Wafuatao, wanaweza kuvivaa viatu vya Magufuli na vikawaenea

Ningeongea zaidi bt wacha niweke akiba ya maneno.

Bt in short, CCM wakikaza shingo na kuleta aliyepo, mbeleni Si kwema hata kdg.

Tusubiri.
Namuomba Mungu tusifike huko.Wote tuendelee kuliombea taifa ili libaki salama.
 
No.2 na 4 hakuna kitu hapo, no.2 uzee unasumbua no 4 nchi nzima itageuka kuwa makanisa na ni tapeli, ogopa sana mtu anayeiba kwa kutumia neno la Mungu.Hana tofauti sana na tapeli anayetengeneza mazingira kuiba kwa kutumia jina la Rais.
 
namtoa mpango hapo, ana ulokole mwingi yule baba, bora gwajima ana ulokole wa kibabe😛
 
Lissu anafaa
 
Makonda kali yao
Ni opportunist tu huyu,hana nia ya dhati ya kuwatunikia wa-TZ.Halafu worse still, anaongozwa na mihemko na haijui dunia inavyoendeshwa.Finally sio presidential material,hana hekima,weledi nk. nk.,so hafai.
 
Lissu anafaa
Lissu na mihemko yake!No Rais anatakiwa awe mtu mwenye hekima,busara na akili iliyotulia.Anatakiwa pia ajue Dunia inavyoendeshwa, ili isiwe rahisi kumuingiza mkenge.Lissu lacks those important characters,kwa hiyo hatufai.
 
Sukuma gang kazini
Concept ya Sukuma gang is an illusion,acheni ujinga.Mna nia ovu tu ya kupaka matope yeyote anayeipenda Tanzania kwa dhati na anayependa maendeleo ya Watanzania,that is lifting them out of poverty.Ninyi in principle ni wapigaji,ni watu wa kuogopwa kama ukoma.
 
Gwajima tena. Dah? Mzee wa miujuza ya michongo
 
Kasim na Mpango , wameshindwa kuonyesha Uwezo wao sasa, kwamba wametulia ili waje wauonyeshe baadae ??.

Hamna anayefaa kua Rais hapo.


Lissu, atahitaji kutaka kufatilia Suala lake , hivo Roho ya kisasi inaweza kuhatarisha usalama wa Nchi.... HAFAI.


Kwa Ufupi, Rais akitokea Kanda ya Ziwa, lazima aivushe Nchi, sisi ni watu wa kujiamin, Uthubutu, hatuyumbishwi, Wazalendo, tuna maono, na wasomi !!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…