Wafuatao wasipokunjua nafsi Rais atakwama au itamlazimu awaweke pembeni Taifa lipone

Wafuatao wasipokunjua nafsi Rais atakwama au itamlazimu awaweke pembeni Taifa lipone

Kuna watu hata tone zao za kuongea zimebadilika aisee walijawa na Viburi haswa Mimi na mpoint Dotto james na Kheri James
Huyo Kheri james aacha kabsa......matamshi yake yanatia kinyaa nilishangaa walioko juu yake kuendekea kumvumilia, mtoto anadiriki kuwambia viongozi wa dini wafunge midomo yao!! nilistaajabu sana.
 
Hio yote ulioitaja ni "MISUKULE YA MAREHEMU", ila kuna misukule ipo ambayo haujaigusia kabisa, ya Mikoa na Wilaya. Licha ya Rais kuwakosoa kweli kweli hadharani ila hayapati akili na kuandika barua za kujiuzulu.

1) Kamanda Mambosasa - Kinondoni.
2) Ally Hapi - Mkuu Wa Mkoa Iringa.
3) Ole Sabaaya - Mkuu Wa Wilaya Hai.
4) Kenani Kihongosi - Mkuu Wa Wilaya Arusha (Aliewachapa Wafanyabiashara viboko).
5) Heri James UVCCM TAIFA (Zamani kipindi akisoma alikua anaitwa Eric Ngambeki).
6) Alfred James - Kaimu Mkurugenzi Wa Bodi Ya Korosho.
7) Doto Biteko - Waziri Wa Madini.
Hawa na alioowataja mleta uzi jumlisha mkurugenzi na mwenyekiti wa tume ya uchaguzi, siro na yule wa Takukuru na Tiss Hawa Ni kuwakabidhi kwa Mungu tu awashughulikie. Ramadhani inakuja tuungane kuwashtaki kwa Mungu. Mie binafsi nitamsemea kwa Mwenyezi Mungu mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Kila siku ya Ramadhani na Kwa Kila siku kutaja dhuruma yake moja aliyoifanya wakati wa uchafuzi
 
Hio yote ulioitaja ni "MISUKULE YA MAREHEMU", ila kuna misukule ipo ambayo haujaigusia kabisa, ya Mikoa na Wilaya. Licha ya Rais kuwakosoa kweli kweli hadharani ila hayapati akili na kuandika barua za kujiuzulu.

1) Kamanda Mambosasa - Kinondoni.
2) Ally Hapi - Mkuu Wa Mkoa Iringa.
3) Ole Sabaaya - Mkuu Wa Wilaya Hai.
4) Kenani Kihongosi - Mkuu Wa Wilaya Arusha (Aliewachapa Wafanyabiashara viboko).
5) Heri James UVCCM TAIFA (Zamani kipindi akisoma alikua anaitwa Eric Ngambeki).
6) Alfred James - Kaimu Mkurugenzi Wa Bodi Ya Korosho.
7) Doto Biteko - Waziri Wa Madini.
Hiyo 6 na 7 ni nini mbaya?

Hata kaimu naye anaweza tenguliwa?Maana ni kwamba nafasi ya mkurugenzi bado iko wazi.

Personally sina neno na Biteko,nadhani ugomvi na wawekezaji kwenye makampuni serious kwenye madini ulichagizwa na Kabudi
 
Sioni kukwama kwa rais sababu ya mtu yoyote yule

Asiyefaa ataondoka na kazi itaendelea

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake
 
Nyie watu akili zenu ni bure kabisa!
Yaani mnazani ni upinzani unaongoza nchi hii. Ok ila mlivyowanafki sio muda mrefu mtaanza kumsifu Magufuli na kumtukana Samia.
Muda ni mwalimu mzuri Sana, tusubiri tuyaone.
 
Kilaza kama wewe huwezi jilinganisha na kabudi. Acha kujilinganisha naye. Acha tena acha.
Wewe ndiye Kabudi mwenyewe?Weka ID halisi tukupe vidonge vyako,ulienda Madagascar kupeleka nini na ukatuletea Yale maboksi ya Juice?Yamelisaidia Taifa letu kurejesha gharama za kwenda huko?Hasara zingine kama ya 60 bilion nawe ulichangia lakini bado upo upo!
 
Acha kujichekesha. Huijui ccm inavyofanya kazi ndio maana unaona kufariki dunia magufuli kama ushindi kwa wapinga maendeleo.
 
