EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Wameuawa au wamefariki? na kama wanaushahidi si utakuwa ndani ya taarifa ya CAGSPIKA wa Bunge kwa heshima na unyenyekevu mkubwa watanzania tunakuomba ruhusu ripoti ya CAG ijadiliwe bungeni huku mtaani hali ni mbaya sana, habari zinazoendelea kusambaa kuhusu vifo vya watumishi wa CAG ni mbaya saana.
Ombi la watanzania ruhusu ripoti ijadiliwe kwa dharura ili kuwaweka huru watanzania wanaohoji juu ya vifo vya watumishi wa CAG..
Hofu kubwa ya watanzania kufikia Novemba ushahidi wa maafisa wa CAG utakuwa umepotea kwa sababu huwezi kujua hao waliofariki walikagua maeneo gani na ushahidi na vielelezo wanavyo wao.