Wafuatao, wanaweza kuvivaa viatu vya Magufuli na vikawaenea

Mawazo Yako yanaheshimiwa,

Ingawa tangu Nchi kupata uhuru, hajawahi kufanikiwa PM yeyote kukikalia KITI hicho!!
kwa sababu katiba inamshurutisha afuate muongozo wa rais, huko pia kuna agenda hewa ijulikanayo kama dira ya uchaguzi
 
Maji yamezidi unga
 
Upo sahihi kabisa mkuu, naunga mkono hoja yako.
 
Nyerere kabla ya uraisi alikua nani?
Yeye ndo aliweka mwiko huo wa PM kutofikia KITI hicho,

Kuanzia, Sokoine, Sumaye,Lowwassa, Malecela, Pinda nk nk

Ukiiniuliza why, pia Sina majibu.
 
Hiyo nafasi tungempa Husen Mwinyi amalizie awamu ya mzanzibar mwenzake mama akapumzike zake kizimkazi... Nisiwe mnafki siafikiani na SSH kuendelea kuwa raisi wetu baada ya 2025 na kumtoa SSH tukaweka mtu wa bara tukubaliane kuuvunja huu Muungano usiokua na maana yoyte kwa bara zaidi ya kuongeza idadi ya sikukuu za kitaifa tuuu
 
Ni Kweli kabisa.

CCM Si mamaetu. Ndomana Lissu akawapo Kwa list.

Tanzania utabaki kuwa no 1, vyama baadae!!
Kwa sasa CCM ndo no. 1 kisha Tanzania inafuata.

Yamewezeshwa kwa hisani ya vyombo vya dola
 
Kwa sasa CCM ndo no. 1 kisha Tanzania inafuata.

Yamewezeshwa kwa hisani ya vyombo vya dola
Wamepewa nafasi kutubu,

Wasipotubu, ataletwa Daudi achukue nafasi ya Sauli.
 
Kama ambavyo Magu alikuwa 1 term presidaa, ni sawa pia aliyepo kuwa 1 term presidaa.

Kisha 2025 tuendelee na Utaratibu wa 2 terms.

Huyo uliyemtaja na babake, wanakosa sifa ya UZALENDO,

Visiwa kadhaa huko ameshavigawa na wazenj wanalalama.
 
Yaan Gwajima huyu huyu mbunge wa kawe[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wanaamini Mwenge wa Uhuru ndo zindiko lao la milele
TOBA pekee ndo itawaokoa,

Tofauti na hapo, atakosekana mshindi na kusababisha tuingie matuta, Kisha mtoto wa kambo anapewa URITHI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…