Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaenda kuhojiwaSasa huyo bint anatafutwa na polisi kwa kosa gani?
Polisi banaMtwara. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linamtafuta Hadija Msamati kwa mahojiano akidaiwa kuhusika katika vifo vya wanaume wawili.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Ijumaa, Septemba 30, 2022, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Nicodemus Katembo amesema watu wawili wamefairiki dunia kwenye ugomvi wa kupigana wao kwa wao wakigombea mwanamke wilayani Masasi.
Amesema watu hao walitambulika kwa majina ya Ibrahimu Shaban (21) na Mussa Bakari (28) ambao wamefariki dunia baada ya kupigana kwa kutumia magongo ya miti na kupigana wao kwa wao wakigombea mpenzi.
Katembo alisema kuwa Septemba 29, 2022 majira ya saa sita usiku katika kijiji cha Mkangaula kata ya Namalenga wilayani Masasi watu hao waligombana.
"Hili tukio limesababishwa na wivu wa mapenzi ambapo imebainika baada ya ugomvi huo mwanamke huyo amekimbilia kusiko julikana ambapo kwa taarifa ya Daktari baada ya uchunguzi walibaini chanzo ni kuvuja damu kwa wingi mwilini," alisema Katembo
Cc: Mwananchi newspaper
HeheheheAnaenda kuhojiwa
''kwanini apendwe na watu wawili maka wauae?'' Who is she? [emoji851]
MmmmmmmmmmmHata yangu au ya mtu yeyote haina thamani ya kutoa uhai wa mtu, tena yangu ni mbovu kishenzi[emoji23]
Ni lazima atoe maelezo. Watamwachia kama hausikiSasa kama wamepigana na kuuana wenyewe dada wa watu wanamtafutia nini!!!
Na wajiangalie, na wao wasije wakauwana baada ya kumuonjaPolisi isipoteze muda kumsaka huyo dada labda kama wanataka tu kumuonja
Ndimu ya mwandu a.k.a mbususuHujakolea
Sasa huyo bint anatafutwa na polisi kwa kosa gani?
Inasikitisha sana najiuliza tu hiyo mibanzi walivyokuwawanashushiana mpaka wakafa pamoja dah jamaa wavumilivu sana huku mbunye Iko pembeni inaangalia.Nimewahi kushuhudia knock out katika ngumi kwa maboxer wote wawili, lakini hii ni kali zaidi.
Yaani mtu kapigwa gongo la kichwa akaanguka, halafu akainuka na yeye katoa kipigo cha gongo la kichwa, wote wakaanguka na kufa!