Nahisi umejikusanyia maneno mengi ili upewe likes. Huna la maana na hata hujui mfumo wa serikali. Kuna sheria yoyote mpya ya kodi iliyotungwa wakati wa hawa viongozi? Au hukutaka sheria zisimamiwe?

Kama una ndugu yako ana kesi, mtetee mahakamani siyo mitandaoni.
 
Hio yote ulioitaja ni "MISUKULE YA MAREHEMU", ila kuna misukule ipo ambayo haujaigusia kabisa, ya Mikoa na Wilaya. Licha ya Rais kuwakosoa kweli kweli hadharani ila hayapati akili na kuandika barua za kujiuzulu.

1) Kamanda Mambosasa - Kinondoni.
2) Ally Hapi - Mkuu Wa Mkoa Iringa.
3) Ole Sabaaya - Mkuu Wa Wilaya Hai.
4) Kenani Kihongosi - Mkuu Wa Wilaya Arusha (Aliewachapa Wafanyabiashara viboko).
5) Heri James UVCCM TAIFA (Zamani kipindi akisoma alikua anaitwa Eric Ngambeki).
6) Alfred James - Kaimu Mkurugenzi Wa Bodi Ya Korosho.
7) Doto Biteko - Waziri Wa Madini.
Huyu Alfred ni ndugu wa Dotto na Heri?
 
Kuna vitu viwili naomba vibadilishwe kwny katiba.
1. Uwezekano wowote ule wa kuweza kubadilia kipengele cha katiba kuhusu ukomo wa urais. Yaani ipigwe nyundo kuwa, haitakaa itokee kwa namna yeyote ile mtu ajiongezee, au ile "apende asipende tutamwongezea" isiwezekane

2. Iundwe sheria na mfumo ambao, raisi hawezi chota hazina, hawezi hamisha fedha kutoka kasma fulani kwenda ingine, kwa matumizi ambayo hayajapangwa na bunge. Hofu yangu ni kuwa rais anaweza akaushe hazina kwenda kujenga mradi anao utaka yy binafsi na siyo uliopangwa na bunge.

3. Ili kutegeneza ajira na kuongeza mzungo wa fedha miongoni mwa wananchi, impoter yyte asiruhusiwe kuwa retailer. Yaani mfano, mchina akigaiza mzigo in bulk, basi akae store tu, ili itoe ajira kwa wengine kwenda kununua kwake, kisha kwenda kuuza kwa mteja mmoa mmoja mtaani. Tusipo weka hili kwenye sheria, na kama ilivyo sasa, wafanya biashara wakubwa hasa foreigners wenye uwezo na nyenzo, huwezi shindana naye kuagiza mzigo kutoka kwao, au kwa bei atakayo nunulia kwao, kisha huwezi shindana naye kwa bei atakayo uzia hapa kwa rejareja pale kariakoo.

3. Wageni kuruhusiwa kwenda kuchuuza vitu mtaani, kisha wao ku export. Yaani mchina anaenda vngunguti au pugu yy mwenyewe kununua mfano pembe ama kwato, kisha ana peleka kwao hiyo isiruhusiwe. Yeye aandike bango lake mahali, bei atakayo nunulia, wazalendo wakamuuzie kwa uwazi. Hili lifanyike kwa mazao na bidhaa zingine, sio mfanya biashara mdogo unashindana na exporter kwa mkulima. Exporter akishatawala, atapanga bei yake kandamizi ya manunuzi kwa mkulima na wafanya biashar wadogo woote hawatakuwapo.
Kongole kwa hoja zenye mantiki na uzalendo mkubwa kwa taifa lako na wananchi wenzako.
Ubarikiwe sana mkuu K.Msese .
 
Usijili
Acha kujilinganisha na prof kabudi wewe kilaza mkubwa kabisa elimu ya kuungaunga. Unadhani kabudi hata akiacha hiyo siasa atalala njaaa? vilaza mnashida sana
Ni yeye Kabudi mwenyewe aliyesema ameokotwa jalalani,yaani kwa lugha nyingine yeye ni chokoraa, ndiyo maana hata akitukanwa na mwenda zake aliishia kuinamisha kichwa na kukenua tu.
 
Nyie watu akili zenu ni bure kabisa!
Yaani mnazani ni upinzani unaongoza nchi hii. Ok ila mlivyowanafki sio muda mrefu mtaanza kumsifu Magufuli na kumtukana Samia.
Muda ni mwalimu mzuri Sana, tusubiri tuyaone.
Atakayemsifu atakuwa na kichaa si bure
 
Back
Top Bottom