Ukiwashirkisha polisi kwenye issue ya magendo lazima wauzishe mechi...TRA inakimbizana na wafanya biashara haramu/magendo. Walishindwaje kutoa taarifa kwa polisi waliyokuwa doria kulifukuza hilo gari? Acha wapumzike watu wapate ajira maana kufukuzia magendo lazims uchoke hivyo yakubidi upumzike
According to dereva wa lori anasema ilikuwa ni IST hahahaa jamaa itakuwa alifuta kisahani cha istHawa jamaa walikua wanakimbiza gari yenye mzigo wa magendo, mwenye hio gari aliovertake hilo lori kukawa na lori lingine linakuja face to face (mwenye magendo) akafanikiwa kulipita hilo lori, hii cruiser ikashindwa kupita maana lori lingine lilikua karibu tayari ikabidi jamaa apige hili lori kwa nyuma ndo akazama uvunguni..ila yote kwa yote hata tusemaje ndugu zetu hawa hawawezi kurudi tenda...pumzika kwa Amani mwanangu Saidi Buddy....jamaa alikua mwana kichizi....
Nilishakuwa mzelendo Sana na kulitumikia Taifa langu Ila soon maanaKi
Kijana hautaki kuwa mzalendo?!
Ingekuwa hivyo ingeisha yoteUenda ilikuwa kwenye kona kali mara dereva wao akakutana na lorry.
Ni hatariAccording to dereva wa lori anasema ilikuwa ni IST hahahaa jamaa itakuwa alifuta kisahani cha ist
Kajichopeka vizuri sanaMadereva wa fuso hatari sana aisee,mguu kati hapo jamaa akaingia mwenyewe
Pole chief, I can feel your pain. Mtu ambae hajawahi kukutana na sekeseke na watu wa TRA hawezi kuelewa. Kuna wanaojali pesa tu, hawana hata chembe ya utu. Tushawahi kutwa na kosa la mteja kutopewa risiti ya 7,800 tu tena kwa sababu aliondoka mwenyewe kwa haraka zake. Aisee, jamaa wakataka milioni mbili au waandike faini ya milioni nne. Kumbe walikaa takribani masaa mawili nje ofisi wanakagua risiti za wateja wanaotoka shop mpaka walipombamba huyo wa 7,800.yani wangekufa hata 20, leo ningetoa ofa pale kijiweni........wacha kabisa mangi.....walikamata kwenye 18 zao baba......yaani wanataka rushwa kibabe...mbwa mbwai.....yaani wangenifilisi kimya kimya....ILA MUNGU NINAEMUAMINI NDIO alinitoa SALAMA.... usiwaamini kabisa...hata kama alikusaidia...awe she au me...mzee au kijana.....yaani nina mbwa wangu nimempa jina la mmoja wao......ni jike nimempa la kiume...shiiiit..
Hao hao wa Tunduma na Vwawa miaka ya nyuma walikuwa wanatumia Land Rover Defender Puma 90, walipata tabu Sana kuzikimbiza Toyota Hiace za Tunduma-Mbeya walikuwa wanabeba Vipodozi, sukari na juisi.Wanaikimbiza gari ya magendo
Vile vinoah , viprobox vikishona mzigo
Mwendo wao usifate
Kama kuna mtu ashawahi ona gari zinazo beba mirungi huko kenya,mwendo wao hauna tofauti
Ova
Kajichopeka vizuri sana
Tunduma kuna njia za panya kama 250Hao hao wa Tunduma na Vwawa miaka ya nyuma walikuwa wanatumia Land Rover Defender Puma 90, walipata tabu Sana kuzikimbiza Toyota Hiace za Tunduma-Mbeya walikuwa wanabeba Vipodozi, sukari na juisi.
Watu wa magendo wao ni full confidence, hao TRA walikuwa moto Sana miaka ya 2005 hapo Tunduma walikuwa wanatumia Land Rover Defender 90 Puma. Lakini walikuwa wanasomeshwa Namba na Hiace zenye 2Y/3Y na 2rz.Wauza magendo unafikiri wana magari yanayokimbia kivile basi,ila wanambinu za kukukalisha hapo barabarani mpaka ushangae na roho yako hata uje na benz- 🤣 🤣 🤣 . Nakumbuka mzee alikuwa anawapasua watu vichwa na TOYOTA STOUT tu 🤣🤣 .
Lete Manenokuna chuki kubwa kt ya wafanyabiashara wa mipakani tunduma na isongole zidi ya TRA na navyo yajua makabila ya wandali ni mabingwa sana wa kamati za ufundi
KIKOSI kazi kinakuaga na watu wote, TRA, polisi, TBS, n.k
Wanatumia Uwimbombo Na Ulindi Kuwasha MotoDah Jamaa wamekuwa trapped kizembe sana. anyway hili linaweza kuwa funzo kwa wengine ! Gari ya magendo huwa inafuatiliwa kimkakati siyo kuikimbiza
Ni KweliWapo watu wa 5. Ingekuwa hilo gari linalodhaniwa la magendo lingekuwa la majambazi. Wangemudu purukushani?
Tatizo wanafanya kazi kwa sifa wamfurahishe mkubwa wao.
Hivyo ni vifo vya kizembe sana. Walitakiwa wapige simu polisi wafanye kazi yao. Kila hatua kadhaa kuna barrier za polisi na mizani.
Wazee wa magendo Wana balaa, usiwafate hata kidogo. Hiyo road ya Tunduma-Mbeya kwenye milima mikali ya Iwambi,Songwe,senjere,chapwa,Old Vwawa wao ndio sehemu wanapokuacha wanafunguka hawaogopi malori yanayopita na gari wanatumia za kawaida.Tunduma kuna njia za panya kama 250
Kutokea zambia
Madereva wa kubeba magendo roho zao washazikqbidhi kwa mola😂😂
Ova