Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Haha haha Kabudi umekuja kivingine kama IwenjeKilaza kama wewe huwezi jilinganisha na kabudi. Acha kujilinganisha naye. Acha tena acha.
Haha haha Kabudi umekuja kivingine kama IwenjeKilaza kama wewe huwezi jilinganisha na kabudi. Acha kujilinganisha naye. Acha tena acha.
😬😬😬😬😬Nenda kasikilize lecture za kabudi Youtube huko. Uondoe huo ukilazaHaha haha Kabudi umekuja kivingine kama Iwenje
That is politics. It an art of discussing people and events. This is a forum for political matters. P'se relax.Small minds discuss people, average minds discuss events and great minds discuss Ideas.
Hio yote ulioitaja ni "MISUKULE YA MAREHEMU", ila kuna misukule ipo ambayo haujaigusia kabisa, ya Mikoa na Wilaya. Licha ya Rais kuwakosoa kweli kweli hadharani ila hayapati akili na kuandika barua za kujiuzulu.
1) Kamanda Mambosasa - Kinondoni.
2) Ally Hapi - Mkuu Wa Mkoa Iringa.
3) Ole Sabaaya - Mkuu Wa Wilaya Hai.
4) Kenani Kihongosi - Mkuu Wa Wilaya Arusha (Aliewachapa Wafanyabiashara viboko).
5) Heri James UVCCM TAIFA (Zamani kipindi akisoma alikua anaitwa Eric Ngambeki).
6) Alfred James - Kaimu Mkurugenzi Wa Bodi Ya Korosho.
7) Doto Biteko - Waziri Wa Madini.
Yani alivyofika akaanza kubugia yale madawa hata hayaja thibishwaWewe ndiye Kabudi mwenyewe?Weka ID halisi tukupe vidonge vyako,ulienda Madagascar kupeleka nini na ukatuletea Yale maboksi ya Juice?Yamelisaidia Taifa letu kurejesha gharama za kwenda huko?Hasara zingine kama ya 60 bilion nawe ulichangia lakini bado upo upo!
Sasa huoni kama atalazimika atarudi jalalani?Usijili
Acha kujilinganisha na prof kabudi wewe kilaza mkubwa kabisa elimu ya kuungaunga. Unadhani kabudi hata akiacha hiyo siasa atalala njaaa? vilaza mnashida sana
Sasa wazungu ni malaika nawao si vilaza kama weweeti simjui Kabudi, hata wazungu tu wanajua yupo smart
Alishaitwa mpumbavu na hakufanya lolote sababu ya njaaNi yeye Kabudi mwenyewe aliyesema ameokotwa jalalani,yaani kwa lugha nyingine yeye ni chokoraa, ndiyo maana hata akitukanwa na mwenda zake aliishia kuinamisha kichwa na kukenua tu.
Huku wakikataa chanjo zilizopita hatua za kimaanara na zenye viwango.Yani alivyofika akaanza kubugia yale madawa hata hayaja thibishwa
Naona sindano zimekuingia ki-sawa sawa!Usijili
Acha kujilinganisha na prof kabudi wewe kilaza mkubwa kabisa elimu ya kuungaunga. Unadhani kabudi hata akiacha hiyo siasa atalala njaaa? vilaza mnashida sana
Taifa lina ukabila gani?1. Mama aendelee kuondoa genge la ukabila.
2. Mama aachane na project za marehemu kutumia fedha za ndani.
3. Ile midege ya Jiwe aikodishe tu, kama tunaendlea kula hasara haina haja ya kupata faida, biashara ni kutengeneza fedha ili kuinua pato.
4. Mama aongee vizuri na upinzani, watu kama akina Lissu, Lema na Msigwa ni assets za Taifa.
5. Wekeza sekta ya kilimo, watanzania wakila vizuri tu tunaridhika. Wala hutosikia kelele mitandaoni wala mitaani, hii kete ndio aliyoiweza Hayati Mkapa, watu walikula na wakashiba, wakaridhika.
6. Wanafki kama akina Gwajima aka Rashid waogope sana, kama mtu ameweka kaz ya Mungu kuwa namba mbili kisha kaz ya mwanadamu namba moja elewa kuwa hata wewe ipo siku atakumaliza.
7. Fanya unavyoweza kufungulia ajira.
8. TRA isuke upya.
9. Nna mengi sana ila mazingira yamenibana
Kitu pekee ambacho kimeniuma mno ndani ya hii nchi ni kumuona maguful kazikwa kiheshima vile, kwa uchafu ulioachwa na maguful hata kaburi lake kubaki kuwa historia ndani ya taifa ni aibu.
Wizara ya Kilimo, Bodi zote za mazao na sera zake ziangaliwe upyaaaMkuu, namba 6 katika orodha yako (Alfred James-Kaimu Mkurugenzi Bodi ya Korosho) ana tatizo gani?
Biteko mama amesema kitalu c mirerani ni reserved lakini sasa hivi kinagaiwa kinyemela na watu wanachimba, madini yanatoroshwa sana kama kipindi cha nyuma na huyo dogo muda mwingi yupo arusha.. alimwambia cdf adhibiti utoroshaji huu wa tanzanite (think as a great thinker)Hiyo 6 na 7 ni nini mbaya?
Hata kaimu naye anaweza tenguliwa?Maana ni kwamba nafasi ya mkurugenzi bado iko wazi.
Personally sina neno na Biteko,nadhani ugomvi na wawekezaji kwenye makampuni serious kwenye madini ulichagizwa na Kabudi
Majinga kama nyie ni mengi sana.. Heri mzee wako angepiga nyeto Nyeto.. Tusingekuwa na Disaster ya aina yako.Usijili
Acha kujilinganisha na prof kabudi wewe kilaza mkubwa kabisa elimu ya kuungaunga. Unadhani kabudi hata akiacha hiyo siasa atalala njaaa? vilaza mnashida sana
Umesahau na waliopitisha sheria kandamizi Bodi ya mikopo elimu ya juuHio yote ulioitaja ni "MISUKULE YA MAREHEMU", ila kuna misukule ipo ambayo haujaigusia kabisa, ya Mikoa na Wilaya. Licha ya Rais kuwakosoa kweli kweli hadharani ila hayapati akili na kuandika barua za kujiuzulu.
1) Kamanda Mambosasa - Kinondoni.
2) Ally Hapi - Mkuu Wa Mkoa Iringa.
3) Ole Sabaaya - Mkuu Wa Wilaya Hai.
4) Kenani Kihongosi - Mkuu Wa Wilaya Arusha (Aliewachapa Wafanyabiashara viboko).
5) Heri James UVCCM TAIFA (Zamani kipindi akisoma alikua anaitwa Eric Ngambeki).
6) Alfred James - Kaimu Mkurugenzi Wa Bodi Ya Korosho.
7) Doto Biteko - Waziri Wa Madini.