SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,104
- 75,552
Hapo namba 6,ni kweli huyo mtu ni hatari na ndiye mfadhili wa Sukuma Gang,genge hatari kabisa lililojipa kazi ya kukipasua chama ili Mama apate ugumu kukiongoza.1. Mama aendelee kuondoa genge la ukabila.
2. Mama aachane na project za marehemu kutumia fedha za ndani.
3. Ile midege ya Jiwe aikodishe tu, kama tunaendlea kula hasara haina haja ya kupata faida, biashara ni kutengeneza fedha ili kuinua pato.
4. Mama aongee vizuri na upinzani, watu kama akina Lissu, Lema na Msigwa ni assets za Taifa.
5. Wekeza sekta ya kilimo, watanzania wakila vizuri tu tunaridhika. Wala hutosikia kelele mitandaoni wala mitaani, hii kete ndio aliyoiweza Hayati Mkapa, watu walikula na wakashiba, wakaridhika.
6. Wanafki kama akina Gwajima aka Rashid waogope sana, kama mtu ameweka kaz ya Mungu kuwa namba mbili kisha kaz ya mwanadamu namba moja elewa kuwa hata wewe ipo siku atakumaliza.
7. Fanya unavyoweza kufungulia ajira.
8. TRA isuke upya.
9. Nna mengi sana ila mazingira yamenibana
Kitu pekee ambacho kimeniuma mno ndani ya hii nchi ni kumuona maguful kazikwa kiheshima vile, kwa uchafu ulioachwa na maguful hata kaburi lake kubaki kuwa historia ndani ya taifa ni aibu.
Bangi sio chai siku zote nakwambia kijana, badala ya kujenga hoja unatukana tu watu!!!Hawezi kulala njaa maana Ni mchumia tumbo. However Ni profesa mpumbavu Kama wewe
Wazungu ndio nani hao!!?eti simjui Kabudi, hata wazungu tu wanajua yupo smart
Ni kuwaombea dua mabaya yawakute,siku hizi Mungu hachelewi, ukizingua unazinguliwa tu,wala hakuna haja ya kumwaga damu.Wote wanagusika isipokua Jaji Mkuu na Speaker...hao hawatumbuliki.
Halafu wewe upo hapa Kwa I'd feki na hujulikani eti unajilinganisha na ProfWewe humjui Kabudi. Sisi wengine tumefanya naye kazi. Jamaa ni "kilaza msomi".
Naunga mkono hoja.Hawa na alioowataja mleta uzi jumlisha mkurugenzi na mwenyekiti wa tume ya uchaguzi, siro na yule wa Takukuru na Tiss Hawa Ni kuwakabidhi kwa Mungu tu awashughulikie. Ramadhani inakuja tuungane kuwashtaki kwa Mungu. Mie binafsi nitamsemea kwa Mwenyezi Mungu mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Kila siku ya Ramadhani na Kwa Kila siku kutaja dhuruma yake moja aliyoifanya wakati wa uchafuzi
Unamuongelea huyu huyu aliyetolewa jalalani au mwingine!?Usijili
Acha kujilinganisha na prof kabudi wewe kilaza mkubwa kabisa elimu ya kuungaunga. Unadhani kabudi hata akiacha hiyo siasa atalala njaaa? vilaza mnashida sana
Mbona swaga za mitano tena hatuzisikii tena? Anayezingua kuanzia sasa tunamshtakia Mwenyezi Mungu tu.Acha kujichekesha. Huijui ccm inavyofanya kazi ndio maana unaona kufariki dunia magufuli kama ushindi kwa wapinga maendeleo.
Wazungu hawa mnaowaita mabeberu?eti simjui Kabudi, hata wazungu tu wanajua yupo smart
Mkuu, namba 6 katika orodha yako (Alfred James-Kaimu Mkurugenzi Bodi ya Korosho) ana tatizo gani?Hio yote ulioitaja ni "MISUKULE YA MAREHEMU", ila kuna misukule ipo ambayo haujaigusia kabisa, ya Mikoa na Wilaya. Licha ya Rais kuwakosoa kweli kweli hadharani ila hayapati akili na kuandika barua za kujiuzulu.
1) Kamanda Mambosasa - Kinondoni.
2) Ally Hapi - Mkuu Wa Mkoa Iringa.
3) Ole Sabaaya - Mkuu Wa Wilaya Hai.
4) Kenani Kihongosi - Mkuu Wa Wilaya Arusha (Aliewachapa Wafanyabiashara viboko).
5) Heri James UVCCM TAIFA (Zamani kipindi akisoma alikua anaitwa Eric Ngambeki).
6) Alfred James - Kaimu Mkurugenzi Wa Bodi Ya Korosho.
7) Doto Biteko - Waziri Wa Madini.
Mleta mada anasema hana imani nao, na si kwamba anataka walale njaa.Usijili
Acha kujilinganisha na prof kabudi wewe kilaza mkubwa kabisa elimu ya kuungaunga. Unadhani kabudi hata akiacha hiyo siasa atalala njaaa? vilaza mnashida sana
niRHalafu wewe upo hapa Kwa I'd feki na hujulikani eti unajilinganisha na Prof
Wewe ndo wale wa mama wa mipasho??Kwani wewe upo kwa ID original!?
Wewe ni nyumba ndogo yake ya pale Kikuyu!!?
Angalia lini ID ilijiunga na JF,ndio utajua Jiwe alivyotu terorrize Watanzania.
Shetani ameshindwa,ni furaha kwa Taifa.
ni