Wafuasi wa dini ya Roman Catholic naomba kujibiwa hili swali tafadhali

Unakumbukua Papa St John alivyopigwa risasi 32 na mhuni mmoja kutoa mashariki ya Kati..??
 
Chanzo Papa Poul alipigwa.risasi.
 
Baba Mtakatifu ana ulinzi mkali kwa sababu hii kuu:
1. Ni kiongozi wa kidini wa watu wengi duniani
Papa ni kichwa cha Kanisa Katoliki lenye wafuasi zaidi ya bilioni moja. Kama kiongozi wa kiroho na kisiasa wa Vatican, ni muhimu sana kulindwa.
 
Nchi ndani ya nchi?
Vatican ina mamlaka rasmi kama nchi., papa ndie raisi wake.
Ina polisi 130
Ina wale walinzi wa papa 135 ( hawa wote lazima wawe wanajeshi toka uswiss. Wanapewa mkataba wa miaka 2, ukiisha unaruhhsiwa kuongeza au kuondoka.)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…