana naona watu wanatokwa tu na mapovu kulaumu baadhi ya makundi ya wafanyakazi!Aahhaaaaaa
Nipo hapa na jezi la kijivu hapa stejini napunga mkono
Mkuu hujaniona!?
Mji kasoro bahariEti hiyo Mei Mosi kitaifa inafanyikia wapi? Maana naona watu wanatokwa tu na mapovu kulaumu baadhi ya makundi ya wafanyakazi!
AahaaaaaPictures Zipo Wapi Wakikimbizwa Kama Mbwa
AajhaaaaaaMama anawahi sherere Jangwani. Nusu fainali siyo mchezo, May day can wait.