Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada ana kosa gani wakati wahuni wameuana wenyewe wakati Pwechele zipo kibao tena kali zaidi ya hiyo waliojiua nayo...tunaita kisababishi ila hakina hatia kabisaa...
Wtf, ila ntwara mabinti wana utundu kwenye kuzagamuana
Acha tu wauane
UmeonaeeNyie mnakufa mnamuacha na utamu wake aiii, pole yao yaani mbususu zote hizi bado unagombania moja, au ilikua imeumbwa na gold tofauti na hizi za nyama tu.[emoji848]
Hata yangu au ya mtu yeyote haina thamani ya kutoa uhai wa mtu, tena yangu ni mbovu kishenzi😂Umeonaee
Labda wangekuwa wanaipigania mbunye yako afadhali dah...
Sawa panya roadSio ntwara,,, ni MTWARA
Nimekaa hapoooo natazama visangaIzi ID fake hizi, usikute ni vijana wa humu humu JF. Ngoja niwacheki wanangu National Anthem na mzabzab kama wapo.
aseme marehemu yupi alikuwa mchokoziSasa huyo bint anatafutwa na polisi kwa kosa gani?
Mtwara. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linamtafuta Hadija Msamati kwa mahojiano akidaiwa kuhusika katika vifo vya wanaume wawili.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Ijumaa, Septemba 30, 2022, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Nicodemus Katembo amesema watu wawili wamefairiki dunia kwenye ugomvi wa kupigana wao kwa wao wakigombea mwanamke wilayani Masasi.
Marehemu wameuanaMtwara. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linamtafuta Hadija Msamati kwa mahojiano akidaiwa kuhusika katika vifo vya wanaume wawili.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Ijumaa, Septemba 30, 2022, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Nicodemus Katembo amesema watu wawili wamefairiki dunia kwenye ugomvi wa kupigana wao kwa wao wakigombea mwanamke wilayani Masasi.
Amesema watu hao walitambulika kwa majina ya Ibrahimu Shaban (21) na Mussa Bakari (28) ambao wamefariki dunia baada ya kupigana kwa kutumia magongo ya miti na kupigana wao kwa wao wakigombea mpenzi.
Katembo alisema kuwa Septemba 29, 2022 majira ya saa sita usiku katika kijiji cha Mkangaula kata ya Namalenga wilayani Masasi watu hao waligombana.
"Hili tukio limesababishwa na wivu wa mapenzi ambapo imebainika baada ya ugomvi huo mwanamke huyo amekimbilia kusiko julikana ambapo kwa taarifa ya Daktari baada ya uchunguzi walibaini chanzo ni kuvuja damu kwa wingi mwilini," alisema Katembo
Cc: Mwananchi newspaper