Wafuatao wasipokunjua nafsi Rais atakwama au itamlazimu awaweke pembeni Taifa lipone

Wafuatao wasipokunjua nafsi Rais atakwama au itamlazimu awaweke pembeni Taifa lipone

1. Mama aendelee kuondoa genge la ukabila.

2. Mama aachane na project za marehemu kutumia fedha za ndani.

3. Ile midege ya Jiwe aikodishe tu, kama tunaendlea kula hasara haina haja ya kupata faida, biashara ni kutengeneza fedha ili kuinua pato.

4. Mama aongee vizuri na upinzani, watu kama akina Lissu, Lema na Msigwa ni assets za Taifa.

5. Wekeza sekta ya kilimo, watanzania wakila vizuri tu tunaridhika. Wala hutosikia kelele mitandaoni wala mitaani, hii kete ndio aliyoiweza Hayati Mkapa, watu walikula na wakashiba, wakaridhika.

6. Wanafki kama akina Gwajima aka Rashid waogope sana, kama mtu ameweka kaz ya Mungu kuwa namba mbili kisha kaz ya mwanadamu namba moja elewa kuwa hata wewe ipo siku atakumaliza.

7. Fanya unavyoweza kufungulia ajira.

8. TRA isuke upya.

9. Nna mengi sana ila mazingira yamenibana
Kitu pekee ambacho kimeniuma mno ndani ya hii nchi ni kumuona maguful kazikwa kiheshima vile, kwa uchafu ulioachwa na maguful hata kaburi lake kubaki kuwa historia ndani ya taifa ni aibu.
Hapo namba 6,ni kweli huyo mtu ni hatari na ndiye mfadhili wa Sukuma Gang,genge hatari kabisa lililojipa kazi ya kukipasua chama ili Mama apate ugumu kukiongoza.
 
Hawezi kulala njaa maana Ni mchumia tumbo. However Ni profesa mpumbavu Kama wewe
Bangi sio chai siku zote nakwambia kijana, badala ya kujenga hoja unatukana tu watu!!!

Matusi ni matumizi mabovu ya ubongo!!
 
Wote wanagusika isipokua Jaji Mkuu na Speaker...hao hawatumbuliki.
Ni kuwaombea dua mabaya yawakute,siku hizi Mungu hachelewi, ukizingua unazinguliwa tu,wala hakuna haja ya kumwaga damu.
 
Mzee wa Majalalani a.k.a Kabudi ndio basi tena ajiandae tu kisaikolojia arudi vyuoni kuendelea kufundisha
 
Hawa na alioowataja mleta uzi jumlisha mkurugenzi na mwenyekiti wa tume ya uchaguzi, siro na yule wa Takukuru na Tiss Hawa Ni kuwakabidhi kwa Mungu tu awashughulikie. Ramadhani inakuja tuungane kuwashtaki kwa Mungu. Mie binafsi nitamsemea kwa Mwenyezi Mungu mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Kila siku ya Ramadhani na Kwa Kila siku kutaja dhuruma yake moja aliyoifanya wakati wa uchafuzi
Naunga mkono hoja.
 
Usijili
Acha kujilinganisha na prof kabudi wewe kilaza mkubwa kabisa elimu ya kuungaunga. Unadhani kabudi hata akiacha hiyo siasa atalala njaaa? vilaza mnashida sana
Unamuongelea huyu huyu aliyetolewa jalalani au mwingine!?
 
Acha kujichekesha. Huijui ccm inavyofanya kazi ndio maana unaona kufariki dunia magufuli kama ushindi kwa wapinga maendeleo.
Mbona swaga za mitano tena hatuzisikii tena? Anayezingua kuanzia sasa tunamshtakia Mwenyezi Mungu tu.
 
Wapambe wa Mh Rais mitandaoni hasa hapa jF kama wanajituma wenyewe itakuwa ni agheri sana kwake. Lakini kama ndio mkakati wake na ndiye kawatuma kazi iko.

Kwa mwenendo huu any serious person hawezi kutoa ushirikiano wa maana yeyote. Ni bora kukaa pembeni kuliko kuendelea kuwa serikalini halafu unangwe na mawakala wa Mijizi ma Mafisadi.

Mimi ni mmoja wa wale walikuwa wakisema waangalie nafasi za juu zisiwe na watu wote wageni wa nafasi hizo. Kwa niliyo ya sikia siku mbili hizi ningemshauri PM na wengine bora wakae pembeni kulinda credibility ya utendaji wao wa huko nyuma na future yao. Sioni future yenye afya kwa mtu ambaye kajijengea heshima na kuheshimiwa na jamii kwa kazi nzuri na jinsi alivyoitumikia.

Manji ataendeleza kuwananga muda sio mrefu eti alidhulumiwa.
 
Hio yote ulioitaja ni "MISUKULE YA MAREHEMU", ila kuna misukule ipo ambayo haujaigusia kabisa, ya Mikoa na Wilaya. Licha ya Rais kuwakosoa kweli kweli hadharani ila hayapati akili na kuandika barua za kujiuzulu.

1) Kamanda Mambosasa - Kinondoni.
2) Ally Hapi - Mkuu Wa Mkoa Iringa.
3) Ole Sabaaya - Mkuu Wa Wilaya Hai.
4) Kenani Kihongosi - Mkuu Wa Wilaya Arusha (Aliewachapa Wafanyabiashara viboko).
5) Heri James UVCCM TAIFA (Zamani kipindi akisoma alikua anaitwa Eric Ngambeki).
6) Alfred James - Kaimu Mkurugenzi Wa Bodi Ya Korosho.
7) Doto Biteko - Waziri Wa Madini.
Mkuu, namba 6 katika orodha yako (Alfred James-Kaimu Mkurugenzi Bodi ya Korosho) ana tatizo gani?
 
Usijili
Acha kujilinganisha na prof kabudi wewe kilaza mkubwa kabisa elimu ya kuungaunga. Unadhani kabudi hata akiacha hiyo siasa atalala njaaa? vilaza mnashida sana
Mleta mada anasema hana imani nao, na si kwamba anataka walale njaa.
 
Kuna mtu anamdharau Kabudi halafu mda huo huo anaandika Lema ni asset kwa taifa

Huyu ni wa kupuuzwa.
 
Sina hakika kama mama samia amewateua hao kwa kuwaogopa, nina uhakika wamekidhi vigezo vya kuwa hapo

Na nina uhakika wangekua hawana vigezo, angewaondoa haraka sana, maana hawaogopi.
 
Kwani wewe upo kwa ID original!?
Wewe ni nyumba ndogo yake ya pale Kikuyu!!?
Angalia lini ID ilijiunga na JF,ndio utajua Jiwe alivyotu terorrize Watanzania.
Shetani ameshindwa,ni furaha kwa Taifa.
RHalafu wewe upo hapa Kwa I'd feki na hujulikani eti unajilinganisha na Prof
ni
 
Kwani wewe upo kwa ID original!?
Wewe ni nyumba ndogo yake ya pale Kikuyu!!?
Angalia lini ID ilijiunga na JF,ndio utajua Jiwe alivyotu terorrize Watanzania.
Shetani ameshindwa,ni furaha kwa Taifa.

ni
Wewe ndo wale wa mama wa mipasho??
Ukikataa nitakushangaa!!
 
Back
Top Bottom