ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
Ujinga mkubwa zaidi ni wa kukubali na kujivunia kuwa wa shetani na ukandamizaji. Kwa hilo mwendazake alifanikiwa sana huko CCM.wewe sasahivi uko uraiani kwenye keyboard mwenzio mpaka sasahivi keshakula virungu kadhaa huo ni ujinga mkubwa mno anayeweza kufanya ni kama nyie tu