Mkonowatembo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 1,107
- 1,012
Duuuu lisu ndo avae viatu vya magufuri anapwaya sana hawezi hata chembe ya haradali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo no 3 hapo, Lissu.Kupata kiongozi Bora ccm ni Sawa na kusubiri boti airport mfumo unawakataza
Salaam, Shalom!!
Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli.
Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO,
1. UTHUBUTU& MSIMAMO THABITI.
2. UZALENDO.
3. UCHAPAKAZI.
4. MAONO/VISION.
Wafuatao, Wana sifa hizo hapo juu ingawa Si zote, lakini angalau wanaweza kuvivaa viatu hivyo na kuongoza njia.
1. KASSIM MAJALIWA
2. PHILIP MPANGO.
3. TUNDU ANTIPAS LISSU.
4. JOSEPHAT GWAJIMA.
Na Kwa uchache, mmoja kati ya hao, atapenya katikati na kutuongoza kufika Nchi ya AHADI kuanzia mwaka 2020V.....
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA [emoji1241].
Karibuni[emoji120]
Kwa Gwajima Hapana..
Gwajima anakosa Misimamo..
Ila hao waliobaki 100%
Video Ile ilitengenezwa ,Haina UKWELI wowote.Kwanza alikula kondoo kavu kavu
Hafai
Labda kama Gwajima angekutia wewe ndiyo ungekubali kuwa ni video ya kweliVideo Ile ilitengenezwa ,Haina UKWELI wowote.
Malajiwa ashawah kuwapiga kwenzi walimu wa primary mkoa flan, jamaa yupo serious sana na kaziSalaam, Shalom!!
Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli.
Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO,
1. UTHUBUTU& MSIMAMO THABITI.
2. UZALENDO.
3. UCHAPAKAZI.
4. MAONO/VISION.
Wafuatao, Wana sifa hizo hapo juu ingawa Si zote, lakini angalau wanaweza kuvivaa viatu hivyo na kuongoza njia.
1. KASSIM MAJALIWA
2. PHILIP MPANGO.
3. TUNDU ANTIPAS LISSU.
4. JOSEPHAT GWAJIMA.
Na Kwa uchache, mmoja kati ya hao, atapenya katikati na kutuongoza kufika Nchi ya AHADI kuanzia mwaka 2020V.....
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.
Karibuni🙏
Mwinyi wa nini1. Mwinyi,Rais wa Zanzibar
2. Polepole
3. Makonda
Tangu uhuru, PM yupi amewahi kuwa Rais?Malajiwa ashawah kuwapiga kwenzi walimu wa primary mkoa flan, jamaa yupo serious sana na kazi
Angalau Kwa uchache, wanaweza.Mfuatilie JPM akiwa na madaraka ya chini halafu mlinganishe na hao uliowataja. Wana uthubutu aliokuwa nao?
Fomu ni moja mpaka sasa, sijajua umejipangaje kuhakikisha hachukui yeye.Lakini, sa100, apumzike 2025, tupate kiongozi mpya,aturudishe Kwa line.
CCM wasipotuletea mgombea mpya, tutahakikisha upinzani unashinda,Fomu ni moja mpaka sasa, sijajua umejipangaje kuhakikisha hachukui yeye.
Tuzungumze uhalisia.CCM wasipotuletea mgombea mpya, tutahakikisha upinzani unashinda,
Ndio maanda umeona Jina la Mpinzani hapo.
Tusubiri kipenga kianze.
Sifa za Uthubutu,uchapakazi, Uzalendo na misimamo isoyumba unamaanisha Lissu Hana?Tundu Lissu na viatu vya Magufuli? Is this a comedy or joke OR a blatant insult on Lissu?
Mkuu mpe heshima yake Lissu. Hajashuka viwango kiasi hicho. Muondoe kabisa kwenye hiyo list. Weka Makonda au Sabaya. Utaeleweka zaidi.