Wafariki wakimgombania mwanamke

Dada ana kosa gani wakati wahuni wameuana wenyewe wakati Pwechele zipo kibao tena kali zaidi ya hiyo waliojiua nayo...tunaita kisababishi ila hakina hatia kabisaa...
 
Dada ana kosa gani wakati wahuni wameuana wenyewe wakati Pwechele zipo kibao tena kali zaidi ya hiyo waliojiua nayo...tunaita kisababishi ila hakina hatia kabisaa...

JF jamani

Mmeacha papuchi mnaita Pwechele[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Ndo hivyo tena hapo roho zao ni motoni moja kwa moja according to maandiko.
 
Nimewahi kushuhudia knock out katika ngumi kwa maboxer wote wawili, lakini hii ni kali zaidi.

Yaani mtu kapigwa gongo la kichwa akaanguka, halafu akainuka na yeye katoa kipigo cha gongo la kichwa, wote wakaanguka na kufa!
 
Halafu mwanamke wala hana shida yeye anawakubalia wote na hasemi chochote..
Anaacha mtwangane tu halafu huku anaongeza wengine kwenye list daah

Ukiwa na upendo kwa mwanamke mwenye tamaa hakuna rangi utaacha ona[emoji16]
 
Marehemu wameuana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…