Wafuatao wasipokunjua nafsi Rais atakwama au itamlazimu awaweke pembeni Taifa lipone

Small minds discuss people, average minds discuss events and great minds discuss Ideas.
That is politics. It an art of discussing people and events. This is a forum for political matters. P'se relax.
 
Doto James,
Alexander Mnyeti,
Chalamila,
Jerry Muro,
DED wa Rorya(somebody Chacha).
 
Yani alivyofika akaanza kubugia yale madawa hata hayaja thibishwa
 
Usijili
Acha kujilinganisha na prof kabudi wewe kilaza mkubwa kabisa elimu ya kuungaunga. Unadhani kabudi hata akiacha hiyo siasa atalala njaaa? vilaza mnashida sana
Sasa huoni kama atalazimika atarudi jalalani?
 
Ni kweli kabisa wengine woote hawafai isipokua mleta mada na bavicha wenzake.
 
Ni yeye Kabudi mwenyewe aliyesema ameokotwa jalalani,yaani kwa lugha nyingine yeye ni chokoraa, ndiyo maana hata akitukanwa na mwenda zake aliishia kuinamisha kichwa na kukenua tu.
Alishaitwa mpumbavu na hakufanya lolote sababu ya njaa
 
Usijili
Acha kujilinganisha na prof kabudi wewe kilaza mkubwa kabisa elimu ya kuungaunga. Unadhani kabudi hata akiacha hiyo siasa atalala njaaa? vilaza mnashida sana
Naona sindano zimekuingia ki-sawa sawa!
 
Mwananchi Mwandamizi wa Jamhuri ya Jamii Forums. Maisha ya kudhania dhania hata ambapo ukweli Unatakiwa.
 
Taifa lina ukabila gani?
 
Hiyo 6 na 7 ni nini mbaya?

Hata kaimu naye anaweza tenguliwa?Maana ni kwamba nafasi ya mkurugenzi bado iko wazi.

Personally sina neno na Biteko,nadhani ugomvi na wawekezaji kwenye makampuni serious kwenye madini ulichagizwa na Kabudi
Biteko mama amesema kitalu c mirerani ni reserved lakini sasa hivi kinagaiwa kinyemela na watu wanachimba, madini yanatoroshwa sana kama kipindi cha nyuma na huyo dogo muda mwingi yupo arusha.. alimwambia cdf adhibiti utoroshaji huu wa tanzanite (think as a great thinker)
 
Arudishe university hospital Mloganzila toka hospitali ya taifa Muhimbili.
 
Usijili
Acha kujilinganisha na prof kabudi wewe kilaza mkubwa kabisa elimu ya kuungaunga. Unadhani kabudi hata akiacha hiyo siasa atalala njaaa? vilaza mnashida sana
Majinga kama nyie ni mengi sana.. Heri mzee wako angepiga nyeto Nyeto.. Tusingekuwa na Disaster ya aina yako.
 
Kwa ndugai uko sahihi kabisa mm binafsi simwamini kabisa, jaribu kufatilia kwenye hizi shughuli za kitaifa, utaona tu anavyoonesha dharau na huku amenuna sana.
 
''Mama fanya mabadiliko ya mfumo mzima, ruhusu katiba inayokubalika kisha 2025 ng'atuka tuachie Taifa lenye nidhamu na historia itakukumbuka wewe na familia yako. Hakuna kiongozi wa kitaifa amemwahi kukumbukwa kwakusimamia maslahi ya chama chake Bali anakumbukwa kwa kusimamia maslahi ya Taifa''............................................................. Kauli hii ya kutaka mtu kung'atuka imeharibu hoja zako zote na kuonekana kuwa lengo lako ni kutaka Mama atoke madarakani,kama atafanya yale ambayo watu wanayahitaji haitaji heshima ya kung'atuka,kung'atuka kunatokana na mtu kufanya mambo nje ya muda wake lakini alie ndani ya muda wake na anafanya kulingana na wajibu wake na kutimiza matakwa ya watu, anafaa kuendelea kudumu hadi mwisho kulingana na sheria inavyotaka, kung'atuka bila sababu ya msingi ni kujitengeneza mazingira ya kujionyesha kuwa haufai na umepisha wengine wakusaidie.
 
Umesahau na waliopitisha sheria kandamizi Bodi ya mikopo elimu ya juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…