Wafuasi wa CHADEMA walioandamana mitaa ya Mahakama ya Kisutu wadhibitiwa na polisi

wewe sasahivi uko uraiani kwenye keyboard mwenzio mpaka sasahivi keshakula virungu kadhaa huo ni ujinga mkubwa mno anayeweza kufanya ni kama nyie tu
Ujinga mkubwa zaidi ni wa kukubali na kujivunia kuwa wa shetani na ukandamizaji. Kwa hilo mwendazake alifanikiwa sana huko CCM.
 
Habari zenu ndugu zangu. Wengi tulisema jana na juzi kuwa hakuna kiongozi hata mmoja atakaekuwa tayari kuweka maisha yake hatarini kwa ajili ya maisha ya mungine, baadhi ya nyumbu wakapinga. Sasa leo ndo mmeamini wenyewe kuwa "kika kila mchuma janga hula na wa kwao". Kama Mbowe amesuswa na vijana wake mwenyewe, sipati picha kwa wale wenzangu na mimi waliopoteza muda wao, na pesa zao kuingia katika mambo au maandamano yasiowahusu. Ni nani atawapigania ili watoke!!!
 

Hiyo ni wishful thinking. Komaa hapo hapo. Nchi hii itakombolewa na wenye moyo.

Kwamba tu wachache hiyo inajulikana. Tukishaikomboa ma opportunists kama nyie mnafahamika kuwahi seats za mbele.

Uzuri ni kuwa zama hizi hatusiti kuwafahamisha bayana kuwa ignorant as you are we need no contribution from you.
 
Vip Dudumizi alishiriki keanu ulijianda kubambikia wengine wangapi ugaidi, kubitia maandamano unayoshikia kidedea.
 
Ujinga mkubwa zaidi ni wa kukubali na kujivunia kuwa wa shetani na ukandamizaji. Kwa hilo mwendazake alifanikiwa sana huko CCM.
ndugu katikanchi za kiafrica unaweza kuiongelea vibaya nchi hiikweli? uhru ulionao maendeleo yaliyopo unakunywa maji unapata umeme hakuna matukio mabaya kkama somalia hebu niambie tu wewe ni baya gani ulionalo hapa nchini? nchi za kiafrica zote maskini ingawaje tunajikongoja unategemea chadema wakiingia madarakani ndiyo wataleta maajabugani tuache ushabiki wa kihuni ho
 
Nchi hii ilipata uhuru 1961, shtuka mkuu utaibiwaaaaa

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kuingia barabarani kisa mtu mmoja ambae pengine hakujui hata jina wala hamjui hata mama yako NI UFARA WA KIWANGO CHA SGR.

Hivi hamnaga kazi za kufanya???
 
Hoja hizo labda peleka kwa watoto wa chekechea ingawa wakianza kukua watakushtukia.
Kwani wakoloni pia walifanya hayohayo nao walikuwa wakandamizaji karibu hivyohivyo.
 
Ndiyo maisha alivyo.

Hata wewe upo hapo na ka Android kako wakati wenzao wako kwenye MaV Eighty yao.
 
Kuingia barabarani kisa mtu mmoja ambae pengine hakujui hata jina wala hamjui hata mama yako NI UFARA WA KIWANGO CHA SGR.

Hivi hamnaga kazi za kufanya???
Akina Nyerere, Karume, Nkrumah, Jomo Kenyata na mashujaa wazee wetu wengine wangekuwa na roho za ubinafsi kama huo sijui tungekuwa wapi? Eeeh Mungu tuhurumie.
 
Nchi hii ilipata uhuru 1961, shtuka mkuu utaibiwaaaaa

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Si tulikubaliana ukoloni watu mweusi ni mbaya zaidi?

1. Umesikia Keenja na mkewe nini kimewatokea?
2. Huyu:



na mwanawe je?

Kuna wameliwa na simba, watoto wameunguzwa moto kwa makusudi.

Niendelee kuorodhesha?

Tunaondoka duble duble. Mkoloni mweusi business as usual.

Kama wewe ni sehemu ya mkoloni huyo peleka salamu. Wenyewe wamestuka: "not yet uhuru" wanazitaka haki zao.
 
Ni kweli Mbowe Yupo kwenye sofa, Segerea, na wewe haupo kwenye hiyo Demos!
 
Inaonekana una hofu kubwa sana juu ya mrija ulioutegeshea huko kwa hao wanaokushibisha ambao uwepo wao unatishiwa na hawa unaoonysha dharau kwao hapa.
Nikikusoma naona hawa "vikaragosi wachache" ni bora mara mia kuliko ulivyo wewe.

'Desperation' yako unayoonyesha hapa haitazuia mabadiliko yanayokuja.
 
Labda mabadiliko unayoyaona wewe ni hao walioko Ukonga kubebeshwa Mimba na Wababe wa Rumande. Fanyakazi za Kipato chako kwa bidii iinue familia yako otherwise acha kutumika vibaya wewe nyumbu.
 
Nilijua tungeitaji karandinga zaidi ya kumi kumbe difender moja tuu inatosha.
 
dawa ya wakorofi na watukutu unawapelekea moto tu.
Gaidi namaba moja ataendelea kusota sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…