- Thread starter
- #81
Unamdai🙄?Nilipe nisepe fasta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamdai🙄?Nilipe nisepe fasta
kwa sababu katiba inamshurutisha afuate muongozo wa rais, huko pia kuna agenda hewa ijulikanayo kama dira ya uchaguziMawazo Yako yanaheshimiwa,
Ingawa tangu Nchi kupata uhuru, hajawahi kufanikiwa PM yeyote kukikalia KITI hicho!!
Maji yamezidi ungaSalaam, Shalom!!
Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli.
Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO,
1. UTHUBUTU& MSIMAMO THABITI.
2. UZALENDO.
3. UCHAPAKAZI.
4. MAONO.
Wafuatao, Wana sifa hizo hapo juu ingawa Si zote, lakini angalau wanaweza kuvivaa viatu hivyo na kuongoza njia.
1. KASSIM MAJALIWA
2. PHILIP MPANGO.
3. TUNDU ANTIPAS LISSU.
4. JOSEPHAT GWAJIMA.
Na Kwa uchache, mmoja kati ya hao, atapenya katikati na kutuongoza kufika Nchi ya AHADI kuanzia mwaka 2020V.....
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.
Karibuni🙏
KAZI IPO.kwa sababu katiba inamshurutisha afuate muongozo wa rais, huko kuna agenda hewa ijulikanayo kama dira ya uchaguzi
Upo sahihi kabisa mkuu, naunga mkono hoja yako.Huyo uliyemuwekea tick, naye hafai isipokuwa anao unafuu ukilinganisha na waliotajwa au waliopo ndani ya chama chake.
Kuna wengi walionesha uwezo wa kitendaji chini ya usimamizi wa MWAMBA, Kassim akiwa mmoja wao!
Ili nchi ya kiafrika itoke kwenye dimbi la umasikini, ni lazima UKATILI WA KIMAENDELEO uanzie kwenye serikali kwenda kwa wananchi.
Watake watafanya, wasitake watafanya...kila anayepumua ndani ya nchi atainamishwa!
- Sio kuna wenye kulipa kodi na wenye kusamehewa kodi
- Sio kuna wenye kupita barabara za kurudi na wenye kutembelea LC 300
- Sio kuna wenye kuazibiwa kwa wizi wa kuku, miaka 100 jela na wenye kurudisha mzigo au kuhamisha idara/kituo cha kazi kama adhabu ya ubadhirifu
Magu hakuwa mwana-ccm aliyeivishwa na chama, alikuwa mwananchi aliyelelewa kitaa, akasimamia imani yake ya KIUME bila kujali usasa wa wanaharakati.
Wanaume wavaa vimodo, vinjunga, dont touch, cheni, hereni; wanaojadiliana na -ke jinsi ya kuleta usawa wa kijinsia.
MAGU ni ishara wazi tuliyopewa ili tujue ni muelekeo gani utatutoa tulipo, kwenda mbele!
Ngoja yachemke sanaaaa yatapungua kufikia kipimo Cha unga, na ugali utaiva tu.Maji yamezidi unga
CCM inapaswa kuanza kuagaNgoja yachemke sanaaaa yatapungua kufikia kipimo Cha unga, na ugali utaiva tu.
Ni Kweli kabisa.CCM inapaswa kuanza kuaga
Mawazo Yako yanaheshimiwa,
Ingawa tangu Nchi kupata uhuru, hajawahi kufanikiwa PM yeyote kukikalia KITI hicho!!
hatuwezi kuwa na rais muongo na mnafku kama katelephoniHapo umepatia mmoja tu Kassim Majaliwa.
Hao wengine ni wachumia tumbo tu
Yeye ndo aliweka mwiko huo wa PM kutofikia KITI hicho,Nyerere kabla ya uraisi alikua nani?
Ndomana wapo 4. One of em yes!!hatuwezi kuwa na rais muongo na mnafku kama katelephoni
Kwa sasa CCM ndo no. 1 kisha Tanzania inafuata.Ni Kweli kabisa.
CCM Si mamaetu. Ndomana Lissu akawapo Kwa list.
Tanzania utabaki kuwa no 1, vyama baadae!!
Wamepewa nafasi kutubu,Kwa sasa CCM ndo no. 1 kisha Tanzania inafuata.
Yamewezeshwa kwa hisani ya vyombo vya dola
Kama ambavyo Magu alikuwa 1 term presidaa, ni sawa pia aliyepo kuwa 1 term presidaa.Hiyo nafasi tungempa Husen Mwinyi amalizie awamu ya mzanzibar mwenzake mama akapumzike zake kizimkazi... Nisiwe mnafki siafikiani na SSH kuendelea kuwa raisi wetu baada ya 2025 na kumtoa SSH tukaweka mtu wa bara tukubaliane kuuvunja huu Muungano usiokua na maana yoyte kwa bara zaidi ya kuongeza idadi ya sikukuu za kitaifa tuuu
Wanaamini Mwenge wa Uhuru ndo zindiko lao la mileleWamepewa nafasi kutubu,
Wasipotubu, ataletwa Daudi achukue nafasi ya Sauli.
TOBA pekee ndo itawaokoa,Wanaamini Mwenge wa Uhuru ndo zindiko lao la milele