Wafuatao, wanaweza kuvivaa viatu vya Magufuli na vikawaenea

Duuuu lisu ndo avae viatu vya magufuri anapwaya sana hawezi hata chembe ya haradali
 
Moango na Majaliwa
Natamani mmoja wapo awe Rais

Nchi ingekuwa sawa sana
 
Malajiwa ashawah kuwapiga kwenzi walimu wa primary mkoa flan, jamaa yupo serious sana na kazi
 
Mfuatilie JPM akiwa na madaraka ya chini halafu mlinganishe na hao uliowataja. Wana uthubutu aliokuwa nao?
 
Mfuatilie JPM akiwa na madaraka ya chini halafu mlinganishe na hao uliowataja. Wana uthubutu aliokuwa nao?
Angalau Kwa uchache, wanaweza.

Lakini, sa100, apumzike 2025, tupate kiongozi mpya,aturudishe Kwa line.
 
Lakini, sa100, apumzike 2025, tupate kiongozi mpya,aturudishe Kwa line.
Fomu ni moja mpaka sasa, sijajua umejipangaje kuhakikisha hachukui yeye.
 
Fomu ni moja mpaka sasa, sijajua umejipangaje kuhakikisha hachukui yeye.
CCM wasipotuletea mgombea mpya, tutahakikisha upinzani unashinda,

Ndio maana umeona Jina la Mpinzani hapo.

Tusubiri kipenga kianze.
 
Tundu Lissu na viatu vya Magufuli? Is this a comedy or joke OR a blatant insult on Lissu?

Mkuu mpe heshima yake Lissu. Hajashuka viwango kiasi hicho. Muondoe kabisa kwenye hiyo list. Weka Makonda au Sabaya. Utaeleweka zaidi.
 
CCM wasipotuletea mgombea mpya, tutahakikisha upinzani unashinda,

Ndio maanda umeona Jina la Mpinzani hapo.

Tusubiri kipenga kianze.
Tuzungumze uhalisia.
 
Tundu Lissu na viatu vya Magufuli? Is this a comedy or joke OR a blatant insult on Lissu?

Mkuu mpe heshima yake Lissu. Hajashuka viwango kiasi hicho. Muondoe kabisa kwenye hiyo list. Weka Makonda au Sabaya. Utaeleweka zaidi.
Sifa za Uthubutu,uchapakazi, Uzalendo na misimamo isoyumba unamaanisha Lissu Hana?

Mbona kama umekurupuka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…